CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

Watz wengi ni mburula. wana macho hawaoni na masikio hawasikii. wanaishi kiubabaishaji na hawana uhakika wa kesho. hii yote inatokana kuongozwa na mashetan ccm. Mafia, magaidi na waso na akili, hadi elimu inayotolewa mashuleni ni ya kimafia mafia. elimu hii inayoendelea kuwafanya watanzania kuwa kama nyani.
 
Wana JF, Ni zaidi ya miaka 50 sasa tukiwatumikia hawa wanyonyaji/wakoloni weusi. Napendeza mara tu CHADEMA/UPINZANI ukiingia ikulu "CCM" ifutwe mara moja kwani haitakiwi kuwapo ktk siasa za ushindani kwa sababu zifuatazo; 1. CCM iko ikulu zaidi ya miaka 50 sasa bila mafanikio yoyote ya maendeleo si mjini wala vijijini hali ni sawa. Kiuchum, kisiasa, kijamii hakuna kilichofanyika ukilinganisha na rasilimali tulizonazo. 2. CCM haijasajiliwa kama sheria inavyotaka tangu 1992 hivyo kuonekana kama chama cha kihuni 3. CCM imejaa umafia,ulaghai,ufisadi na kila aina ya uchafu hivyo kukosa uhalali wa kuitwa chama tawala au chama cha siasa. Kwa 7bu nilizozitaja hapo juu,napendekeza VIGOGO Wote watiwe ndani na wafilisiwe mara tu baada ya CHADEMA/UPINZANI kuingia ikulu VIDAGAA/VIBARAKA tu kama akina "SIMIYU YAO, IFWEERO, ABAKORAKAMO, SUMU, CHABRUMA" na VIJIDAGAA/VIJIBARAKA vingine viachwe kwa kuwa vinatetea njaa a.k.a b7 ili viishi mjini na havijui hii nchi inaliwa vp na imejaaliwa na M/MUNGU kila aina ya RASILIMALI.


Naunga mkno hoja kwa asilimia mia nne,ila swali ni je ni nani anaweza kumtoa CCM hapo alipo?CCM ndo mwenye jeshi,mwenye usalama wa taifa,polisi,etc so jaribuni muone
 
chadema tukiingia ikulu tutavifuta vyama vyote vya siasa. hatutaki mtu atupinge tena tutajifanyia mambo yetu shwari bila upinzani wowote
 
Mawazo mazuri sana mkuu, lkn kwa mitz ninayoijua mm, ngumu sana ku addopt changes, kaz tunayo,tuckate tamaa.
 
hata mie natamani kwa kweli jichi chama kifutiliwe mbali sana sababu kitsababisha mauaji ya kimbari tanzania . Namuomba msajili wa vyama aifute ccm kwa kweli inakera sana kwakweli,,, chama cha wahuni.
 
Wanaccm anzeni kukusanya rambirambi za chama chenu,toeni account number tuwachangie.
Kwa hali ilivyo ccm ina hali mbaya na haiwezi kukwepa kifo!
 
Ipigwe marufuku kama chama cha NAZI cha Ujerumani.
 
Naunga mkno hoja kwa asilimia mia nne,ila swali ni je ni nani anaweza kumtoa CCM hapo alipo?CCM ndo mwenye jeshi,mwenye usalama wa taifa,polisi,etc so jaribuni muone

Kuna serikali na falme zilikua na jeshi tiifu na lenye nguvu, leo hii imebaki historia!jipe moyo
 
Na. Hutakaa uupate huo uwezo. Utabaki na sumu na tindikali milele


Siku zenu mafisadi zinahesabika nakwambia!
Nyie tumieni huo wizi wizi wenu wa kuiba kura maana siku yaja hata kuiba hamtaiba nawaambia enyi mafisadi!
 
Back
Top Bottom