Hahhahaa...iddi azani naye vipi hahaha na wengine akina rizimoko hahaha hao ni akina nani ...mapadri au hahha ...akina daudi bashite ...na mafisad wengine waliojificha tunaowajua ....hahahahWanaokwenda ccm inajulikana ni njaa huwa inawaandama, ila kwa chadema tena hasa miaka ya karibuni wanaoingia ni watu wa hovyo zaidi.....mafisadi, wachawi, makahaba, madawa ya kulevya nk
Ccm ya sasa haipokei makapi..hao wengine wamerudi tu walikotoka..na hawajapokelewa kwa mbwembwe zozote kama mlivyompokea wema..mpeni kitengo cha itikadi na uenezi..atawafaa sanaNa wanaopokelewa kila siku ccm wakitokea Chadema wao unawazungumziaje?
....Sorry, nilikusudia kumjibu mtoa hoja mkuu. Take it easy
Daudi Bashite atuoneshe vyetiMakonda ni wakupewa shukurani kwa hapa kazi tu yake, ilivyosaidia kuonyesha Chadema ilivyo.
Kimeimarika?????chama kina kosa hata OFISI ya maana......Nisikukatalie ya kuwa CHADEMA imeimalika kupita wakati wowote lakini ni KWENYE SUALA LA UFISADI.....Kibstec hayo ni maoni yako tu,sasa chadema imeimarika sana kuliko muda mwingine wowote ule tangu kianze,ndiyo maana ccm wameanza kuvuruga watendaji wakuu wa chadema ili wasiendelee na kuimarisha chama,mzee anapiga issue za chinichini sana.
Kinondoni ndio wilaya inayoongoza kwa utumiaji wa mihadarati ,uhuni,Ushoga na kila kitu kibaya ukikosa sehemu au wilaya nyingine Tanganyika utakipata kinondoni na Mitaa ya Ufipa kinondoni ndio makao makuu ya tasisi ya kisiasa so siwezi shangaa leo washukukiwa wote wa mihadarati wakiamia kwenye hyo taasisi
Ilikuwà lazima ujitathmini mara mbili..enzi hizo ukiwa Kiongozi wa chadema unaonekana Kiongozi wa taifa..chadema ilikuwa inatoa matamko yanayoishi..chadema ile iliibomoa kabisa ccm..enzi zile matamko ya chadema yalikusanya taifa zima..wasomi, wahadhiri wa vyuo vikuu, viongozi wa Dini, wanachuo na wengine..leo hii kweli inaenda kujikumbatia kwenye koti la wema sepetu..kweli !!!? ama kweli hujafa hujaumbikaKwahiyo Dk slaa alikuwa anazuia watu kujiunga chamani? Kuna msemo ubmnasema "Umetisha" lakini wewe "UMETISHWA" pole yako!!!!
Na hiyo kinondoni ipo chini ya Serikali ya CCM tangia uhuruKinondoni ndio wilaya inayoongoza kwa utumiaji wa mihadarati ,uhuni,Ushoga na kila kitu kibaya ukikosa sehemu au wilaya nyingine Tanganyika utakipata kinondoni na Mitaa ya Ufipa kinondoni ndio makao makuu ya tasisi ya kisiasa so siwezi shangaa leo washukukiwa wote wa mihadarati wakiamia kwenye hyo taasisi
Hakuna lolote ccm inaenda kuanguka, ss huku mwanza tulikuwa tunampenda magufuli pamoja na ccm lkn saivi hakuna tena, hali mbaya ya kiuchumi mala tunasikia na kuona watu wakionewa na kudhalilishwa ovyo ni ubabe tu, wabunge wetu wanadharauliwa, mahakama nayo kama imekandamizwa, na system yote ime pooza, Tulikuwa hatumpendi Lowassa lkn hakika tutamchagua tuTangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.
Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!
Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.
Wanachagua nadhani. Kweli watampokea Makonda akishatimuliwa CCM?Tangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.
Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!
Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.
Mkuu vp, makonda alienda Clouds kama ulicyotoa taarifa kwa mbwembwe juzi??Wema ameenda kwa deal maalum
Wanashindwa elewa CCM kuna WATU wana akili BALAA......hapo tuna mtuma WEMA akachekee na MBOWE vizuri...Then siku mbowe anashtuka hana CHAKE.....WEMA huyo CCMWema ameenda kwa deal maalum