CHADEMA iko tayari kuongoza?

sasa mipasho tufunge topic!
Exactly, imebaki kunabishana tuu, tuambie mtafanya nini wakati yeye hajatuambia Ccj itafanya nini, mwisho tutabaki kama majuha kuzomeana hilooo.......hilooo limeshindwa kuniambia, sijaona MKJJ kuja na constructive ideas kwenye hii hoja mbali ya kuuliza mtafanya nini, yeye anafikiri kutubandikia katiba ya Ccj humu ndio utekelezaji is not easy like that is more than addressing press conference at Habari Maelezo and thereafter heading to court.
 

Huyo alishawahi kuwa waziri wa serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. ( Nishati na Madini, Fedha)...
 

viongozi wa ccj ni kama vile wale wa nccr ya mrema

je ccj watueleze watafanya nini tofauti na mrema alivyofanya kuivuruga upinzani?
 
Nitashukuru ukinipa mfano wa hapa nyumbani. Wengine yanayotokea huko kwenu majuu sio authority ya mitazamo yetu....hivyo nashindwa kuelewa hoja yako


Ebana vipi wewe mbona umesepa sasa?
 

Hili swali sijui kama limepatiwa jibu; wengine wanaweza kufikiria nimeliuliza leo kwa vile 'nimenunuliwa'
 
Mzee kwani uko kwenye mashindano ya kufukua mada za zamani?

Hapana.. trying to show tu kuwa wakifanya 'kuchagua chagua' mada nilizoandika ili kuthibitisha hoja zao naweza kuchagua nilizoandika mwenyewe kuthibitisha hoja zangu kuhusu wao.. think abou it.
 
Vyama karibia vyote Sera hakuna hata mojs isipokuwa tu moja kubwa kuiondoa ccm; EMB niambie upinzani wamefanya nini tangia uchaguzi umeisha zaidi ya kuandaa maandamano na migomo! Yawezekana kisingizio kikawa kuwa wanaminywa ok basi hata mitandao ya kijamii wangetujuza wana mikakati gani ya kutukomboa na huu umaskini!!
 
Kama ni hivi, nani au chama gani kinaweza kuwa chama mbadala?
CDM Tayari imeisha jidhihirisha kuwa iko tayari kuwa chama mbadala kutawala Tanzania.
MaCCM miaka yote wametawala kwa sera za try and error.
Kwa utaalam na weredi walionao makamanda wa CDM wameiva tayari kuonyesha utawala wa weredi Tanzania!!
Ukiangalia walivyo jipanga kisera, kiuongozi, kiutaalamu wako tayari kuonyesha utawala bora Tanzania!!
Vyama vingine vipo baadhi, lakini vingine ni vizingiti vya upinzani, havina malengo ya kutawala hata chembe!!
Kelele za ukabila, mara ukanda ni propoganda ya CCM na wadau wake imeisha chuja!!
CHADEMA ikishirikiana UKAWA
imeisha kamata kanda zote Tanzania.
Kwa sera hizi za kuruka sarakasi, CDM is the best prepared party to take the reins and rule this great nation Tanzania.
 
Wewe CCM imekusaidia nini zaidi ya kufanya maisha kuwa magumu. Nchi inaface deflation na inflation at da same time.

Inakuaje unauliza Chadema imefanya nini kwani yenyeww ndyo serkal. Unategmea chdema ijenge barabara au viwanda?
 
Sijui ni wahenga au wenye kiswahili chao wanasema usimsifu anaekimbia msifu na hanaemkimbiza, napita tu sina chama chochote wala siko upande wowote !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…