Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 382
- 506
- Thread starter
-
- #101
Mkuu Ludo, tutakukumbuka Daima Milele!.
Hata wana CCM wanaupenda ukweli, wanamkumbuka Horace Kolimba daima milele!.
Hata Wanachadema wanaopenda haki, wanamkumbuka Chacha Wangwe Daima Milele!.
Hata wanausama (Tiss) wanaochukia "dirty games" wanamkumbuka Imran Kombe daima milele!.
Hata wandishi wa habari za uchunguzi, wanamkumbuka Stan Katabalo daima milele!.
Joseph Ludovick tutakukumbuka daima milele!.
Ila pia hata mimi, kwa enzi zangu za "Kiti Moto" nilijiachia kabla sijakumbukwa daima milele!.
Thanks.
Pasco
- Ludovick toka hilo lichama limeoza hamia CCM tunakupa kugombea Urais wewe unafaa kuwa Rais sio huko kwa wahuni hao!!
Le Mutuz
Ni bora Propaganda za akina Ritz, MSALANI Lizaboni Simiyu Yetu Chabruma chama,@kiroriti na wote wale Nyumbu wa Lumumba ambazo huwaga tunazichukulia kam kuchangamsha genge,lakini za Kwako,tunazichukulia kama taka taka zinazotoka kwa mtu aliyekata tamaa ki maisha,hohe hahe asiye na mbele wala nyuma,anayetegeea fadhili za mtu yoyote yule ili walau Mkono wake uende Kinywani.
Watu kama wewe ni hatar hata kwa maisha ya ndugu zako wa karibu kabisa,kama vile Mama na Babaako,watu kama nyie mko tayar kuwatoa kafara wapendwa wenu kwa waganga wa kienyeji ili mpate utajiri.
Kimsingi nina kudharau sana.
- Jibu hoja wacha matusi yangekuwa mali mngeshashika dola, jibu hoja kama huna kaa pembeni waachie wenye hoja mamabo ya baba na mama yako yantokea wapi hapa, le mburulazzzz
Le Mutuz
- Jibu hoja kama huna kaa pembeni tumechoka na maneno yenu ya hovyo hovyo weka hoja hapa wachana na mjumbe jibu hoja zake
Kuna hoja ya kujibu hapo? kaleta taarifa, you cant even differentiate kati ya hoja na taarifa.
Kwa hiyo wewe malecela na ma ccm wenzenu mnatumia njaa ya huyu mjinga kuzidi kumdhalilisha?- Jibu hoja wacha matusi yangekuwa mali mngeshashika dola, jibu hoja kama huna kaa pembeni waachie wenye hoja mamabo ya baba na mama yako yantokea wapi hapa, le mburulazzzz
Le Mutuz
Ndugu,
Wakati maandamano yametangazwa nchi nzima na chama chetu, na kwa kweli mimi nilisema sitashiriki kwa sababu ambazo nilieleza, na zote zimeonekana kuwa kweli, dhamiri yangu imenituma kuongea jambo jingine ambalo laweza kusaidia baadhi ya watu. Ingawa najua chama changu hakitafurahishwa na hii revelation, lakini napenda nihukumiwe kwa kuutumikia ukweli.
Ndugu, wengi wa makamanda wetu hujitolea kufanya kazi za chama. Na kwa kweli umati wa wanaojitokeza kwenye shughuli za chama chetu CHADEMA kama mikutano ya hadhara ama maandamano, huja wenyewe bila kupewa fedha. lakini hii siyo kwa wote.
Chama chetu kwa muda sasa kinao utaratibu wa kuwalipa watu ili wajitokeze kuhamasisha wengine kujitokeza kwenye maandamano.
Hii ni kweli kwenye mikutano ya hadhara pia, ingawa sisi hupenda sana wengi wa wanaojitolea na wapinzani wetu wa CCM wasijue kuwa huwa tunagharimia mambo hayo.
Nakumbuka tukiwa chuo kikuu, mimi nikiwa mwenyekiti wa CHASO DUCE, tulivyokuwa tukilipa makundi ya wanafunzi ili wajitokeze kwenye makongamano ya katiba siku hizo.
Mzee Warioba amewahi kuzomewa na kundi la wanafunzi wanachama wa chadema pale Karimjee hall alipoanza speech yake kwa kusapoti ile orodha iliyoitwa siku zile "sacrosanct issues" hakika tulimzomea. alikatisha hotuba yake. Vilevile, tulikuwa tukiwalipa hela kutoka makao makuu ya chama wanafunzi baadhi ili wahamasishe maandamano na migomo chuoni.
Hivyo basi kwenye mikutano yetu, huwajazia mafuta bodaboda na watu wa bajaji, na katika maandamano huwa wanalipwa baadhi ya watu ili kuhimiza wengine.
Ni kweli hawalipwi wote, lakini hakika kuna wanaokuwa wamelipwa ili kuonyesha kuwa tunaungwa mkono na hao waongoze kuitikia hatimaye wengine wajiunge nao. Kwa hiyo katika maandamano kuna wanaolipwa na kuna wengi wasiolipwa.
Naandika mada hii kuwasadia wale ambao hujitolea tu wajue kuwa katika mkusanyiko huo kuna wenzao ambao huwa wamelipwa hela na hawa wakishawahamasisha wengine wao huishia zao kwahiyo wanaokuja kupatwa na matatizo hasa ni wale wanaojitolea tu bila kulipwa chochote.
Najua kisa kimoja Mbeya, pale waandamanaji walipoumizwa, walijiuguza wao wenyewe bila msaada wa chama. jambo hilo liliumiza sana familia zao na kwa hali ya sasa mbeya na hasa Mwanjelwa lilipotokea tukio lile, vijana hawajitokezi kwenye maandamano, bali wanadai na watoto wa viongozi nao waje mbele ndipo wataandamana. kwa hiyo ndiyo maana pia Mbeya wamegomea maandamano haya ya CHADEMA.
Hatimaye, nawaomba wananchi watafakari kama kila mtu ataachwa kucheza na sheria atakavyo, nini itakuwa future ya nchi yetu!. nina hakika chama chetu cha CHADEMA kikiingia madarakani mwaka 2015 (???) hatutaruhusu maandamano kama haya ya sasa.
Mfano tumeshaonyesha kwa chama kuzuia wanachama wake na mashabiki kuhudhuria mikutano ya Zitto Kabwe. hulka hiyo itakuwa kubwa kwa wapinzani mwaka kesho tutakapochukua dola!
Wenye masikio na wasikie.
Mwl.Ludovick
[/QUOM
Kumbe una elimu? ndiyooo maana elimu yetu chaliiiii, nyie ndo product za div 5.... nimeelewa sasa

a
Wenye masikio na wasikie.
Mwl.Ludovick
- Tulia hapa umekuja mbio kama umeitwa kujibu majungu? nyaamaza subiri upewe darasa huyu Ludovick anafaaa kugombea Urais huyu U know!!
Le Mutuz
Mkuu,
CHADEMA inayo misingi yake na Falsafa yake. ila kwa sasa misingi hiyo kwa sasa imefukiwa na walafi wachache lakini wenye nguvu kwenye chama. sasa sisi wengine tunadai mabadiliko kutokea ndani. waitaliano wanaita "argionamento". tutakapowapindua hawa mabepari, tutabaki na CHADEMA yetu inayoamini katika uwazi,uwajibikaji, kuchukia rushwa na ufisadi, isiyokubali ufuska na kama hayo. SISI TUNAAMINI KATIKA UWAZI NA MABADILIKO.