Mr.Professional
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,582
- 258
hastahili kuitwa rais mtarajiwa kwani naye ni moja ya mabogasi ya zama hizi. Watz tunahitaji changes na sio vinginevyo
halafu membe akishataja jina la nchi na kiasi cha pesa ndo mtafanya nini? mtaandamana nchi nzima kupinga au? maana nyie siasa mnajua ni kuandamana na si kingine? kwanini mnajishuku sana hata kama hamjatajwa? poleniCDM hawakakurupuka. Alianza Sofia Simba, akasema wazi CDM inafadhiliwa kuleta mauaji. JK mwenyewe akasema CDM wanafanya machafuko kuion'goa serkali madarakani, akaja Tyson akasema aliyosema, baadaye akaja Membe. Yote hiyo ni baada ya maandamano ya CDM. Mtu yeyote mwenye akili atajua Membe alikuwa anailenga CDM. But basis ya Mnyika wakati anaongea na waandishi wa habari ilikuwa kwamba two cabinet ministers wamezungumza jambo hilo, mmoja kaitaja CDM WAZI mwingine hakuitaja but akasema kweli hilo jambo huenda lipo. So what other clues you guys want kujua kuwa ni CDM?
Mnyika alisema, kwa kuwa Waziri mwenzake Membe keshaitaja bila woga CDM, it is obvious serekali inajua, na ndio maana wakamtaka Membe sasa ataje ni nchi gani na kiasi gani cha fedha, wala hwakumuomba akitaje chama kwa kuwa chama kilishatajwa na Sofia, na hizi habari zimekuja baada ya hotuba ya JK kuwalaumu CDM na hotuba hiyo ilikuja baada ya maandamano ya CDM. Kwani kuna chama gani tena nchini kinachoweza kuisumbua serekali ukiachia mbali CDM. Kwa akili ya kawaida Membe atahangaika kuongelea vyma wafu kama CUF, TLP, NCCR AU LND? HAAAAA
Sasa kuna watu wanapost vitu hapa kweli unasikitika kujua kuwa jinsi macho yamefunikwa na ujinga au ushabiki. Baregu hakukosea, nguvu ya ccm ni ujinga
andamaneni basi nchi nzima kumshinikiza ataje jina la nchi basi maana nyie kwa maandamano dah that is outdated politics kila siku maandamanoNi lini na wapi CHADEMA wamotoa tuhuma kwa kwamba Membe amekituhumu CHADEMA kwamba kinafadhiliwa na balozi za nje?
Tamko la CHADEMA lilimtaka Membe ataje ni chama gani na ni nchi gani zinazofadhili hicho chama.
Hapa msemaji wa Membe kakurupuka
Hivi ikulu imebinafsishwa? mbona tetesi zinasema Membe ni mtoto wa nje wa Khalfani Mrisho? anyway hakuna tatizo upanga tunao watanzania, tuamua nani atakuwa nani 2015
lakini kweli eh, membe na jakaya wamefanana sana.
lakini kweli eh, membe na jakaya wamefanana sana.
"Rais mtarajiwa"
nani kasema membe ni rais mtarajiwa? mimi siku zote huwa nasema ccm hakuna m2 yeyote anayefa kuwa rais 2015 hata kama ni mwadilifu kwani ccm ni mfumo na co mtu. kwa ufupi ni kwamba ccm haifai kungoza nchi so hakuna haja ya kumwita yeyote kutoka ccm rais mtarajiwa
u're very right papaa!"Rais mtarajiwa"
nani kasema membe ni rais mtarajiwa? mimi siku zote huwa nasema ccm hakuna m2 yeyote anayefa kuwa rais 2015 hata kama ni mwadilifu kwani ccm ni mfumo na co mtu. kwa ufupi ni kwamba ccm haifai kungoza nchi so hakuna haja ya kumwita yeyote kutoka ccm rais mtarajiwa
Huyu ni Chadema-kata mpayukaji, Bernard Membe kazaliwa 1953, Jakaya Mrisho kazaliwa 1950, wamepishana miaka mitatu, tatizo Chadema-kata mnakubaliana kila jambo ata kama upuuzi kama huu.
mimi nilikuwa napita tu
hivi nani alisema kuwa urais nchi hii ...kila mtu tu anweza kuwa ....hata membe...
nchi imekuwa kwenye stagnation kwa miaka 10 kwa kuchagua rais mzembe,malaya....,na muuza sura....sharobaroo..
mnataka tena tumuweke mtu mwenye silka hizo hizo .....maana membe na jk hawana tofauti wote ni watu wasiokuwa serious na kazi....ukiliacha la umalaya ambalo membe sijui ..ila anatabia moja mbaya ya uzandiki...bora malaya kuliko mzandiki ...
Mtu anaweza kufa hata kama unamuona. Inawezekana na wewe ni maiti inayozunguka huku duniani. Wako wengi wa aina yako Teh teh teh eth tehChadema wamezoea sana kuzidisha na kupotosha umma. hao hao walidanganya kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga amefariki, na hao hao tena jana tu wamezua kuwa magufuri kajiuzulu. Na kesho watasema mengine.
hakika Chama hiki kimejaa wanafiki na waongo wakubwa sana katika kutaka kuleta balaa nchini.
umeona eeh? Sijui source yao ya habari huwa ni ipi? Slaa kipindi cha uchaguzi ashawahi kuzusha kuna contena lenye shahada za kupigia kura limekamatwa mahali,polisi kwenda wakakuta ni uzushi hakuna cha shahada wala nini! Hivi kwanini cdm wanamfeed kiongozi wao habari za uzushi? Hii inafanya watu kukosa imani nao
Hii ni ile ile chorus ya mafisadi ambao wanaweweseka na kudhani kwamba mtu akiwa msafi basi yeye ni threat kwa nadhiri zao za urais. Kilicho bayana katika thread hii ni mfumo ule ule wa mafisadi kuingia humu wakijadai kuionea huruma chadema ili wamtukane mtu wakidhani kufanya hivyo kutawajenga na kumdhoofisha yule wanayedhani ni tishio. Ukweli unabaki kwamba Membe ni tishio kwa bid ya hao mafisadi, kwa sababu ukiondoa hayo maneno ya waropokaji, hakuna hata mmoja anyeweza kusema with mathematical precision tatizo la Membe ni nini. Labda huko "kufanana sura" na JK ambayo ni dhana tena potofu.
Mimi niachosema ni kwamba Membe amerudia mara kadhaa akisema hatagombea urais, japo hiyo ni haki yake na ana sifa zote zinazohitajika, na siyo hao wachezesha santuri. Maelezo yanayounda thread hii ni yale ya Joster Mwangulumbi wa Mwanahalisi ambaye kwa bahati mbaya, pamoja na umahiri wake wa kuchambua, amekuwa ni mateka wa njama za mafisadi za kupotosha ukweli kwani kama angeona news bulletin ile, yeye asingeandika makala ile ambayo ukiangalia maudhui yake utaona wazi kwamba ni kelele ambazo hawa mafsadi wamekuwa wakizipiga kila kukicha.
Hili la kashfa ya Nairobi ni upuuzi ambao ulikufa siku ile ile ulipoanzishwa baada ya facts zote kumwagwa hadharani juu ya kile kilichokuwa kifanyike, na kama isingekuwa kuingilia kwa Membe, leo hii mafisadi walikuwa wameshategesha midomo yao kukinga hazina ya wananchi. Kwa tulio na akili zetu timamu tunajua huu ni mwendelezo wa siasa zile zile za maji taka na ni elimination process ili wababki wao. Lakini mimi ningekuwa na uwezo wa kumfikia Membe ningemwambia agombee kwani nina hakika sifa zote anazo na wananchi wanahitaji aina ya kiongozi huyu, in terms of uadilifu wake, uzalendo na uchungu wake kwa wananchi wa nchi hii.