CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

Wana JF, Ni zaidi ya miaka 50 sasa tukiwatumikia hawa wanyonyaji/wakoloni weusi. Napendeza mara tu CHADEMA/UPINZANI ukiingia ikulu "CCM" ifutwe mara moja kwani haitakiwi kuwapo ktk siasa za ushindani kwa sababu zifuatazo; 1. CCM iko ikulu zaidi ya miaka 50 sasa bila mafanikio yoyote ya maendeleo si mjini wala vijijini hali ni sawa. Kiuchum, kisiasa, kijamii hakuna kilichofanyika ukilinganisha na rasilimali tulizonazo. 2. CCM haijasajiliwa kama sheria inavyotaka tangu 1992 hivyo kuonekana kama chama cha kihuni 3. CCM imejaa umafia,ulaghai,ufisadi na kila aina ya uchafu hivyo kukosa uhalali wa kuitwa chama tawala au chama cha siasa. Kwa 7bu nilizozitaja hapo juu,napendekeza VIGOGO Wote watiwe ndani na wafilisiwe mara tu baada ya CHADEMA/UPINZANI kuingia ikulu VIDAGAA/VIBARAKA tu kama akina "SIMIYU YAO, IFWEERO, ABAKORAKAMO, SUMU, CHABRUMA" na VIJIDAGAA/VIJIBARAKA vingine viachwe kwa kuwa vinatetea njaa a.k.a b7 ili viishi mjini na havijui hii nchi inaliwa vp na imejaaliwa na M/MUNGU kila aina ya RASILIMALI.

Hivi hii ndoto uliota usiku au mchana namini ilikuwa mchana baada ya kupiga gongo usingizi ukakupitia taarifa yako mafisadi wa nchi hii wanapatikana ccm na cdm wote mafisadi ndiomana wa tz wameanza kuipokea ACT kwa mikono yao 2 ilikije kuwakombowa mbowe kawaibia sana watz hebu jaribuni kumuhliza ile. 1kashfa ya bullcanas ilishia wapi? 2 pale bullcanas ni jengo la shirika la nyumba analipia sh ngapi hivi 25000 unaweza ukalipia jengo kama lilepale billcanas ss wa usiangalie ufisadi wa upande mmoja angalia na nyumbani kwako. wa tz tumeshtuka ndugu sasa ni act tu ndio muokoz na mzalendo wa ukweli
 
Nyinyi ni watu wa ajabu kweli kwa nini ccm ifutwe hiyo democrasia mnayoipigia debe ni ipi.kama hivyo ni heri chadema ikafutwa kwani ni kundi la wahuni tuu
 
kitakufa chenyewe natural death kwani KANU kiko wapi leo? kimejizika makaburi ya sahau
 
Wana JF, Ni zaidi ya miaka 50 sasa tukiwatumikia hawa wanyonyaji/wakoloni weusi. Napendeza mara tu CHADEMA/UPINZANI ukiingia ikulu "CCM" ifutwe mara moja kwani haitakiwi kuwapo ktk siasa za ushindani kwa sababu zifuatazo; 1. CCM iko ikulu zaidi ya miaka 50 sasa bila mafanikio yoyote ya maendeleo si mjini wala vijijini hali ni sawa. Kiuchum, kisiasa, kijamii hakuna kilichofanyika ukilinganisha na rasilimali tulizonazo. 2. CCM haijasajiliwa kama sheria inavyotaka tangu 1992 hivyo kuonekana kama chama cha kihuni 3. CCM imejaa umafia,ulaghai,ufisadi na kila aina ya uchafu hivyo kukosa uhalali wa kuitwa chama tawala au chama cha siasa. Kwa 7bu nilizozitaja hapo juu,napendekeza VIGOGO Wote watiwe ndani na wafilisiwe mara tu baada ya CHADEMA/UPINZANI kuingia ikulu VIDAGAA/VIBARAKA tu kama akina "SIMIYU YAO, IFWEERO, ABAKORAKAMO, SUMU, CHABRUMA" na VIJIDAGAA/VIJIBARAKA vingine viachwe kwa kuwa vinatetea njaa a.k.a b7 ili viishi mjini na havijui hii nchi inaliwa vp na imejaaliwa na M/MUNGU kila aina ya RASILIMALI.

wachumia tumbo,rasilimali zetu zimekwisha kila pahala nchi hii,wageni kutoka china,india,ulaya na sasa wakenya,waganda,wanaigeria wanakuja bila capital miezi sita wanakuwa matajiri wakuogopwa hata na serikali ya ccm yenyewe,wameua elimu,kilimo,sekta tofauti ufanisi sifuri yote kwa sababu ya wakoloni weusi hao,tuamke tuseme sasa basi hata kwa bunduki,enough is enough wajomba
 
Sasa ccm wako madarakani.wakitaka kukifuta cdm wewe utafurahi?Wacha siasa za chuki,la msingi ni upinzani pamoja na cdm yenyewe kuwaelezea watanziania kwa kutumia sera mbadala wakipewa dhamana ya kutawala watawafanyia nini Watanzania kuhusu:
Elimu
Afya
Ustawi wa jamii
Sera mambo ya nje zitakuwaje.
Tanzania kupeleka majeshi ya amani sehemu mbalimbali duniani ,sera zao zikoje.
Ushiriki wa Tanzania katika Afrika Mashariki utakuwaje
Ukuzaji wa uchumi utakuwaje.
Uunganishaji wa nchi, kwa maana ya uchukuzi utakuwaje.
Migodi sera zake zitakuwaje.
Kwa ujumla ili upate dola, unatakiwa ujipange,kwa kujenga chama imara chenye muundo wa uongozi ,ulio wazi,madaraka ya chama yanakuwaje.
Ndio maana kuanzia mwaka,1995 mpaka leo, vyama vya upinzani havijaweza kutuweka sawa juu ya niliyoeleza hapo juu, pamoja na mengine mengi,ya msingi kwa nchi.
Kubwa ninaloliona, ni upinzani kudandia hoja,kuwa ndio SERA ZA VYAMA.Leo ,ikitokea police, wamekwaruzana na wanachi,hapo chama kimepata kitu cha kufanyia propaganda,Leo kukiwa na mfanyabiashara akikamatwa na makosa,basi hapo,ni matokeo ya sera za ccm.
Kwa hivyo, ndugu zangu ili kuwatoa ccm madarakani ,inatakiwa kufanyika nguvu za ziada.DALILI ZINAONEKANA KAMA CCM WANAWEZA KUSHINDWA,ila upinzania haujajipanga.
Namalizia kwa kuwaasa wapinzani kuyapima hayo,yote
Natarajia vitusi.

Safi sanaaa.... safi sanaaa....umewaeleza ukweli,wao kila siku kuwaponda polisi tu!!!
 
  1. Kutaifisha Mali zote za CCM, Viwanja pamoja na Majengo kwa sababu hizi zilijengwa na Wananchi wote wakati wa Chama kimoja
  2. Kuhakikisha Mgombea Urais wa CCM analipa TRA kodi ya Mabango yake yote aliyoyasambaza nchi nzima na kutuchafulia Mitaa na sura yake hiyo
  3. Kutaifisha Mali zote za Kampuni ya Mayanga Contractors na kuwafilisi wamiliki wake
  4. Kuifuta CCM kutoka kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya siasa, kwa sababu ni Chama ambacho hakipo kwa Mujibu wa Sheria, hakijasajiliwa popote kwa Mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa
  5. Msajili akishamaliza kuifuta CCM tunamfuta na yeye Mwenyewe, na tunampeleka Segerea akaungane na Wamiliki wa Mayanga contractors
 
Ona vijana vijana wakinywa faru john aliyobakisha mwenyekiti wao wanavyokuwa!
 
Duh, hapana mkuu. Hakuna kuifuta Ccm acha ijifie yenyewe.
Kuwanyanganya Mali za wananchi hiyo sawa, na kuwarudishia kupia halmashauri zao
 
Ccm kufilisika ni rahisi sana. Dawa yake ni kuwambia walipie kodi viwanja vyote wanavyojifanya kumiliki maeneo mbali mbali nchini kwa miaka yote ya uhai wa ccm. Hapo itakufa yenyewe kimya kimya
 
Zitto,Mashinji,Mkumbo,Slaa,Mollel,Mwambe, Sumaye, Lowasa,Baregu mliwarudishia mali
 
Jiwe na vibaraka wake wanatakiwa warudishwe pesa zote na Mali zote walizopora za nchi hii .
 
  1. Kutaifisha Mali zote za CCM, Viwanja pamoja na Majengo kwa sababu hizi zilijengwa na Wananchi wote wakati wa Chama kimoja
  2. Kuhakikisha Mgombea Urais wa CCM analipa TRA kodi ya Mabango yake yote aliyoyasambaza nchi nzima na kutuchafulia Mitaa na sura yake hiyo
  3. Kutaifisha Mali zote za Kampuni ya Mayanga Contractors na kuwafilisi wamiliki wake
  4. Kuifuta CCM kutoka kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya siasa, kwa sababu ni Chama ambacho hakipo kwa Mujibu wa Sheria, hakijasajiliwa popote kwa Mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa
  5. Msajili akishamaliza kuifuta CCM tunamfuta na yeye Mwenyewe, na tunampeleka Segerea akaungane na Wamiliki wa Mayanga contractors
Hii ni sawa na mipango ya kuishi Jupiter
 
Back
Top Bottom