CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Angalieni tena maneno "itafsiriwe kwenye proper context!" sasa mpaka hapa sijaona katika chadema aliyeweka proper context,akiwamo msemaji wetu wa chama.tutegemee tu kuwa wenye wajibu wa kulinda chama chetu wanafanya kazi.
Ndio Askari wa wote maana kijana ACT upo, Mwigulu anakutumia, naamini utakuwa u mwanaccm waliotumwa maalum kuhakikisha giza lkinaendelea kuwepo ndani ya Tanganyika. Unajua kutumika ni kazi sana. Pole sana kijana kuwa askari wa wote ni kazi mnoo. Hivi wewe unaweza kuwa mwanachadema....? Uhuru wa Mtanganyika daima ni ngumu kupatikana kutokana na ujinga, njaaa na mayuda kama nyie!
 
Angalieni tena maneno "itafsiriwe kwenye proper context!" sasa mpaka hapa sijaona katika chadema aliyeweka proper context,akiwamo msemaji wetu wa chama.tutegemee tu kuwa wenye wajibu wa kulinda chama chetu wanafanya kazi.

C umwage mkuu kila kitu?
 
Wewe jifanye unaaminika na kupendwa lakini ipo siku utakuja juta uamuzi wake wa kukubali kuzungukwa na hawa kina masawe na john.
Jiulize kwanini huyo Ludovick anashambuliwa na CHADEMA wote, wakati Mohamedi anatetewa na CHADEMA wote.

Kinachoangaliwa ni matendo ya mtu, si dini yake kama udhaniavyo.
 
Jiulize kwanini huyo Ludovick anashambuliwa na CHADEMA wote, wakati Mohamedi anatetewa na CHADEMA wote.

Kinachoangaliwa ni matendo ya mtu, si dini yake kama udhaniavyo.

Nani asiejua kuwa mnamtumia kufichia udini wenu mlio nao kwa kutumia jina lake? Ni mda mchache ujao mkishatimiza kumtumia mtamuacha aendazake.
 
Angalieni tena maneno "itafsiriwe kwenye proper context!" sasa mpaka hapa sijaona katika chadema aliyeweka proper context,akiwamo msemaji wetu wa chama.tutegemee tu kuwa wenye wajibu wa kulinda chama chetu wanafanya kazi.

Hivi wewe Yuda Askari wa wote unaweza kuwa Judge wa Mohamedi Mtoi, ulimwita na alichoweza kufanya ni kujibu tu kwa uungwana amejibu yale aliyoona muhimu.... ni kweli wewe ni joka kuu ila unafiki wa kuponza muuaji mkubwa.
 
MODS;

Mkuu Haki sawa ameshauri hili tamko lipandishwe kwenye hoja ya msingi kama majibu sahihi.

Mkuu mohamed Mtoi nadhani kuna haja ya kuangalia Taarifa hii kwa Mtazamo wa Kisheria zaidi na ikiwezekana hatua kama ya Yericko Nyerere muda fulani kuhusu kutishiwa ni vizuri ikafikiriwa,ili kupata Ufananuzi wa hicho kinachodaiwa na mleta Bandiko.

CC. Paw Invisible
 
Ludovic ushatoka cdm,ya wana cdm waachie wanachadema.
 
ACT mtawachukua sana lakini kiuhalisia wanawajua vizuri sana viongozi wenu, ni vigumu sana kutoamini yanayosemwa na ACT kuhusu viongozi wa CHADEMA na hasa MBOWE na SLAA

Weee ni zaidi ya tata
 
Broo, ujue ujinga unamwisho wake!
Fikiria kubadili mstakabari wa maisha yako maana mambo hubadirika na wale uliowategemea wakati ujao hawatakuwepo.
Itabidi usimame mwenyewe urishe wanao huku ukiwa umestaafu kufanya kazi za nguvu.
Siasa siyo ajira, ni kazi ya wito kuwatumikia wananchi.
mienendo yako inatia mashaka tangu kesi feki ya Lwakatare kuhusika na ww kuwa mmoja wa wasuka ujinga kwa maslahi ya waccm kuendelea kutawala ili watese wananchi kwa kuuza nchi kwa zawadi na tuzo wanazopewa nje ili wawe warahisi kutoa mikataba kwa bei cheee...

Hapa kikubwa ni watu wazalendo, wapenda wenzaao kama wao wajipendao.
Ulifurahi sana kuwa mahabusu ukiwafurahisha wachche wakiwa nje ukiwategemea wakuokoe?
Unawezaje kuwa rafiki na wasariti wapenda uongozi bila uwezo ACT na huku unajiita unakipenda CDM kama chama chako? unawezaje kumwanini msaliti wako hadi akupe rifti?

Unajichora kijana mwenzangu. Tafuta kazi zingine hata kuuza simu kariakoo itakuwa bora kuliko kujifanya unajua kutumwa saaaannnaaa kumbe unajipambanua ujinga wako kwetu.

Anaetumwa mahali akimaliza hukosa kazi pia. utakula wapi sku ikitimia? usahzoea vya kunyonga?
Siasa uzazofanya hazina nafasi kwa sasa hapa nchini. Ulipaswa ufanye enzi za mwinyi na mkapa.
sahivi watu wanapimwa kwa matendo yao na siyo fitina kama enzi zile.

Kuwa mwangalifu.
 
kwahiyo uwa unatumia ID ngapi? aya watakuja wenyewe kukujibu.
 
Huu ni ujinga na kukosa kazi ya kufanya! Huwezi kulazimisha kuwa kwenye chama ambacho kila mtu hakutaki hata kama una haki kisheria, lakini kwa kuwa kinachotumika kwenye chama ni demokrasia na wengi ndiyo husikilizwa wewe ambaye kila mtu hakutaki utafaidika nini kwa kung'ang'ania kuwa CHADEMA?
 
Angalieni tena maneno "itafsiriwe kwenye proper context!" sasa mpaka hapa sijaona katika chadema aliyeweka proper context,akiwamo msemaji wetu wa chama.tutegemee tu kuwa wenye wajibu wa kulinda chama chetu wanafanya kazi.

Attention seeker!
 
Yale magonjwa aliyotuhumiwa Dr. kingwa wa Vitumbua tunayaomba jamvini kuna mfuasi tujue kama yanaambukiza ametokea tawi jipya
 
haya utakuja kuyakana mwenyewe huko siku za usoni. Wewe jifanye unaaminika na kupendwa lakini ipo siku utakuja juta uamuzi wake wa kukubali kuzungukwa na hawa kina masawe na john.

Ndio maana tuwadharau nyie na chama chenu chakavu chenye kufanya siasa za kibaguzi! kwa kizazi cha sasa hamtofanikiwa kwa hizi propaganda zenu mfu za kibaguzi.CHADEMA MWENDO MDUNDO TU
 
haya utakuja kuyakana mwenyewe huko siku za usoni. Wewe jifanye unaaminika na kupendwa lakini ipo siku utakuja juta uamuzi wake wa kukubali kuzungukwa na hawa kina masawe na john.
Chamviga, rekodi yako hapa JF inaonesha una chuki kwa Wakristo. Hiyo chuki ndio chimbuko la hoja zako za kisiasa.

Rejea rekodi yako hii hapa

By CHAMVIGA

Na hili ndio tatizo lilipo kwasasa. Waislamu watashangilia kila baya litakalompata mkristo hata kama limempata kwasababu tu wakristo hufurahia madhila wanayokumbana nayo waislamu. Very sad!

By CHAMVIGA

Itabidi kila muislamu mwenye macho atizame na kuwasoma kwa umakini chadema wanamalengo gani na nchi hii?

By CHAMVIGA

Mkuu Ritz jamaa zetu wa chadema tunawasitiri mengi sana ila naona wanaamua kumwaga siri wenyewe hapa wanazozipanga makanisani kwa ajili ya taifa letu.

Kwa hiyo hatushangai. Ajenda yako ni ile ile.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…