Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,372 Reaction score 37,908 Aug 7, 2025 Thread starter #101 bin haroub said: Inasikitisha sana lakini huo ndio ukweli Click to expand... Ambao wanazi wa Chadema hawakubali kukiri.
bin haroub said: Inasikitisha sana lakini huo ndio ukweli Click to expand... Ambao wanazi wa Chadema hawakubali kukiri.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Aug 7, 2025 #102 Muda utaongea... Cc: Mahondaw
B Byakatonda JF-Expert Member Joined Oct 14, 2021 Posts 416 Reaction score 770 Aug 7, 2025 #103 Ngongo said: Heshima sana wanajamvi. Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu. Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI. Ngongo kwasasa Tanga Michungwani. Click to expand... Wasalimie huko mkumbulu
Ngongo said: Heshima sana wanajamvi. Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu. Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI. Ngongo kwasasa Tanga Michungwani. Click to expand... Wasalimie huko mkumbulu
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,381 Reaction score 1,256 Aug 7, 2025 #104 Ngongo said: Heshima sana wanajamvi. Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu. Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI. Ngongo kwasasa Tanga Michungwani. Click to expand... Utuletee machungwa chief.
Ngongo said: Heshima sana wanajamvi. Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu. Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI. Ngongo kwasasa Tanga Michungwani. Click to expand... Utuletee machungwa chief.
Bra-joe JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,886 Reaction score 1,569 Aug 7, 2025 #105 Ngongo said: Heshima sana wanajamvi. Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu. Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI. Ngongo kwasasa Tanga Michungwani. Click to expand... Dhahabu mpaka inakuwa bora ni lazima ipite kwenye moto mkali. Chadema kwa sasa wanapita kwenye moto huo, wakivuka hapo watakuwa Bora zaidi kuongoza nchi.
Ngongo said: Heshima sana wanajamvi. Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu. Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI. Ngongo kwasasa Tanga Michungwani. Click to expand... Dhahabu mpaka inakuwa bora ni lazima ipite kwenye moto mkali. Chadema kwa sasa wanapita kwenye moto huo, wakivuka hapo watakuwa Bora zaidi kuongoza nchi.