Mkuu Mafilili mpenda amani tunashukuru kwa ujumbe wako Watanzania wenye uchungu na nchi yao wamekuelewaWatanzania habarini! nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. KILA siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia JUMBA la Magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za PANGU PAKAVU zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo;-
1. Wakasusia hafla ya kutangazwa matokeo ya URAIS
2. Wakasusia sherehe za kuapishwa Rais na TV wakazima
3. Wakawahi Dodoma kupokea posho za Ubunge
4. Wakasusia hotuba ya ufunguzi wa Bunge iliyofanywa na RAIS
5. Wakavunja umoja na vyama vingine vya upinzani BUNGENI
6. Wakavuruga zoezi la uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha
7. Wakazindua zoezi la maandamano endelevu nchini ANGENDA KUU IKIWA NI UFISADI NA KATIBA MPYA.
8. Wakatangaza wataendeleza maandamanoi nchini pamoja na Serikali ya CCM imekubali kuwepo na mjadala wa KATIBA na KUPIGA VITA UFISADI NDANI YA CCM NA SERIKALI.
9. Wakadandia MISIBA ILIYOTOKEA NYAMONGO.
HIZO NI VIASHIRIA VICHACHE JUU YA UENDESHAJE WA CHAMA FULANI CHA SIASA AMBACHO KINATAKA KUISHI KATIKA JUMBA LA MAGOGONI PASIPO KUTUMIA SANDUKU LA DEMOKRASIA.
TAFADHALI WATZ TUENDESHE MAOMBI KWA CHAMA HIKI KISICHO NA MTAZAMO WA UTAIFA NA TANZANIA KWANZA ILI WAONDOKANE NA STYLE YS SIASA WANAYOITUMIA KWANI INA MADHARA MAKUBWA KWA WANANCHI.
SINA HAJA YA KUTAJA CHAMA HUSIKA KWA VILE WANA JF WOTE WANAKIJUA CHAMA KINACHOENDA NJE YA MSTARI NA KOTOJALI MAMLAKA YA DOLA ILIYOPEWA RIDHAA NA WANANCHI.
No one has asked you to join CDM. You are vehently denying our rights (we are many Tanzanians) to believe in Chadema. If you do not want to be brainwashed it is because you are already brainwashed by ---------. Remember you are a no body to dictate to anybody because I am Tanzanian who believe in the course of CDM. I will do all I can to fight for rights stolen by this CCM Gang may be you are one of them; the PEOPLE WILL DECIDE may be in favour of your line of thinking.
No one will ever convince me to join cdm even if you hold a double barrel "canonized" gun on my head. No one has ever denied you your rights in Tanzania, that what we call a white lie. In the past six Years Kikwete has given you more than what you deserve. Could you have practiced your "mind" less type of cheap politics before Kikwete's term? Never. The peoples have decide just last October, that cdm is not yet fit to rule. Losing the Internationally observed elections just few months back is the major reason of this cheap politics which does nothing other than proving that you are all zombies who blindly follow the commands of a master who has even failed to lead his congregation and the other an alter boy at the discotheque.
Maandamano si njia ya kudai haki -Kulola :mod::mod:
Tuesday, 24 May 2011 20:06 newsroom
NA MARIA AROPE, DODOMA
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la EAGT, Moses Kulola, amesema maandamano si njia muafaka ya kudai haki, badala yake mazungumzo yatumike.Kulola pia amewashukia watu wanaombeza Rais Jakaya Kikwete, akisema wana ajenda binafsi, hivyo Watanzania hawana budi kufanya maombi ya kumuombea na wasikubali kurubuniwa na wachache. Askofu Kulola alitoa kauli hiyo juzi, alipotoa mahubiri kwenye Kanisa la Siloam Ipagala, mjini hapa na kuongeza kuwa, kazi inayofanywa na Rais Kikwete ni ngumu. ulola aliwaagiza waumini kuhakikisha wanapinga na kukemea maandamano yanayofanywa na vyama mbalimbali, kwani ni uchochezi na hayana sababu za msingi. Sioni sababu za watu au vyama kuandamana, badala yake nashauri mazungumzo yatumike kwa wahusika ili kumaliza migogoro kwa amani, alisema.
Askofu Kulola alitumia fursa hiyo kuwaasa wanafunzi kukataa kuandamana. Alisema wamepewa dhamana kubwa, na wananchi wanawategemea wawatumikie baada ya kuhitimu masomo. Kulola alisema maombi yatamuongezea nguvu na ujasiri Rais Kikwete wa kuendelea kuongoza taifa na kufanya mambo makubwa ya maendeleo. Nawashangaa watu wanaombeza na kumdharau Rais Kikwete, wana ajenga gani au wananufaika vipi, lakini nampongeza kwa uvumilivu na anaendelea kusimama na kuongoza nchi vizuri, hivyo hatuna budi kufanya maombi ili kumtia nguvu, alisema. Alisema Rais Kikwete anaongoza nchi kwa misingi ya haki, bila upendeleo na watu wanaombeza wanapaswa kukoma haraka. Nawaagiza waumini wote wa kanisa hili, hakikisheni mnawakemea wote wanaomdharau Rais Kikwete kwani hawana nia njema kwa taifa, alisema. Kuhusu utabiri wa mwisho wa dunia unaotolewa na baadhi ya watabiri, Askofu Kulola alisema jamii iwaepuke kwani ni uongo. Alisema watabiri hao wanakinzana na neno la Mungu, kwani hakuna mwanadamu anayejua siku wala saa.
Last Updated ( Tuesday, 24 May 2011 20:31 )
Source: Gazeti la Uhuru
i do not believe if Tanzania have such mental thinking. The Global of bussines is looking Tanzania as people of same thinking. Chadema now is a problem to the country. They are not a political party but a gang. Poor Tanzania i wish Gadafi could be in the country. Gang party chadema. Is a doomed party for the peace of the country.
Ahadi zinatekelezwa vizuri tu...Wanajamii
CDM muacheni J.K atekeleze ahadi alizoahidi kwa wananchi. Tokea kipindi cha kamapeini mwaka jana (2010) hadi sasa mmemkaba koo. Atatekelezaje ahadi zake? Muoneeni huruma mtoto wa mzazi mwenzenu....
=CDM mmesababisha Rais hadi anasahau baadhi ya mambo muhimu kama vile kuwateua wakuu wa wilaya na mikoa ambao ni wasimamiaji wakuu wa ahadi hizo.
=CDM mmeifanya serikali ya J.K kuchanganyikiwa na kuanza mambo ya ajabu ajabu. Tazama, eti polisi wamegeuka wanga hadi wanaiba maiti usiku wa manane....
Please, makamanda wote wa CDM muoneeni huruma Rais wetu!
Seriously, mnawanyima usingizi mama na baba wa kaya hadi wameanza kukonda.......Juzi nilimuona live Mama wa kaya hadi anatia huruma...kakonda kweli kweli.
Maandamano si njia ya kudai haki -Kulola :mod::mod:
Tuesday, 24 May 2011 20:06 newsroom
NA MARIA AROPE, DODOMA
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la EAGT, Moses Kulola, amesema maandamano si njia muafaka ya kudai haki, badala yake mazungumzo yatumike.
Kulola pia amewashukia watu wanaombeza Rais Jakaya Kikwete, akisema wana ajenda binafsi, hivyo Watanzania hawana budi kufanya maombi ya kumuombea na wasikubali kurubuniwa na wachache.
Askofu Kulola alitoa kauli hiyo juzi, alipotoa mahubiri kwenye Kanisa la Siloam Ipagala, mjini hapa na kuongeza kuwa, kazi inayofanywa na Rais Kikwete ni ngumu.
Kulola aliwaagiza waumini kuhakikisha wanapinga na kukemea maandamano yanayofanywa na vyama mbalimbali, kwani ni uchochezi na hayana sababu za msingi.
Sioni sababu za watu au vyama kuandamana, badala yake nashauri mazungumzo yatumike kwa wahusika ili kumaliza migogoro kwa amani," alisema.
Askofu Kulola alitumia fursa hiyo kuwaasa wanafunzi kukataa kuandamana. Alisema wamepewa dhamana kubwa, na wananchi wanawategemea wawatumikie baada ya kuhitimu masomo.
Kulola alisema maombi yatamuongezea nguvu na ujasiri Rais Kikwete wa kuendelea kuongoza taifa na kufanya mambo makubwa ya maendeleo. "Nawashangaa watu wanaombeza na kumdharau Rais Kikwete, wana ajenda gani au wananufaika vipi, lakini nampongeza kwa uvumilivu na anaendelea kusimama na kuongoza nchi vizuri.
Hivyo hatuna budi kufanya maombi ili kumtia nguvu," alisema. Alisema Rais Kikwete anaongoza nchi kwa misingi ya haki, bila upendeleo na watu wanaombeza wanapaswa kukoma haraka. "Nawaagiza waumini wote wa kanisa hili, hakikisheni mnawakemea wote wanaomdharau Rais Kikwete kwani hawana nia njema kwa taifa," alisema.
Kuhusu utabiri wa mwisho wa dunia unaotolewa na baadhi ya watabiri, Askofu Kulola alisema jamii iwaepuke kwani ni uongo. Alisema watabiri hao wanakinzana na neno la Mungu, kwani hakuna mwanadamu anayejua siku wala saa.
Last Updated ( Tuesday, 24 May 2011 20:31 )
Source: Gazeti la Uhuru
The issue is, who else if not a comatose accepts willingly to follow a leader as such? Zhu was so polite to say cdm "Mind is asleep." I say, the followers are comatose! reasons are obvious.
i do not believe if Tanzania have such mental thinking. The Global of bussines is looking Tanzania as people of same thinking. Chadema now is a problem to the country. They are not a political party but a gang. Poor Tanzania i wish Gadafi could be in the country. Gang party chadema. Is a doomed party for the peace of the country.