Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,398
- 1,264
Kijani wao watagombea Burundi, kwani walisha tangulia kwa sababu ya tozo🤔.CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo
CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.
Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.
Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
Zaidi ya matusi na usingiziaji ni nini kingine unachokijua?Yule muolewaji ubelgiji na Canada ameimaliza Chadema
Wewe ni yule wa hapo mtaa was chukua chako mapema sio/kijani(ccm)hujaimaliza kijani🤔.Yule muolewaji ubelgiji na Canada ameimaliza Chadema
Wanaopima upepo wanajijua wenyewe.Mmeanza kupima upepo.
Umerukwa na akili ?CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo
CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.
Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.
Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
Endelea kuwashwa Washwa akikutabiria usije kulia lia hapa...Yule muolewaji ubelgiji na Canada ameimaliza Chadema
Utakuwa mgonjwa wa akili.CVM Haina uwezo wa kuiua CHADEMA.Imeshindwa mara zote na inajaribu kutumia msajili na kamati yake feki...CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo
CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.
Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.
Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
You are not serious, umeandika tu ili kujifurahisha na maujinga yako, siku ya kifo ikifika hakuna wa kuweza kuzuiyaCCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo
CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.
Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.
Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
Kwa ichi ulichoandika kwel bila dawaCCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo
CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.
Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.
Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
Hapo umechemka ndugu ngoja mikutano iruhusiwe ndiyo utajua uliyoandika hayana maana.Ni kawaida ya binadamu akiiambiwa ukweli wa kisiasa hupinga - iko wazi kwamba CDM mlifanya makosa sehemu nyingi
(i). Kuwa viongozi Mungu watu - kiongozi anakaa madarakani kwa miongo kadhaa as if chama hakina succession plan;
(ii). Baadhi wanaharakati kuunga mkono ndoa za jinsia moja; huu ni utamaduni wa ajabu sana;