nkasoukumu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 897
- 419
Andeleeni kuwatupa wanachama ndani ya hilo dampo
Hakuna tulicholithi kwa wazungu hapo, yaani nachukia sana.Trum alikuwa Republican akahamia Democratic, akawa Independent na mwishoe akarudi Republican.
Nikawaida sana mtu kuhama chama, sema huku bongo ushamba mwingi.
Anyway hii inatokana na siasa changa ukichangia na huu utamaduni wa demokrasia tulio urithi kwa wazungu.
Si kwamba napinga chama kutegemea wanachama toka chama kingine hapanaBetony unategemea utawapata wapi wanachama wasio na chama??
Ni zaidi ya miaka ishirini sasamwanzo kabla ya 1992 hao wapinzani walikuwa vyama gani? kama walitoka ccm basi kila mmoja ana uhuru kuendelea kuchagua chama akipendacho
Ni zaidi ya miaka ishirini sasa
Kutegemea makandokando hakukutofautishi na pal yalipotoka
Wema asingekamatwa na bangi, angehamia chadema?Siasa ni kama mpira huwezi kuniambia Ronaldo kwenda Real Madrid eti Madrid ni dambo la Manchester United.Je Lowassa akirudi CCM Kwa hiyo CCM in dambo la chadema?
Yote hiyo ni siasa acha ujinga weweWema asingekamatwa na bangi, angehamia chadema?
Lowasa asingekuwa fisadi na kukatwa angehamia chadema??
Hivi kesi yenye vidhibiti inachukuaga mda??Wema asingekamatwa na bangi, angehamia chadema?
Lowasa asingekuwa fisadi na kukatwa angehamia chadema??
Juzi juzi ccm IMEVUNA wana CHADEMA zaidi ya elfu 1. Ccm ni dampo la CHADEMAHuyo LOWASA ni CCM aliyekatwa but kufika chadema akafanywa mungu mtu na kupewa madaraka at the expense of wakongwe waliojenga chama, its a lower version bcz ccm hawawez kujiendesha kihovyohovyo kama chadema.
Huwez kujiita bora kuliko mm wakati unakula nilivyovitapika.
Kabla hawajapewa madaraka wanatakiwa wajithathmin wenyewe kama wameweza kujiendesha wao kama wao bcz haiwezekan kufanyia majaribio nchi . jinsi mboe anavyoiendesha chadema syo tofaut sana na jnsi Rwanda inavyojiendesha af eti unakuja na Hoja ya ukuta.
Its a lower of CCM bcz Lowasa aliifanya Chadema chaguo la pili na mpango wake ulikuwa CCM, na hapa inajionyesha yeye sio Chadema na amereveal kuwa CCM is a higher version of Chadema, na yy sio chadema real but n maslahi.
Chomoka upinzan af kuwa neutral af uchambue upinzan, hii itakusaidia kuondoa mihemuko.
Chadema is a lower version of CCM.
Quoted from JF member...
Chama kina katiba, pia kina miiko ya viongozi.Kuhama chama hakuna mwanachama anayekatazwa yaan vyama ni kama timu za mpira....kumbuka machali moses kaamia ccm mbn hamjasema matapishi
Mfamaji.....Tangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.
Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!
Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.