Hoja ya kijinga sana, kura zimepigwa Msigwa kapata hizo alizopata mlitaka wote wampigie kura Msigwa?Umesoma vizuri kilichoandikwa na kuelewa? Kura zilipigwa lkn ni za Ndiyo au Hapana, yaani kwa maana nyingine ilikuwa ni lazima Msigwa apite labda kama watu 100% wangepiga kura ya Hapana jambao ambao haliwezekani!