Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
anaitwa wilfred lwakatare
mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chdm
anaitwa wilfred lwakatare
mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chdm
Usamehewe bure maana hujui utendalo. Umetazama kwa kutumia nini? hayo macho yako au teknolojia gani uiweke wazi ili tuihukuwa hoja yako kwa vielelezo vyako. Kama ni kwa macho ya kawaida wewe ni mvivu wa kufikiri na huna kumbukumbu hata na Physics ya fomu two kama ulijaliwa kupita shule katika maada ya mwanga namna ambavyo macho yanaweza kukudanganya katika kutazama.Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
sisi wengine hatuangalii vitu kwa black and white kama wewe, we think outside the box by going beyond average mind
can see. why didn't the producer avoid turning in the clip to the authorities? we don't trust the authority which is famous around the world for kidnapping and killing its own citizens. we look into everything with skeptical eyes, we want to verify what is behind the curtain before we make conclusion. we can't stop you from believing in brutal regime with bunch of wababishaji but don't force us to trust killers of mwangosi that suddenly they are interested in truth.
je tuweke ip addrees ya kompyuta iliyotumika?je tu downset matukio mengine yaliyokuwa posted na kupyuta address iyo?je tulete na michango mingine ktk websites nyingine ambazo iyo komputa imekuwa ikitumika?kipi ni rahsi mnataka tufanye?
chadema ni chama cha wahuni sema ndio hivyo kipenda roho, washabiki wake hawataki kuona ukweli yaleyale ya chacha wangwe , chama kimejaa wahuni
Mbona cd ya dr ulimboka hamukuijadili wala kufuatilia ukweli? Mbona picha za mauaji ya mwongosi hazijafanyiwa uchunguzi? CCM muache kutuhadaa ili kutupotezea lengo. Mfungeni tu huyo kamanda lakini mjipange kulipa huo ubaya.Hapo kwenye red, labda huyo aliye mrekodi Lwaka T ni mmoja wa askari wa CDM amabye kachoshwa na uovu anaotumwa kufanya dhidi ya wa TZ wenzake, akaamua kumkomoa Lwaka T. CDM mnalo hilo! tuelezeni ukweli acheni kuleta hizi porojo pelekeni hiyo clip ujerumani wakaangalizieni kama ni uongo au la! na dunia nzima ijue ukweli hii habari ya kutoa toa mapovu muache! we need to trust you so do the needful and mtoe tamko rasmi maana dunia nzima imeona hiyo clip! Jisafisheni, mmechafuka saana!
Ukweli haupigiwi Kura !!
mambo yalianza kwa kumvamia , kumtesa na kumteka DC wa Igunga. hadi wabunge akina susan kiwangwa walishirika katika utekaji
TUKAWA TUNAJIULIZA NANI YUKO NYUMA YA MAMBO HAYA!!!!???
MUNGU SI ATHUMANI WALA JOZEFU,
UKWELI UMEJULIKANA NA NI HUU HAPA CHINI. HUYU BWANA KATUONESHA CHAMA KINACHO RATIBU HAYA YOTE
anaitwa wilfred lwakatare
mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chdm
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa CHADEMA wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all CHADEMA supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians.
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.