Just I'm saying...dont quote it...Ni kwamba Marehemu Mtoi alimkhusisha huyu Ludovick kwamba ana njama amfanyie ubaya na Mtoi akaweka wazi hapa kwamba nia yako mbovu itashindwa!! Kwakuwa Ludovick anatuhumiwa kupanga njama za Kigaidi kuwashambulia wanaChadema, Huyu Tumaini Makene alipewa tahadhali kwamba kutokana na huu uzi wa Mtoa Mada basi huyu Mtoi inabidi apewe Ulinzi wa Kutosha..(ushauri ambao haukufuatwa)!! Mazingira ya Ajali ya Mtoi yana taswira ya Umafia!! Aliwarudisha wenzake akabaki pekeyake kwenye gari akirudi nyumbani, Ukiangalia lile gari alilopata ajali kwa mtu makini ataona ni miujiza mtu kufa pale!!(Gari imevunjwa vioo tu) Uchunguzi huru Ufanywe!! Pasco
RIP KAMANDA MTOI

Kwani hii ajali imepangwa?
Huu Ushauri sidhani kama ulichukuliwa maana Tumaini Makene alishasema Chama hakina utaratibu wa kuchukua Ushauri kwa namna hii
Mm huwa sipend mtu anayefananisha chama na kabila naona anaupeo mdogo sana wakufikir for me hana tofaut na kichaa
Just I'm saying...dont quote it...Ni kwamba Marehemu Mtoi alimkhusisha huyu Ludovick kwamba ana njama amfanyie ubaya na Mtoi akaweka wazi hapa kwamba nia yako mbovu itashindwa!! Kwakuwa Ludovick anatuhumiwa kupanga njama za Kigaidi kuwashambulia wanaChadema, Huyu Tumaini Makene alipewa tahadhali kwamba kutokana na huu uzi wa Mtoa Mada basi huyu Mtoi inabidi apewe Ulinzi wa Kutosha..(ushauri ambao haukufuatwa)!! Mazingira ya Ajali ya Mtoi yana taswira ya Umafia!! Aliwarudisha wenzake akabaki pekeyake kwenye gari akirudi nyumbani, Ukiangalia lile gari alilopata ajali kwa mtu makini ataona ni miujiza mtu kufa pale!!(Gari imevunjwa vioo tu) Uchunguzi huru Ufanywe!! Pasco
RIP KAMANDA MTOI
Kwa ajili ya dhana ya ulinzi shirikishi, basi kila mtu anatakiwa kulinda na kuchunguza!
With politics and politicians. . . .spare yourself bro
Ushirikishi unaishia kwenye 'counter' lakini 'intelligence' hiyo hushirikishwi labda kwa kuhojiwa tu.
kaka usiongee kitu ambacho haukijui.Mwacheni mtoto wa watu apumzike hayo mengine hayana maana kwa sasa...dereva wa gari alikua mwendo kasi na na alikua amekunywa.barabara ina kona kali sana na za ghafla so gar ili mshinda ikadondokea bondeni yani ilibingilika zaid ya mara 7 mpk ikafika huko bondeni,km unayajua mazingira ya lushoto hauto pata shida kunielewa.tembea kaka uijue tanzania sio una ng'ang'ana tu na Mtwara tu....
Mkuu heshima Kwako
Ushauri wa Ludo ulikuwa ni as if Kamanda Mtoi (RIP) ndio hatari kwa Chama na asiachiwe awe alone na Mbowe aka Dr Slaa
Sasa hapa nani angedhurika kwa ushauri huu,Mtoi ama Mbowe /Slaa ?
Tulitaka CHADEMA baada ya hapo waanze kumlinda Mtoi ?
Mkuu Mtoi ametutoka katika kipindi ambacho Chama na wapenda Mabadiliko wanamhitaji kuliko kipindi Chochote
Mtoi ataendelea kubaki kuwa Symbol na Icon ya Mabadiliko katika Mkoa wa Tanga,CCM walikuwa wanamhara sana huyu Jamaa.
Mungu amlaze Mahala pema Peponi