Tangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.
Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!
Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.
Hahahaha...yani Wema ni brand? Aisee.....
....Wema kawachanganya ndo vile Supabrandi hiyoò
Sorry, nilikusudia kumjibu mtoa hoja mkuu. Take it easy....
....Wema wahurumie Dada umetisha
Hakuna mahakama iliyowathibitisha kuwa ni mafisadi na wauza unga. So they'll remain innocent until proven guilty. Kutuhumiwa hata wewe pia waweza tuhumiwa lakini hsimaanishi kuwa una kosa mpaka ithibitike kwa ushahidi. Miaka 10 sasa watu wazima wanapiga kelele kuwa Lowassa ni fisadi. Mwenyewe kawaambia tafadhalini sana nipelekeni mahakamani ili mkatibitishe madai yenu kisha mahakamani iniadhibu kwa mujibu wa sheria ndipo mpande majukwaani kuimba kuwa mimi ni fisadi. Cha ajabu hakuna anayekwenda mahakamani badala yake wanapwayuka kwenye mitandao na vyombo vya habari. Nani kakwambia CCM hakuna mafisadi na wauza unga? Tafuta hoja nyingine mkuu
Tangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.
Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!
Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.
Haya tumekusikia, kunywa maji upumzikeHuyo LOWASA ni CCM aliyekatwa but kufika chadema akafanywa mungu mtu na kupewa madaraka at the expense of wakongwe waliojenga chama, its a lower version bcz ccm hawawez kujiendesha kihovyohovyo kama chadema.
Huwez kujiita bora kuliko mm wakati unakula nilivyovitapika.
Kabla hawajapewa madaraka wanatakiwa wajithathmin wenyewe kama wameweza kujiendesha wao kama wao bcz haiwezekan kufanyia majaribio nchi . jinsi mboe anavyoiendesha chadema syo tofaut sana na jnsi Rwanda inavyojiendesha af eti unakuja na Hoja ya ukuta.
Its a lower of CCM bcz Lowasa aliifanya Chadema chaguo la pili na mpango wake ulikuwa CCM, na hapa inajionyesha yeye sio Chadema na amereveal kuwa CCM is a higher version of Chadema, na yy sio chadema real but n maslahi.
Chomoka upinzan af kuwa neutral af uchambue upinzan, hii itakusaidia kuondoa mihemuko.
Chadema is a lower version of CCM.
Wanaokwenda ccm inajulikana ni njaa huwa inawaandama, ila kwa chadema tena hasa miaka ya karibuni wanaoingia ni watu wa hovyo zaidi.....mafisadi, wachawi, makahaba, madawa ya kulevya nkNa wanaopokelewa kila siku ccm wakitokea Chadema wao unawazungumziaje?
Mtaongea sana aisee ...save your breath...yet is to come
Trum alikuwa Republican akahamia Democratic, akawa Independent na mwishoe akarudi Republican.
Nikawaida sana mtu kuhama chama, sema huku bongo ushamba mwingi.
Anyway hii inatokana na siasa changa ukichangia na huu utamaduni wa demokrasia tulio urithi kwa wazungu.
Endeleeni kutetea ujingaHakuna mahakama iliyowathibitisha kuwa ni mafisadi na wauza unga. So they'll remain innocent until proven guilty. Kutuhumiwa hata wewe pia waweza tuhumiwa lakini hsimaanishi kuwa una kosa mpaka ithibitike kwa ushahidi. Miaka 10 sasa watu wazima wanapiga kelele kuwa Lowassa ni fisadi. Mwenyewe kawaambia tafadhalini sana nipelekeni mahakamani ili mkatibitishe madai yenu kisha mahakamani iniadhibu kwa mujibu wa sheria ndipo mpande majukwaani kuimba kuwa mimi ni fisadi. Cha ajabu hakuna anayekwenda mahakamani badala yake wanapwayuka kwenye mitandao na vyombo vya habari. Nani kakwambia CCM hakuna mafisadi na wauza unga? Tafuta hoja nyingine mkuu
Huyu anatakiwa amiminiwe maji tatu[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji108] [emoji87].....
.....hahaha inabidi alowekwe Kabisa
Wema ameenda kwa deal maalumWanaokwenda ccm inajulikana ni njaa huwa inawaandama, ila kwa chadema tena hasa miaka ya karibuni wanaoingia ni watu wa hovyo zaidi.....mafisadi, wachawi, makahaba, madawa ya kulevya nk
Haki inakuja baada ya kushtukiwa kuwa hufai,Kyadema bana hawajifunzi ni kama sikio la kufa,walianza na Richmond sasa wanakuja na akina Sepetunga wanaamini Sepetunga atawapa ushindi hah hah haya kama mnaamini hao''wasanii'' wanaongeza tija kwenye uchaguzi sawa.Kati ya hao unaowashutumu,ni wangapi wamejiunga Chadema wakitoka kutumikia vifungo vyao baada ya kuhukumiwa na serikali ya ccm inayomiliki mahakama ya mafisadi?
Kama serikali yako yenye mamlaka zote kikatiba imedhindwa kuwashughulikia hao wahalifu,badala yake inaota ndoto za kutamani kuwa igp ili ipambane na waimba pambio wa Gwajima na waosha magari nani alaumiwe?
Waacheni watu watumie haki zao za kikatiba za kujiunga na vyama wavitakavyo,kama kujiunga na chama cha siasa nako ni "kifaru cha jeshi", utangazieni umma uelewe kuwa mtu kuhama chama ni sawa na kukihamisha kifaru kambini.
Kamanda acha kusifia ujinga, huwezi kuzoa zoa mijitu ya hovyo ukajisifia umefanya usajili wa maana.....
....Wema siku.akipiga kombati pamba lazima Usale
Makonda ama Daudi
Kwa kuwa Kyadema ni chama kinachojali ''upendeleo maalumu kwenye teuzi viti maalumu basi Sepetunga atatinga mjengoni''huko alikoenda ndio mwake .imekuwa dampo, kwan hawa waliojiunga na chadema wamefukuzwa ccm? kama ni dampo la ccm mbona hao hao walipokuwa uku mliwabebesha majukum mazito tu ya chama, kama ile kampen ya mama sema na mwanao ni nan aliiendesha
Haki inakuja baada ya kushtukiwa kuwa hufai,Kyadema bana hawajifunzi ni kama sikio la kufa,walianza na Richmond sasa wanakuja na akina Sepetunga wanaamini Sepetunga atawapa ushindi hah hah haya kama mnaamini hao''wasanii'' wanaongeza tija kwenye uchaguzi sawa.
Aise ndo mmekuja na hili? HahahahaWatanzania tumshukuru sana Paul Makonda kwa kukubali kujitoa mhanga kuwaokoa vijana wetu. Hivi bila Makonda tungejuaje kama Steven Nyerere anamla mama yake Wema?