CHADEMA ina ubavu wa kumwondoa mwenyekiti madarakani kama ANC ya Afrika Kusini ilichomfanyia Zuma?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Swali dogo, kama ambavyo tunaona CCM imeshaingia mikonon mwa mtu mmoja,

Chama kikuu Cha upinzani kina
Kina ubavu wa kumwondoa mwenyekiti wake madarakani kama ANC ya Afrika Kusini ilichomfanyia Zuma?

Ni swali Tu,

Je kwanini vyama vingi vya siasa vya Tanzania vinaonekana kuonekana kuwa chini ya maamuzi ya mtu mmoja??

Nasema haya kwasababu mbowe kafeli katika yafuatayo
1. Kukikuza chama katika misingi yake ya awali ya kukataa ufisadi
2. Chama kinashangilia Sana uvunjifu wa Amani Zaid ya kukemea
3. Maamuzi makubwa bila makubaliano yenye tija ya chama yame base mwelekeo wa Mwenyekiti anataka nini

Britanicca
 
KWA NINI USIULIZE CCM INAUBAVU WAKUMWONDOA MUNGU MTU?
 
Haya yanatakiwa yafanywe na ccm,,ci chadema ,,,maana hatuna serikali
 
Mbowe ts like Baba mwenye nyumba, then wengine woooote ts like wapangaji. Ss uliona wapi mpangaji apate jeuri ya kumfukuza mwenye nyumba? Thubutuu..... Km hujafungashiwa virago mapema km Zitto Jepesi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom