Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...
Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu
kuna watu kama 3 au 4 waliosababisha watu tuchukie cdm. Chama kmepoteza muelekeo sababu yao
Chadema ilikuwa zamani, hivi sasa watanzania wamekipuuza baada ya kugundua kuwa ni wajasiriamali wa kisiasa
Inahitaji uwe na akili ya maiti kuishabikia chadema
mkuu umekosea heading ilitakiwa kuwa chadema ilikufa bado kuzikwa tu
Chadema imefia kalenga, iko mochwari itazikwa chalinze
1. Mwenye stuli
2.kitabu mkuu
3.hazina
4.................????????????
Hivi chadema bado ipo? Tangu Wassira aseme hiki chama kitakufa kisiasa naona mwendo ndio huo kila kukicha.
Chama cha kilaghai tupa kule!
Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...
Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu
naona magamba hapa mmekaa mnafarijiana hapa,cdm hii ambayo naijua mimi haiwezi kuffa hata siku moja bali inazidi kuchanua kwa kasi killa siku
jina lako kwenye mgao wa buku saba ni namba ngapi.sembe inafanya kaziHivi chadema bado ipo? Tangu Wassira aseme hiki chama kitakufa kisiasa naona mwendo ndio huo kila kukicha.
Chadema imefia kalenga, iko mochwari itazikwa chalinze
Inahitaji uwe na akili ya maiti kuishabikia chadema
faizafoxy said:hata nccr haija ipo, au sio? Isipokuwa "imekata tamaa imekubali yaishe".