Mimi ni mwanachama wa cdm na mpenda mageuzi kinachonikera kwenye hichi Chama changu ninachokipenda sana!! ni hizi nyimbo za kidini zinazopigwa kwenye mikutano ya cdm napa Arusha sina uhakika na sehemu nyingine ukifika kwenye mikutano hii utazani mzee wa upako au kakobe anahutubia nataka niwakumbushe viongozi wangu na mbunge wangu mheshimiwa lema bado wewe ni mbunge wangu najua wewe ni mlokole lakini kumbuka wanachama wote cdm si wakristo na mikutano ya kisiasa sio ya kidini na wala Chama hakina dini na kwamtu ambaye si mkisto sehemu Kama ile anakua uncomfortable to be honest ingekua wewe ni mkristo na kwenye mkutano wa Chama chako ikawa inapigwa KASWIDA ungejisikiaje? Leo cdm inatakiwa kuunganisha watu wote na dini zote ili kuchukua dola na isifanye makosa ya cuf kuzani unaweza kuchukua dola na watu wa dini moja ili tufike tunakoenda lazima tukosoane na kuelezana ukweli people's power!!
Kama huu utaratibu ni kweli upo, utakuwa umetoa mzuri....Mimi ni mwanachama wa cdm na mpenda mageuzi kinachonikera kwenye hichi Chama changu ninachokipenda sana!! ni hizi nyimbo za kidini zinazopigwa kwenye mikutano ya cdm napa Arusha sina uhakika na sehemu nyingine ukifika kwenye mikutano hii utazani mzee wa upako au kakobe anahutubia nataka niwakumbushe viongozi wangu na mbunge wangu mheshimiwa lema bado wewe ni mbunge wangu najua wewe ni mlokole lakini kumbuka wanachama wote cdm si wakristo na mikutano ya kisiasa sio ya kidini na wala Chama hakina dini na kwamtu ambaye si mkisto sehemu Kama ile anakua uncomfortable to be honest ingekua wewe ni mkristo na kwenye mkutano wa Chama chako ikawa inapigwa KASWIDA ungejisikiaje? Leo cdm inatakiwa kuunganisha watu wote na dini zote ili kuchukua dola na isifanye makosa ya cuf kuzani unaweza kuchukua dola na watu wa dini moja ili tufike tunakoenda lazima tukosoane na kuelezana ukweli people's power!!
Magamba at work
Mimi ni mwanachama wa cdm na mpenda mageuzi kinachonikera kwenye hichi Chama changu ninachokipenda sana!! ni hizi nyimbo za kidini zinazopigwa kwenye mikutano ya cdm napa Arusha sina uhakika na sehemu nyingine ukifika kwenye mikutano hii utazani mzee wa upako au kakobe anahutubia nataka niwakumbushe viongozi wangu na mbunge wangu mheshimiwa lema bado wewe ni mbunge wangu najua wewe ni mlokole lakini kumbuka wanachama wote cdm si wakristo na mikutano ya kisiasa sio ya kidini na wala Chama hakina dini na kwamtu ambaye si mkisto sehemu Kama ile anakua uncomfortable to be honest ingekua wewe ni mkristo na kwenye mkutano wa Chama chako ikawa inapigwa KASWIDA ungejisikiaje? Leo cdm inatakiwa kuunganisha watu wote na dini zote ili kuchukua dola na isifanye makosa ya cuf kuzani unaweza kuchukua dola na watu wa dini moja ili tufike tunakoenda lazima tukosoane na kuelezana ukweli people's power!!
Well said mkuu.Hichi kitu kinanikera hata mimi.Halafu kuna mijitu humu ndani inakimbilia Magamba at work.Magamba nani wako watu wanania nzuri na chama halafu unaleta mambo ya kipuuzi.
Magamba at work