Tanzania Daima na utetezi wa watuhumiwa wa kuuza dawa za kulevya!

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,566
13,540
Hivi Tanzania daima limegeuka kuwa gazeti la kutetea wauza unga!!! Jamani CHADEMA mbona mi siwaelewi? Jamii ilikuwa imeshashawishika kuwa nyie ni wakeameaji wazuri wa ufisadi na mafisadi.

Makonda anapongezwa kila kona ya nchi na ni jana tu amefanyiwa dua maalumu kutoka kwa mashehe hapa wa Dar lakini gazeti hili linaponda jitihada anazofanya mpaka kutaka aachane nazo.

Nimeshangaa sana title page yao kuandikwa eti Makonda ni hatari kisa anadili na madawa. Nimeshangaa sana
 
Wauza unga wamevamia siasa,ila Mungu mkubwa Waheshindwa,watatoweka....ngoja warushe mateke ya mwisho mwisho wakikata roho
 
kwahiyo wewe umewashahukumu wale waliotajwa ni wauza unga?, wakati hata mahakamani hawajafikishwa
 
Mashehe gani, wanamuombea mtu huku kavaa viatu, tumia akili, ni genge la watu, waliojikusanya kwa malipo ya ubwabwa, kutumia kisingizio cha uisilam. yani Makonda anajitekenya mwenyewe na kucheka.
Uyo mleta mada ni "kenge",uwezi kudhalilisha uisilamu kwa stail hii,hapo msibani muda wa dua tunatoa viatu
 
Kama mwenyekiti wa hilo gazeti ni muuza ngada mkubwa unategemea gazeti liseme nini??
 
Wauza unga wamevamia siasa,ila Mungu mkubwa Waheshindwa,watatoweka....ngoja warushe mateke ya mwisho mwisho wakikata roho
Mkuu, Sumaye aliwahi onya, tusipokuwa makini ikulu itakamatwa na wauza unga. Leo tunaanza kufahamu alimaanisha nini
 
Back
Top Bottom