CHADEMA imeiteka CCM bila kujua

Jinsi ulivyoandika tu, inaonesha bado ni mtoto
Chama kisicho na tija, kinacho jificha kwenye mgongo wa dola na matumizi mabaya ya kodi za wananchi..
 
mkuu unalazimisha, chadema chama makini, mmeona hata kwenye kampeni za madiwani, hakuna fuso zilizo leta watu, watu wanakuja wenyewe kusikiliza Sera makini.

CCM acheni uoga, acheni kutumia police, tuacheni tushindane kwa hoja majukwani,

Pamoja na kubebwa lakini wananchi wamewachoka wenyewe mnajua ndio maana mnatumia mbinu chafu kama hizi za kununua wanachama.

Kwa Mara ya kwanza toka Uhuru ndio tunasikia ccm inaona fahari kupata mwana chama mpya, no dalili za chama kimekufa.
 
CDM is here to stay, CDM haitikisiki kwa usanii wa kujitekenya na kucheka mwenyewe!
 
Unajua nini? Tukutane hapa 2020 tuone CDM wamefanya vipi kwenye chaguzi.

Haki ya nani mtatia aibu ile mbaya. Ni afadhali mtafute kisingizio (udikteta, serikali ya kipolisi, tumenyimwa fursa ya siasa kwa miaka 5, au chochote kile) kwa nini hamuwezi kushiriki kwenye ule uchaguzi.
 
CCM imechokwa nchi nzima. hakuna mwenye hamu na hiki chama
 
Chama cha wanyonge leo mfuko wa Cement Tsh 14000
 
ccm mkiruhusu mikutano, na mkaachana kutumia police kama wanawake wanapenda kutumia meno wakipigana na wenzao, nakuhakikishia hampati hata kiti kimoja cha ubunge..
 
ccm mkiruhusu mikutano, na mkaachana kutumia police kama wanawake wanapenda kutumia meno wakipigana na wenzao, nakuhakikishia hampati hata kiti kimoja cha ubunge..
Sasa hivi CDM mnalia lia

Acheni wivu wa kijinga huo. Jitahidini na nyie mpendeze,
 
Sasa hivi CDM mnalia lia kama mke alieolewa mke mwenzie, kimwana anaewaka, anaejijua kama mama, anamtunza mume; kwa kifupi AMEMPIKU.

Acheni wivi wa kijinga huo. Jitahidini na nyie mpendeze, shubaamit.
huna lolote, ccm kwisha.. mtanunua sana tuu, Ila upinzani ni wajibu wa kila mtanzania,
 
Mi naona wewe ndiyo umepotea na mapropaganda yako ya kizamani. Mmekwisha. Labda muwasubiri watoto sa dj nao aatao doka si siku mingi
 
huna lolote, ccm kwisha.. mtanunua sana tuu, Ila upinzani ni wajibu wa kila mtanzania,
Tuchukulie kuwa upinzani (CDM) umechukua dola.

Je, baada ya hapo upinzani dhidi ya CDM utakuwa ni wajibu wa kila Mtanzania?
 
Mi naona wewe ndiyo umepotea na mapropaganda yako ya kizamani. Mmekwisha. Labda muwasubiri watoto sa dj nao aatao doka si siku mingi
mkuu , imekufa, imeshuka daraja.. haaaa
 
Tuchukulie kuwa upinzani (CDM) umechukua dola.

Je, baada ya hapo upinzani dhidi ya CDM utakuwa ni wajibu wa kila Mtanzania?
kwa wakati huu ambao ccm mmeamua kuwa mkoloni mweusi, wananchi hayuwataki mnatulazikisha.
 
kwa wakati huu ambao ccm mmeamua kuwa mkoloni mweusi, wananchi hayuwataki mnatulazikisha.
Kawakataeni CCM kwenye sanduku la kura.

Oh, nimesahau. MaCCM yanaiba kura.

Yani nyie hamuishiwi na visingizio. Mnatia huruma.
 
Kawakataeni CCM kwenye sanduku la kura.

Oh, nimesahau. MaCCM yanaiba kura.

Yani nyie hamuishiwi na visingizio. Mnatia huruma.
acheni kutumia police muone, acheni mikutano ya siasa , tupambane kwa Sera, woga wa nini kama nyie ni wanaume.
 
acheni kutumia police muone, acheni mikutano ya siasa , tupambane kwa Sera, woga wa nini kama nyie ni wanaume.
Kuna wanawake wa shoka huku pia bwana. Labda tuwaachie hao waendelee kuwachapa na hamtawaweza.

Wazee wa kazi hawawezi kulumbana na na watu waliofilisika kisiasa. Tuna nchi ya kuendesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…