CHADEMA imekuwa dampo la CCM

CHADEMA imekuwa dampo la CCM

Huyo LOWASA ni CCM aliyekatwa but kufika chadema akafanywa mungu mtu na kupewa madaraka at the expense of wakongwe waliojenga chama, its a lower version bcz ccm hawawez kujiendesha kihovyohovyo kama chadema.

Huwez kujiita bora kuliko mm wakati unakula nilivyovitapika.

Kabla hawajapewa madaraka wanatakiwa wajithathmin wenyewe kama wameweza kujiendesha wao kama wao bcz haiwezekan kufanyia majaribio nchi . jinsi mboe anavyoiendesha chadema syo tofaut sana na jnsi Rwanda inavyojiendesha af eti unakuja na Hoja ya ukuta.

Its a lower of CCM bcz Lowasa aliifanya Chadema chaguo la pili na mpango wake ulikuwa CCM, na hapa inajionyesha yeye sio Chadema na amereveal kuwa CCM is a higher version of Chadema, na yy sio chadema real but n maslahi.

Chomoka upinzan af kuwa neutral af uchambue upinzan, hii itakusaidia kuondoa mihemuko.

Chadema is a lower version of CCM.
Quoted from JF member...
Only the stupid man he can say such Stupidity.
 
Tangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.

Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!

Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.
Lakini hao watu sindio wanatoka CCM ndio wanahamia CHADEMA ???Je CCM mmefukuza nani kwa tuhuma za ufisadi,madawa ya kulevya????
 
Tangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.

Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!

Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.
hahaha wanatokea wapi hawa ? kuja chadema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom