CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.

waropokaji mpo wengi sana
 

Rubish.....
 
nIMESHAONGEA NA Mohamedi Mtoi AMESEMA HAKURUPUKI KWENYE KUJIBU, ATAKUJIBU TU KWA KUTULIA HAPO UTAKAPOKUWA UMEWEKA USHAHIDI WAKO MAANA HII STORY IKO HEWANI HEWANI SANA
CHAMVIGA TULIA ANAKUJA MANI na zumbemkuu hebu njooni huku msikilize Mgosi anatetwa

Anatafuta air time tu huyu hana lolote.
 
Last edited by a moderator:

MM2 alishajulikana ni Msafiri Mtemelwa wa urambo Tabora.
 
so funny

siasa za Tanzania zinaendeshwa mitandaoni
 

mkuu. Ina maana na Mtoi nae anatembea na sumu?
 
We ludo mbana huna aibu kijana,kwanini unajitoa ufahamu!
 
Huna uhalali wakutoa ushauri kwa chama ilhali wewe ni kiongozi mwandamizi ndani ya ACT,

Tunafahamu vyema mikakati yenu yakupanga kuvuruga chama wakati huu wa Chaguzi mbalimbali na tunawaangalia kwa tahadhari kubwa,

Kamanda Mohameid Mtoi mpuuze tu huya Njaa kali.
 
Last edited by a moderator:
Mpumbav huyu, mnajarib kuweka fitna kwa mtoi ili mshushe speed yake ya mipini anayowapa, tafakuri tunduiz mtamjua tu, daadeki. MANI na Elli huyo mhaya mwehu sana
 
Last edited by a moderator:
Rejea uzi wenye kipande husika hapa chini:

Nathani sasa muda unaanza kuwa shahidi asiyedanganya! Naendelea kusubiri kwa uvumilivu mkuu kitakachokuwa kitubio cha Ben Saanane, Yericko Nyerere na mohamed Mtoi

Wito kwa CHADEMA; alichotahadharisha Joseph Ludovick kisichukuliwe kimasiahara. Tumaini Makene anaweza kurejea hapa baadae akiwa dekio la maji aliyomwaga mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Mpumbav huyu, mnajarib kuweka fitna kwa mtoi ili mshushe speed yake ya mipini anayowapa, tafakuri tunduiz mtamjua tu, daadeki. MANI na Elli huyo mhaya mwehu sana

Kuna mtu alishauri lianzishwe jukwaa la vichaa
 
Last edited by a moderator:
ni vigum kukuamini mtu uliyekisaliti chama kwa vipande vitano vya elfu kumi.
 
Mtoi hajulikani anajishughulisha na nini chadema. Mtoi ni jobless
 

Fungulia thread yake tujadili otherwise huu tunauhesabu kama umbea tu.
 
Last edited by a moderator:

Kukutana na Dr Slaa na Mbowe ni issue? kweli kuna watu ni miyungu mtu
 
Mtoi hajulikani anajishughulisha na nini chadema. Mtoi ni jobless

Na wewe tuambie una shughuli gani hapa mjini kama sio kulamba viatu vya akina Nape hapo lumumba upate chochote cha kupeleka kinywani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…