britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Swali dogo, kama ambavyo tunaona CCM imeshaingia mikonon mwa mtu mmoja,
Chama kikuu Cha upinzani kina
Kina ubavu wa kumwondoa mwenyekiti wake madarakani kama ANC ya Afrika Kusini ilichomfanyia Zuma?
Ni swali Tu,
Je kwanini vyama vingi vya siasa vya Tanzania vinaonekana kuonekana kuwa chini ya maamuzi ya mtu mmoja??
Nasema haya kwasababu mbowe kafeli katika yafuatayo
1. Kukikuza chama katika misingi yake ya awali ya kukataa ufisadi
2. Chama kinashangilia Sana uvunjifu wa Amani Zaid ya kukemea
3. Maamuzi makubwa bila makubaliano yenye tija ya chama yame base mwelekeo wa Mwenyekiti anataka nini
Britanicca
Tofauti ipo kubwa saana. ANC ni chama cha watu waafirica kusini, CHADEMA, ni chama cha mtu mmoja Mbowe
Haya yanatakiwa yafanywe na ccm,,ci chadema ,,,maana hatuna serikaliSwali dogo, kama ambavyo tunaona CCM imeshaingia mikonon mwa mtu mmoja,
Chama kikuu Cha upinzani kina
Kina ubavu wa kumwondoa mwenyekiti wake madarakani kama ANC ya Afrika Kusini ilichomfanyia Zuma?
Ni swali Tu,
Je kwanini vyama vingi vya siasa vya Tanzania vinaonekana kuonekana kuwa chini ya maamuzi ya mtu mmoja??
Nasema haya kwasababu mbowe kafeli katika yafuatayo
1. Kukikuza chama katika misingi yake ya awali ya kukataa ufisadi
2. Chama kinashangilia Sana uvunjifu wa Amani Zaid ya kukemea
3. Maamuzi makubwa bila makubaliano yenye tija ya chama yame base mwelekeo wa Mwenyekiti anataka nini
Britanicca
Haha duhTofauti ipo kubwa saana. ANC ni chama cha watu waafirica kusini, CHADEMA, ni chama cha mtu mmoja Mbowe
Dadavuwa mkuuZito Ana majibu ya maswali haya.
KumbeMbowe ts like Baba mwenye nyumba, then wengine woooote ts like wapangaji. Ss uliona wapi mpangaji apate jeuri ya kumfukuza mwenye nyumba? Thubutuu.....
Zito Ana majibu ya maswali haya.
Hanna ubavu huo ccm zaidi ya kuwafanya waendelee militia hasara taiga KWA ujumla
HakunaThubutu, chama chenyewe ni cha mbowe