CHADEMA inapoichezea CCM "off side trick"

We Prudence kama alivyo kaka yako Padre Privatus na kaka yako Primus ni wazuri sana wa kujenga hoja watu wa Ibwera kule aragwe.

Lakini kwa hili Classmate wangu imekupuruchuka.

Kwani lazima ujue kuwa kazi ya Vyama vya Upinzani ni kuizindua na kuikosoa Serikali iliyopo madarakani kwa nia na madhumuni ya kufanya nchi iende sawia. Kwa hiyo Serikali yoyote iliyo makini ni ile inayochambua kauli za wapinzani na zile wanazoziona zinawakwaza wananchi basi inaweka kipaumbele katika kuzitatua.

Mfano mdogo ni issue ya katiba mpya. hata kule Kenya utaiona upinzani ndio ulioshinikiza na serikali ikakubali na baadae wamepata katiba mpya. Si rahisi kwa Serikali yenyewe na chama chake kutaka katiba mpya sababu kubwa katiba hiyo mara nyingi ina kipendelea chama tawala.

Kwa hiyo Upnzani si dhambi na ni wajibu wao kuikosoa serikali pale inapokosea.

Nyegera waitu


Kwangu mimi alichokisema Prudence na unachokisema havina tofauti.
 
Mkuu unajua mpira au unazungumza tuu hii habari kufurahisha baraza...
Off side trick ni mfumo unaotumiwa na timu inayowaelemea wengine, hivyo kutokana na wao kushambulia zaidi ya kushambuliwa..
Offside trick hutumika kama kinga ya mashambulizi ya ghafla kutoka upande unaoshambiliwa ma mara nyingi huwa ktk nusu uwanja au robo tatu ya uwaja ktk mashambulizi yako upande mmoja unaoele ewa....

Kitaalam beki hujipanga mbele ya washambuliaji hasa wa mwisho hii inasaidia mpira kuchezwa zaidi upande wa pili na kuifanya timu nyingine kujihami zaidi...

Kwa hiyo yawez kana kabisa umeandika kichwa cha ha ari vizuri lakini umeshindwa kutumia maana yake.. Chadema ipo katika mashambulizi na offside trick wanaitumia kuhakikisha CCM hawarudi na counter attack wakiwa wamejisahau..
Lengo lake si kuzungumzia mpira, 'off side trick' was just a carrier of the message but the message delivered.
 
mimi aomba amani tu na sipendi lugha chafu na za uchochezi.

Kwa bahati mbaya au nzuri, hizo "lugha chafu na za uchochezi" ndio zitakuletea "amani" ya kweli. Makaburu walikuwa wanasema ANC ni "wachochezi", na hadi karibuni tu Nelson Mandela alikuwa categorised "terrorist" na Serikali ya Marekani. unaposema AMANI, wenzio tunaongelea ile hali inayokuwapo katika jamii ambapo HAKI inatawala, na siyo utaratibu ambapo wanyonge huliwa na wenye nguvu, na wanatakiwa waseme "HEWALLAH". Kisa? Amani! kwa hiyo jamaa akikudunga sindano akaweka mrija wake akawa anayonya damu yako taratiibu, we ukianza kuhangaika uutoe mrija huo jamaa analalamika "acha uchochezi wee! tunataka amani na utulivu hapa!" kwa hiyo mapambano lazima yawepo ili tuelewane vizuri kwamba kuwanyonya wanyonge kuna mwisho. haiwezekani serikali ya CCM iruhusu wizi kama wa Kagoda na Meremeta, ambao mpaka leo Pinda mwenyewe kasema hawezi kuzungumzia asilani, halafu wooote tukae kimya tu. akina Hafifu kaeni kimya, sawa ni uamuzi wenu, lakini tuacheni tupambane nao hawa jamaa. tukimaliza tutaongea nanyi. mnawasemea mkiwa kama nani? washirika wao?
 

Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.

Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini

Kazi kwenu
[/QUOTE

Dear madam/ madam
Mawazo kama haya yamepitwa na wakati, ningependa kutoa wito kuwe na JF Nusery, JF Primary, JF Secondary n.k kwa mtu kama huyu ambaye haja qualify hawezi kuchangia point nzito kama hizi jamani mtapasua kichwa. Tena anafaa awe JF Day Care ya kunywa uji na kuchezea vibembea tuu mpaka akue kidogo.
 
Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.

Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini

Kazi kwenu

Crap!

Kwa taarifa yako Tanzania hakuna udini wala ukabila ila Wana CCM wanataka kulazimisha kwamba upo na kuwa CDM ni chama cha wakristo na kuwa Waislam wasikifuate! Kwa Hili CCM wamethibitisha uongo kwa mwitikio mkubwa ktk maandamano yote ya CDM bila kujali dini ya washiriki.
Kama CDM walikuwa na ukabila usingekuta mchanganyiko wa makabila ktk uongozi.
 
Kwa hilo ni lazima CCM wasalimu amri! Ile mbinu yao ya kutumia wabunge kupayukapayuka kama wanyama pori imeshindikana!!


thank you kilemi! mahakama ya umma is everything.....scatistically, wabunge are just samples (n) representing whole population (N). we can not assume that always n potrays the true colors of the population N. Sampling errors can be done on the process resulting in wrong output hence wrong representation. Such wrong output comes out of sampling errors such as 1. engaging relatively low sample 2. not caring of the strata of the population 3. heterogeneity or heterogeneity of the population etc. etc. Most of CCM MPs are samples not representing the majority being functional of uchakachuaji (tempered Sampling)!- these demonstrations are only way to prove out that elections in Tanzania are suffering from TYPE I ERROR!
 
Back
Top Bottom