Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,173
- 27,223
Habari wanaJF,
Poleni kwa majukumu
Nimeona mijadala kuhusu uchaguzi wa mwaka huu 2020 ni kama inaelekea ukingoni na ukweli usio na shaka ni kuwa tumeshindwa
Hadi sasa hatujui nini cha kufanya hadi sasa kwa maana yote tuliyopanga hakuna lililofanikiwa.
Ninaomba viongozi wa chama wajikite zaidi na uchaguzi unaokuja wa 2025 kwa kuwa sio mbali. Issue kubwa itakuwa ni nani ambawe kweli anaweza kutuvusha huko.
Tumeshawapa nafasi watu wengi wa hapa nchini kwetu na wafia chama lakini ukweli ni kuwa hatujafanikiwa.
Ninaomba chama kiangalie na kuchungulia vizuri sheria na katiba ya nchi kama kuna upenyo wa kumsimamisha Amsterdam awe mgombea wetu.
Ni wazi tumeona kuwa ni mmoja wa makamanda waliotupigania kwa nguvu kubwa sana bila malipo yoyote na ameonyesha ukomavu mkubwa sana.
Ni dhahiri CHADEMA wengi kama sio wote tunamkubali sana Amsterdam.
Hivyo chondechonde chama changu ninawaomba mulizingatie hili.