ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Ndo maana wenye kufikiri saaaaaana, wanadhani kwa Tanzania hivi ilivyo, demokrasia haswa hii ya vyama vingi ilitakiwa isubiri kidogo. Bado sisi hatujakomaa ktk utaifa wetu. Hatuaminiani kabisa.Kweli shida mkuu
Si kwamba alifanya kosa kubwa mh. Mbowe kama lengo lilikuwa ni kuufuta ukaskazini wa cdm, ingawa kidemokrasia ni udhaifu. Tuwe wakweli, taifa lina ukanda, ukabila, udini nk. Kanda chache tu ndo hazina mambo hayo. Embu vuta picha kidogo, angefikia hatua gani mtu kama Msigwa kwa kanda ya kaskazini ktk uchaguzi ambao ole ameshiriki Nyasa?