MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!
Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola!
Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa.
Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu.
Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?