CHADEMA hawana tofauti na Korea Kaskazini

CHADEMA hawana tofauti na Korea Kaskazini

CHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.

Hahahahaaa....inachekesha.

Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?

Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?

Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.

Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.

Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!

Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!

Aibu.

Duh umenichekeshaaa aisee..
 
Mkuu naoa umeenda mbali sana,Chadema wanaweza kuwa na mapungufu lakini hawajafika huko,
Kutoka kuanza kwake wamepokezana vijiti hawa Mtei-Bob Makani-Mbowe.
Lakini kuanza Tanu 1954 hadi kuzaliwa CCM hadi kustaafu uraisi 1985 akaongeza miaka kama mingine miwili sababu ilikuwa ana imaarisha chama.Vivyo hivyo Mbowe anaimaarisha chama.
 
Upuhuzi mtupu anaeshabikia ccm apimwe akili.na mkojo
 
stupid, majizi ya 1.5 trilion plus 4 trillion ya kuficha deni la taifa,majizi makubwa kwenye historia ya nchi hii yametokea burundi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
CHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.

Hahahahaaa....inachekesha.

Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?

Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?

Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.

Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.

Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!

Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!

Aibu.
Na mvua hizi kajumba ka CHADEMA kamejaa maji, wanajitahidi kuyaondoa.

Wanaikejeli CCM wakati wao wana mengi machafu pengine kuliko hao wanaowatusi, kwa sababu wao ni mali ya familia moja tajiri.
 
Mnaringia ndinga za babaaa.
Kama mngejua ccm ilipotoka.
Leo hii msingeringia kile kighorofa cha Lumumba.ccm wamepora maeneo mengi kwenye nchi hii.
Kila tu chama tawala.
TUONESHENI HATI YA UNUNUZI WA VIWANJA VYENU.
MNA vyanzo gani vya kuwapatia hela?
Kama sio kuchotewa kodi zetu serikalini.
MNARINGIA NDINGA ZA BABAA
 
usini qoute kama hujaelewa nilichoandika.
Nimekuelewa sana tu hata cdm ingekuwa vizuri kwa hii katiba ni yaleyale tu. Hatuna uwezo Wa kuwamanage wanasiasa wao wanatumanage sisi
 
Back
Top Bottom