Chadema ikifutwa nashauri tuandamane nchi nzima

Hapo pa kuandamana utaandamana mwenyewe. Hii nchi ni keyboard warriors tu hamna mtu anatoka nje kupambania ugali wa mtu mwingine.
Kaanze kuwachukua wazaz wako kjjn nani huyo anakuwa na control ya watu wote tz zaidi ya muumba ss sote sio chadema walansio ccm cha msingi every one apambane na anapona anafaida napo cause hata wakiongia chadema sio wote watafaidika kama ilivo kwa ccm hawafaifiki wote
 

Hueleweki. Tuliza kitenesi uandike vizuri.
 
Katika vitu ambavyo CCM kinawapa jeuri ni hilo swala la maandamano wanajua hakuna anaye weza kamwe laiti kama kungetokea siku moja maandamano ya Nchi nzima hata viongozi wangechagua cha kuongea mbele ya Umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…