CHADEMA Imeshapoteza Majimbo ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

Asante Faiza, Mungu wa Kanisa anaitwa nani, Mungu wa Misikiti anaitwa nani, na miungu wa Wabudha, Hindu wanaitwaje?

Vv
 
Mtu anayongelea na kuwaita wenzie wadini, yeye ni mdini zaidi. Sikujua kuwa 'Mungu' na 'Allah' ni wawili tofauti!
Ishmael, hebu nisaidie, inaonesha hajapitia darsa zako, hebu msome halafu umpe darsa huyu Getstart kwa jina la Yesu.
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy

Mimi sipo chama chochote lakini namu admire sana huyu Dada kwasababu hoja zake nyingi ukisoma kwa makini utakuta zina ukweli . Detailed analysis. Hata kama yupo kwa maslahi ya chama chake ila kichwa chake kimetulia sana . Na anapoweka nondo zake humu naona wapo watu wanatamani wampige mawe.

we unamwita Mwigulu dada! Una kichaa wewe!
 
Last edited by a moderator:
Asante Faiza, Mungu wa Kanisa anaitwa nani, Mungu wa Misikiti anaitwa nani, na miungu wa Wabudha, Hindu wanaitwaje?

Vv

Ngoja Ishmael atakupa darsa kuhusu hilo la wa kanisa., Nimemuita anajifanyia hajasikia.

Wa Msikiti anaitwa Allah, kuhusu wa Wabudha na wa Wahindu ngoja nifanye "research" kiduchu, ntarudi kukupa darsa.
 
Last edited by a moderator:
Mnyika na Mdee waanze kuaga tu ila Mdee anaweza tena kuteuliwa viti maalum maana waanamuogopa sana anajua siri ya Mbowe na Mnyika.

Wanamuogopa msela mavi kwa kuwa yule chuma anaita chuma,na bunge likivunjwa huyoo kwa wazalendo
 
Ngoja Ishmael atakupa darsa kuhusu hilo la wa kanisa., Nimemuita anajifanyia hajasikia.

Wa Msikiti anaitwa Allah, kuhusu wa Wabudha na wa Wahindu ngoja nifanye "research" kiduchu, ntarudi kukupa darsa.
Yesu Kristo ndie Mungu Mkuu, wengine wote ni miungu inclusive Allah and his sole prophet Muhammad, charles darwin a non theistic deity.
 
FaizaFoxy

Wewe ndio mlinzi asiyeonekana aliyetajwa mtabiri wenu?
Au wewe ndie mrithi wake?
Maana unaishi kwa utabiri na hisia tu.
JK na Riz hao unawaweka wapi? au hao sio baba na mwana.?

Kwa mfano wa JKna RIZ unataka kutuambia kuwa CDM na CCM wote ni wale wale kama ndio hivyo nawashauri wote vueni magwanda na magamba. Vaeni uzalendo.
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy

Uloandia wala sio jambo baya isipokuwa wafuasi wa Chadema ni lazima watambue kwamba kuna watu wataelewa mrengo wa Chadema ni kama alivyosema Faiza. Na msichukie kusikia hoja kama hizi bali mzifanyie kazi pale mnapoona kisiasa inaweza tafsirika vibaya. Kwa hiyo mimi naweza kuelewa tofauti lakini wapo watu watakao mchukua Slaa kama Padre na kauli mbiu inasema hivi kwa hiyo wana maana hii..

Mara nyingi watu tunapoandika hoja zetu humu ni kutokana na mueleo wa watu, sii lazima iwe mawazo yake yeye bali wananchi wanaipokea vipi. Kitakachoweza kuwaokoa ni kufahamu mapema makosa ambayo pengine hamkuyakusudia lakini yamejitokeza na hali halisi ndio hii. Je, mtaweza vipi kujitanzua katika hali hiyo?
 
Ishmael, hebu nisaidie, inaonesha hajapitia darsa zako, hebu msome halafu umpe darsa huyu Getstart kwa jina la Yesu.
cc: Getstart
Umenifanya niskie rahaa ulipo sema kwa Jina la Yesu, mweeeh. Hakika kuna jina moja tu lililo zaidi ya Majina Yote, nalo ni Yesu.

Sasa:
Sifa moja (adhama) ya Mungu ni kuwa, Yeye habadiliki. Mungu katika Agano la Kale alisema kupitia Nabii Malaki (Maana ya Malaki ni Mjumbe wa Mungu) alisema Unabii huu Miaka 557 kabla ya kuzaliwa Yesu kuwa, Soma:

Malaki 3: 6" Mimi BWANA sibadiliki. Kwa hiyo ninyi, Ee uzao wa Yakobo, hamjaangamizwa.


Mungu Habadiliki. Je, Yesu anayo hiyo sifa ya kutobadilika? Hebu tusome Waraka wa Waebrania:


Waebrania 13: 8 Yesu Kristo ni Yeye yule jana, leo na hata milele.


Waraka wa Waebrania unakiri kuwa Yesu habadiliki na ni yeye yule jana, leo na hata milele. Sifa hii ya kutokubadilika ni ya Mungu na tunaipata vile vile kwa Yesu.


Zaidi ya hapo, kwenye Waraka wa Waebrania tunajifunza kuwa Yesu ni wa Milele. Ikimaanisha kuwa Yesu hana Mwisho wala Mwanzo. Hiyo sifa ya Umilele ni ya Mungu. Kumbe basi Yesu ni Mungu.
 
Last edited by a moderator:
hahhahahahahahaha...the same upuuzi kutoka kwa wapuuzi wale wale

Naam, lazima uone ni upuuzi kwa kuwa ndipo upeo wako ulipoishia, kwenye ncha ya pua yako.

Nnauhakika wapo wenye upeo mrefu wanaweza wakayatafakari hayo na kuyafanyia na kuweza kutuletea upinzani wa kweli kwa faida ya Tanzania.

Si huo wa chadema , wa Usultani, Ukosefu wa Maadili, Ubinafsi, Udikteta, Uongo na Udini.

Leo Slaa au Mbowe wanaweza kuwaasa nini Watanzania kuhusu maadili? ulishawasikia hata siku moja wakiongelea maadili ya Mtanzania yanatakiwa yawe vipi? Mimi sijawahi.

Wataanzia wapi? mmoja katelekeza watoto na kuchukuwa mke wa mtu na ilhali kasomea kanuni za Kanisa na ana PhD huyo ya hizo kanuni. Na kashindwa kufata hizohizo kanuni za kimaadili alizosomea. Ina maana yote aliyosomea hayaamini, huyo alieshindwa kujiongoza mwenyewe na kondoo waliopotea leo ataweza kweli kuongoza nchi? Usijibu kiushabiki, kuwa honest na nafsi yako. Fikiri.

Wa pili nae hali kadhalika, ana mke na watoto na kibaya zaidi mke huyohuyo ndiye aliemfikisha hapo alipo, hakuna ubishi kwa hilo, kwani muasisi wa chadema na mtu mwenye nguvu na sauti ndani ya chadema hadi hii leo ni "The God Father" Mtei na Mtei ni baba mkwe wa Mbowe, leo huyohuyo Mbowe anaenda kumsaliti mkewe na kuchukuwa kirembo kimoja na kuzaa nacho na kukipa ubunge wa upendeleo.

Isitoshe ana kilabu ya usiku huyo maarufu sana Dar,. Inaitwa Bilicanas, ni maarufu sana kwa ufuska na uasherati uliopo hapo. Kuna kila aina ya uhuni na ufuska pale na visichana na vivulana ambavyo vingine bado vipo shule.

Sasa fikiria watu kama hao wasiojuwa maana ya maadili ni nini Watatuongoza nini kama si kututumbukiza shimoni tu?
 
Tatizo moja kubwa sana nnaloliona hapa kutpka kwa bavichaa ni kushindwa kujenga hoja, kati ya wote mliojibu nyuzi hii 99% ya bavichaa wanahororoja na kubwabwaja bila mpango.

Ikiwa vihoja hivi vichache na vya wazi kabisa mnashindwa kujenga hoja zenu na kujibu kistaarabu ili tuelewane, kweli mtaweza kujibu nondo za Tyson na mtaweza kuwakinaisha Watanzania kuwa mnaweza kuongoza nchi?

Jisomeni halafu muone kwa kubwabwaja na kuhororoja kwenu mlikokufanya humu mnaweza kweli kuwa hata wajumbe wa nyumba kumi?

Uzuri ni kwamba leo hamjatukana sana, isipokuwa mapunguani wachache tu, ndiyo raha ya misukule hiyo, utavyoiambia inafata. Tatizo wale kondoo, kila unapowaweka sawa wao vichwa vigumu.

Ntakuja kumjibu kila mmoja kwa namna yake alivyochangia. Liwe ni fundisho kwenu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Toka ulipong'ang'ana kama kupe kuwa hakuna atakayeachia ngazi kwenye sakata la Escrow na kisha kudhihirika kuwa wewe ni mtabiri feki,sina imani tena na wewe kwa lolote lile.Hata uongee unalia lakini ulishajishushia "credibility" toka zamani..
 
FaizaFoxy

weka ni picha za
ali hassan mwinyi vs hussein mwinyi
jakaya kikwete vs ridhiwani kikwete
pius msekwa vs ana abdallah
samuel sita vs margareth sita
khamis kagasheki vs catherine magige

CCM na CDM wote ni wale wale bora tuungane na wazalendo kurudisha nchi kwenye misingi.
 
Last edited by a moderator:
Asante Faiza, Mungu wa Kanisa anaitwa nani, Mungu wa Misikiti anaitwa nani, na miungu wa Wabudha, Hindu wanaitwaje?

Vv

Umeona jibu la ismael hapo juu, sasa mimi Muislam siamini kama Yesu ni Mungu, sasa nataka uniambie yule ambae "Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu" ni Yesu au Allah?
 
Novemba si mbali nina uhakika utakimbia jukwaa ..kumbuka ikulu si ufipa...

Bila shaka hakuna utata katika hili, kuwa chadema imeshapoteza majimbo ya uchaguzi hata uchaguzi haujafika.

Kwa ufupi, majimbo ambayo hayako tena mikononi mwa chadema hivi sasa na mpaka ifikapo Oktoba ni ya Zitto, Arfi, Shibuda, Halima Mdee na Mnyika.

Kwa urefu, tujadili na mengine ambayo chadema wanajuwa wazi wameshayakosa au wanategemea kuyakosa kwa sababu tofauti.

Chadema wamshukuru sana Jussa wa Zanzibar kuwapa uhai mpya kwa kuleta wazo la UKAWA na Lipumba kukubali wazo hilo wakati wa BMK.




Lakini mpaka sasa wako ICU kwani hakuna asiyeelewa kipigo kilichowaumiza sana chadema ni siasa zao za ubinafsi, kuanzia Kwa Mtei mpaka Mkwewe Mbowe na upande wa pili kuanzia kwa Slaa mpaka kwa mchumba Josefina ambae ana hodhi madaraka ofisi za chadema makao makuu kuliko akina Komu. Upande wa tatu kuna Ndesamburo na mwanawe, ukivuka bahari kuna mpwa wa Naibu Mwenyekiti wa visiwani nae kapachikwa ubunge wa ipendelo. Yaani huko chadema ubinafsi ni kwao.

Mbali ya uchumia tumbo na udini walio nao.

Hili la udini wala si siri, kauli mbiu ya Chadema "Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu" haina utata kabisa kuashiria udini wao, kwani nnauhakika Mungu huyo wanaeanza na kumaliza nae si Allah bali ni Mungu wa Kanisa. Anaebisha hili anambie na nipo tayari kulijadili zaidi. Kwa mantiki hiyo, majimbo yenye Waislam wengi ni lazima chadema iwawachie amma CUF amaa NCCR amma NLD, Mbatia wala Makaidi hatujauona udini wao mpaka sasa, natumai hawana. Chadema kwa hilo hawana kipya, kauli mbiu hiyo inaendelea kuwateketeza kule isipokubalika.

UKAWA nako kimenuka, CUF hawatokubali kubaki na Zanzibar pekee, lazima wajitutumuwe waambulie majimbo ya ubunge bara kujiongezea ruzuku. Jee, chadema iko tayari kuachia majimbo iwape CUF? Hapo sasa.

Upande wa Zanzibar CUF hawatokubali kumpa yeyote hata kiti kimoja, mfano mdogo tu, kumpa chadema jimbo lolote Zanzibar ni kuhakikisha kuwa hilo jimbo umelipoteza, hakuna asiyejuwa, Padri Slaa na kauli mbiu ya chadema ya "Tumeanza na Mungu, tutamaliza na Mungu" Zanzibar haikubaliki kwa sababu niliyoiweka hapo juu.

NCCR hali kadhalika ni lazima wajitutumuwe kuongezzea majimbo, ni nani asiyetaka kujipanuwa? Jee, chadema na au CUF wataakuwa tayari kuachia majimbo yao machache yaliyobaki kwa ajili ya NCCR? ukichukulia kuna kila uwezekano na Kafulila akahamia ACT baada ya Bunge kufungwa.

Na wale wengine NLD nao ni kama paka aliyesikia harufu ya samaki waliposikia wazo la ukawa BMK, wakarukia bila kufikiria, siwalaumu, hata mimi ningekuwa wao ningerukia fursa hiyo, hawana cha kupoteza bali na wao ni lazima wapewe jimbo, na ukawa wakubwa wawaunge mkono, jimbo lingine hilo la chadema linayeyuka. Hawa hata uwaambie nini ni lazima watang'ang'ania na wao watengewe majimbo.

Ukija kwa ACT, hakuna shaka kuwa wabunge wengine wawili watatu zaidi ya hao niliowataja watachukuwa fursa ya kujiunga huko na kugombea Ubunge. Majimbo mengine hayo ya chadema.

Bila kusahau wale wabunge wenye uzoefu wa kupendelewa nao vyama vyao visipowapitisha ni lazima watakuwepo wataokwenda kuwahi fursa ACT.

Maadili nayo ni pigo lingine kwa chadema, sijuwi Mbatia hili analisemeaje, kwani nnavyomuona na kumsikia anavyoongea naona ni mtu ambae yuko vyema ki maadili:

Chadema mpoooooo? Bavichaa njooni kwa heshima na adabu, matusi sitaki.

Kwa umri wako mleta uzi sishangai siasa za hivyo kwani kizazi chenu ndio kilichoasisi siasa za namna hii. Hongera sana kwa siasa zenye tija kwa taifa letu.

Nameroki sokoine na Edward SOKOINE

mAKONGORO NA ROSE nyerere n

mwinyi mbunge afrika mashariki

riz 1 na MAMA SALMA

NAPE NAUYE.....

MGIMWA NA MGIMWA

ADAM MALIMA

GAMA MKUU WA MKOA

makamba

karume

mzindakaya

aisha na omari kigoda.....


List ni ndefu na inaendelea

Ndugu kuwa kwenye fani moja mi sioni kama ni tatizo sana....tatizo linakuja kama akipitishwa kwa mizegwe kwa kupitia sifa za mtangulizi wake na vilevile akiwa na uwezo mdogo wa kuimudu hiyo nafasi....uwanja wa ushindani uwe huru na haki na mhusika awe na uwezo kuimudu nafasi bila shida yoyote.

Maana hata watotot wengi wa wanasheria nao huwa wanasheria katika familia nyingi za mawakili maarufu utakuta walau mtoto wake mmoja wakili....hata majeshini hivyohivyo.....walimu nao hivyo kuna familia ukienda wote walimu....Madaktari nao hivyo...familia za wafanya biashara ndo hivyohivyo....kwa nini hutokea hivyo? mtoto anajikuta amekulia kwenye hayo mazingira mwisho wa siku anavutika na kujiunga na fani ya mzazi au msukumo wa mzazi mwenyewe kwa lengo la kupata mrithi wa fani yake





Huyu mleta mada hayo yote anayajua lakini hizi ndio kampeni za CCM wanapoona kwamba maji yamefika shingoni.
mbinu za CCM ni udini,ukabila , vitisho na kuiba kura. Hawana jipya.
Nakumbuka kuna diwani mmoja (dini muislam) wa CCM wakati wa uchaguzi 2010 alipita misikitini na kuwadanganya waislam kuwa wasimchague mpinzani yake ambaye alikua mkristo kwa sababu eti akiwa diwani ataanzisha miradi ya kufuga nguruwe kwenye kata yake.
Waislam wengi wakaamini mana ni kauli iliyorudiwa rudiwa mara kwa mara misikitini.Na kwa sababu ya uelewa mdogo wa watu kwenye ile kata yule diwani alishida kwa njia ya udanganyifu na udini.
Mwingine ni mbunge ambaye leo ni waziri wa maji .
Yeye alipita misikitini na kuwadanganya waislam kuwa Rais amemtuma kuwa wasije wakamwangusha kwa kuchagua mtu asiye muislam.
Naye pia akapata kura nyingi kwa njia ya udanganyifu.
Hizo ndizo mbinu za CCM za ushindi.
Na mleta mada bado anafikiri kuwa mbinu hizo bado zinaendelea kukubalika .Amesahau hizo mbinu zilitumiwa kule Marekani kwa Obama zikashindikana.Nigeria wakajaribu na zenyewe zikashindikana. Watu wanataka mabadiliko tu hakuna kitu kingine. Wamechoshwa na serikali ya majungu na fitina bila majawabu ya matatizo ya nchi yao.
CCM ni watanzania na UKAWA ni watanzania pia kwa hiyo kwa sasa tunataka CCM wapumzike wajipange upya wametudhulumu vya kutosha. Wameshindwa kufanya mambo madogo kabisa kama vile kupima viwanja na kuwazuia watu wasijenge holela mabondeni leo hii mafuriko yanaua watu kwenye mji ulioko pembeni mwa bahari.
 
Hahahaha!!!! Ungeandika vizuri hapo kwenye red ( VITU MAALUM )ili Prof. Kikwete apandishe mzuka wa kutamani kubaki Magogoni.

Hiyo naona ni tafsiri ya chadema, maana naona Mheshimiwa ana kitu chake maalum pale kilichomletea Jr. Toto la nje ya ndoa, Waswahili tunasema "watoto wa haramu", kwa maana walipatikana kwa njia ya haramu walioifanya wazazi wake.
 
Chadema ni kama maji
 

Attachments

  • 1431105255820.jpg
    1431105255820.jpg
    22.8 KB · Views: 67
Back
Top Bottom