Sasa nani atatuongelea ukweli ikiwa hadi upinzani nao unathubutu kusema uongo. Mungu tusaidie na balaa la wanasiasa waongo.
Kijana ukiitwa mahakamani utaweza kuithibitisha unachokisema JF, sio sehemu ya porojoNi kama ambavyo Rostam Azziz anavyomiliki makampuni zaidi ya kumi
lakini hakuna jina lake kwenye kampuni hizo, ndivyo ilivyo kwa Jeetu Patel
kuwa mmiliki kwenye kampuni hiyo bila kuwemo jina lake.
Kwani unafikiri janja yao haijulikani? Sidhani kama Chadema watakuwa
wamekurupuka kwa vyovyote wana evidence. Wapeleke kesi mahakamani
kama wanadhani wameonewa...
Kampuni ngapi umiliki wake ni wa siri? Nani asiyejua Kagoda inahusishwa na Rostam Aziz wakati jina lake halionekani mahali popote? Suala muhimu hapa kwa mkanushaji ilikuwa suala la umiliki wa ardhi ambalo hajaliongelea zaidi ya kumkingia kifua Jeetu Patel, Mwita zinduka hakuna wa kuzuia upepo unapovuma na hiki ndicho kinachoitesa ccmSasa nani atatuongelea ukweli ikiwa hadi upinzani nao unathubutu kusema uongo. Mungu tusaidie na balaa la wanasiasa waongo.
Au Riz1 anavyomiliki mali kwa kutumia migingo ya watu kama ASAAS wa Iringa
ASAS ya Iring ilikuwepo kabla Ridhwan hajazaliwa, wacha kudanganya watu. Hao wenye ASAS tunawajua sana tena sana. Hao ni kina Bin Abri wa Iringa, ni matajiri wa huko kabla ya Nyerere kuwa Rais na hata wakati wake walikuwepo na licha ya ASAS wana kampuni nyingine inaitwa Bin Abri Transport. Kama wewe huwajui muulize baba'ko anaweza kuwajuwa kwani ni wa zamani sana hawa. Wacha uongo.
Ndio nyinyi mnawapoteza ma boss wenu halafu wanaenda kusema uongo bungeni!
Kilimanjaro hotel si nasika ya MengiKumbe hujui kuwa biashara pia huuzwa kama nazi!......Kilimanjaro hoteli pia ilikuwapo mhata kabla ya mmiliki wake wa sasa kuzaliwa
Kumbe hujui kuwa biashara pia huuzwa kama nazi!......Kilimanjaro hoteli pia ilikuwapo mhata kabla ya mmiliki wake wa sasa kuzaliwa
Kilimanjaro hotel si nasika ya Mengi
hii kampuni wanalitakiwa kukanusha kama hawajazoa ardhi kifisadi na kuwaacha wananchi watu,
iweje wao wanaona ni muhimu kumtetea JEET ambaye wanadai sio mmiliki wa kampuni?
yeye JEET ana wasemaji? kama wao wamekuja hadharani la kumiliki ardhi ni muhimu zaidi wangeongelea hiyo kwanza maana suhala kuu hapa ni hiyo kampuni kujichotea ardhi, hiyo patel anaweza kuikana hiyo kampuni kwa sababu imechafuka
Nimekumbuka alishindwa bei mpaka leo aongei na Masilingi.Hapana si ya Mengi. Alisindwa kwenye zabuni akawapeleka walioshinda mahakamani eti kwa kuwa sio wazawa. Mahakamani akashindwa kuwa hata kama ni mzawa lakini hukukidhi vigezo. Uchungu wake mpaka leo haingii Kempinski, anaona haya.
Kijana ukiitwa mahakamani utaweza kuithibitisha unachokisema JF, sio sehemu ya porojo
ASAS ya Iring ilikuwepo kabla Ridhwan hajazaliwa, wacha kudanganya watu. Hao wenye ASAS tunawajua sana tena sana. Hao ni kina Bin Abri wa Iringa, ni matajiri wa huko kabla ya Nyerere kuwa Rais na hata wakati wake walikuwepo na licha ya ASAS wana kampuni nyingine inaitwa Bin Abri Transport. Kama wewe huwajui muulize baba'ko anaweza kuwajuwa kwani ni wa zamani sana hawa. Wacha uongo.
Ndio nyinyi mnawapoteza ma boss wenu halafu wanaenda kusema uongo bungeni!
Naomba unitajie makampuni matano ya Rostam hata ukiitwa mahakamani unaweza kuyataja...fisadi gani atajaribu kumpeleka mtu mahakamani? kawaulize karamagi, Mkono, na Mgonja wakumegee siri kwa nini hawakumpeleka Dr Slaa mahakamani alipowataja hadharani kuwa ni mafisadi, pamoja na mikwara yote waliyoitoa na nguvu kubwa ya pesa waliyonayo. <br />
Kumbuka Kubenea alitaja majina kibao ya Rostam yenyetofauti za spelling mojamoja tu. e.g. Rustam, Rastam, Azziz, Aziz nk, kwenye makampuni kadhaa. hadi leo Rostam kala jiwe hathubutu kisogelea mahakama.