Indeed they are, stolen from which Tanzanian? I am a Tanzanian and none has stolen anything from me, even our great elders who struggled for self rule from the UN never wanted to "capture power". Who are chadema to brainwash us into capturing power?
Ketav a foolish son/daughter is a grief to his mother if not for anything just do it for ur mum stop showing how foolish you are because your ashaming ur mother and let us not reach a point of cursing your mother for wasting her time to give birth to you.enjoy ur day,
i do not believe if Tanzania have such mental thinking. The Global of bussines is looking Tanzania as people of same thinking. Chadema now is a problem to the country. They are not a political party but a gang. Poor Tanzania i wish Gadafi could be in the country. Gang party chadema. Is a doomed party for the peace of the country.

Watanzania habarini! nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. KILA siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia JUMBA la Magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za PANGU PAKAVU zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo;-
1. Wakasusia hafla ya kutangazwa matokeo ya URAIS
2. Wakasusia sherehe za kuapishwa Rais na TV wakazima
3. Wakawahi Dodoma kupokea posho za Ubunge
4. Wakasusia hotuba ya ufunguzi wa Bunge iliyofanywa na RAIS
5. Wakavunja umoja na vyama vingine vya upinzani BUNGENI
6. Wakavuruga zoezi la uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha
7. Wakazindua zoezi la maandamano endelevu nchini ANGENDA KUU IKIWA NI UFISADI NA KATIBA MPYA.
8. Wakatangaza wataendeleza maandamanoi nchini pamoja na Serikali ya CCM imekubali kuwepo na mjadala wa KATIBA na KUPIGA VITA UFISADI NDANI YA CCM NA SERIKALI.
9. Wakadandia MISIBA ILIYOTOKEA NYAMONGO.
HIZO NI VIASHIRIA VICHACHE JUU YA UENDESHAJE WA CHAMA FULANI CHA SIASA AMBACHO KINATAKA KUISHI KATIKA JUMBA LA MAGOGONI PASIPO KUTUMIA SANDUKU LA DEMOKRASIA.
TAFADHALI WATZ TUENDESHE MAOMBI KWA CHAMA HIKI KISICHO NA MTAZAMO WA UTAIFA NA TANZANIA KWANZA ILI WAONDOKANE NA STYLE YS SIASA WANAYOITUMIA KWANI INA MADHARA MAKUBWA KWA WANANCHI.
SINA HAJA YA KUTAJA CHAMA HUSIKA KWA VILE WANA JF WOTE WANAKIJUA CHAMA KINACHOENDA NJE YA MSTARI NA KOTOJALI MAMLAKA YA DOLA ILIYOPEWA RIDHAA NA WANANCHI.
Jamani CCm imekwisha kabisa tuache utani inatakiwa ibadilishwe upya kabisaa!Ukisoma kichwa cha habafri na hapo nilipoweka red sijui unapata picha gani

watanzania habarini! Nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. Kila siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia jumba la magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za pangu pakavu zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo;-
1. Wakasusia hafla ya kutangazwa matokeo ya urais
2. Wakasusia sherehe za kuapishwa rais na tv wakazima
3. Wakawahi dodoma kupokea posho za ubunge
4. Wakasusia hotuba ya ufunguzi wa bunge iliyofanywa na rais
5. Wakavunja umoja na vyama vingine vya upinzani bungeni
6. Wakavuruga zoezi la uchaguzi wa meya wa jiji la arusha
7. Wakazindua zoezi la maandamano endelevu nchini angenda kuu ikiwa ni ufisadi na katiba mpya.
8. Wakatangaza wataendeleza maandamanoi nchini pamoja na serikali ya ccm imekubali kuwepo na mjadala wa katiba na kupiga vita ufisadi ndani ya ccm na serikali.
9. Wakadandia misiba iliyotokea nyamongo.
Hizo ni viashiria vichache juu ya uendeshaje wa chama fulani cha siasa ambacho kinataka kuishi katika jumba la magogoni pasipo kutumia sanduku la demokrasia.
Tafadhali watz tuendeshe maombi kwa chama hiki kisicho na mtazamo wa utaifa na tanzania kwanza ili waondokane na style ys siasa wanayoitumia kwani ina madhara makubwa kwa wananchi.
Sina haja ya kutaja chama husika kwa vile wana jf wote wanakijua chama kinachoenda nje ya mstari na kotojali mamlaka ya dola iliyopewa ridhaa na wananchi.
you are also been taken by Chadema's wind
. Use your brain to visual beyond horizon. chadema is a Company owned fem noise maker. Go 2 sleep. Leave the tanzania poor but rich in peace.
lete umeme kwanza kabla hujamaliza hizi pumba zako. Lete umeme hata kama unatoka kwenye makalio ya fisi. Lete umeme then ndio tuongee
Watanzania habarini! nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. KILA siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia JUMBA la Magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za PANGU PAKAVU zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo.....) Quote-
Kama unaipenda nchi yako tafuta soln ya umaskini wa nchi yako hizo longo longo nyingine ni wastage of time. It is time to look for solutions sio kulalama arggh!

Basi muwe wastaarabu msiwe mnadandia misiba ya watu msiokuwa na uhusiano wowote