CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Huyu amejua ili kuvuta hisia za wengi humu ni lazima afungue uzi kwa jina lake halisi ........ Kuna watu unaweza kuwatilia shaka sisi wengine hata kwa kukuangalia tu tunaweza kuhisi ni mtu wa namna gani lakini si @Mohamedi Mtoi .....hapa kuna issue imepangwa na uchokozi huu ni base ya kuelekea kwenye lengo ..........tutafahamu .......😛opcorn:
 
Joseph Ludovick

Lugha na taarifa za namna hii mara nyingi ni za uzushi, fitina, uchonganishi,chuki n.k hawezi kusema moja kwa moja, zinakuwa zinaheng mfano; fulani mbaya sana ohoooo mi nakuambia, sasa muulize kafanya nini? Hutakaa upate jibu la huo ubaya. Hongera verified user kwa kazi yako
 
Last edited by a moderator:
Yote nikutafuta attention ili tu kuonekane chadema hakujatulia.ludo siku sinyingi kazi yako CCM na ACT itafka mwisho.najua mtakuja na taarifa nyingine kwamba Tumain makenene kafanya blahablah.nachukia sana umaskin ndio uliokufikisha hapa ludo
 
Machale yananicheza, kuna jambo baya hawa watekaji wanataka kumfanyia Dr Slaa halafu story ipachikwe kwa Mtoi. Hivi kuna mtu anaijua sura ya Ludovick aipachike hapa?.
 
Kwa maoni yangu,
Naomba vyombo vyote vinavyohusika na usalama wa Nchi hii, komesheni hii tabia iliyojitokeza kwa wana siasa kujifanya wao ni watekaji, wanasheria, wauuaji, watesaji.....na kila aina ya uchafu unaoonezwa na hao wanasiasa uchwara.

Hivi vitendo vilianza kidogo kidogo hadi sasa madhara yake yanaonekana. Usipoziba ufa utajenga ukuta. Kila mtu afanye kazi kutokana na upeo wake. Kwa leo ni hayo tu.
 
..haa haa na kwa kina mwigulu kamati ya ulinzi na usalama ya ccm ihakikishe aimpi nafasi mwigulu kukutana na jk au kinana peke yao!
 
Mpuuzi wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…