Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,567
- 13,542
Hivi Tanzania daima limegeuka kuwa gazeti la kutetea wauza unga!!! Jamani CHADEMA mbona mi siwaelewi? Jamii ilikuwa imeshashawishika kuwa nyie ni wakeameaji wazuri wa ufisadi na mafisadi.
Makonda anapongezwa kila kona ya nchi na ni jana tu amefanyiwa dua maalumu kutoka kwa mashehe hapa wa Dar lakini gazeti hili linaponda jitihada anazofanyampaka kutaka aachane nazo.
Nimeshangaa sana title page yao kuandikwa eti Makonda ni hatari kisa anadili na madawa. Nimeshangaa sana