CHADEMA hawana tofauti na Korea Kaskazini

CHADEMA hawana tofauti na Korea Kaskazini

aibu kubwa ni ipi... Chadema kufananishwa na Korea au kuwa boi wa wazungu kama ulivyo wewe?
Afadhali kuwa boi Wa Mzungu kuliko kujikomba kwa wazungu. Ukipiga kazi Mzungu anakuheshimu, ukipiga domo Mzungu anakudharau.
 
CHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.

Hahahahaaa....inachekesha.

Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?

Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?

Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.

Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.

Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!

Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!

Aibu.
Uzi kama huu kuuacha Jukwaa la Siasa ni kulifedhehesha mno jukwaa. Unastahili uhamishiwe Chit chat
 
Afadhali kuwa boi Wa Mzungu kuliko kujikomba kwa wazungu. Ukipiga kazi Mzungu anakuheshimu, ukipiga domo Mzungu anakudharau.
yeah right.
unafikiri Mzungu ni mjinga amwonyeshe dharau ya wazi mtu anayebeba mavi yake?
 
Naona mmevimbiwa mihogo ya 1.5 trillion. CCM wezi watupu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mkuu hakuna hata wa kuchambua report za kitaaluma hakuna presidential material kweli.
wengi humu wanaipenda kwa sababu hawawezi kuipenda CCM na wanashindwa kubaki neutral.
Laigwanan angeweza kuichambua ripoti ya CAG mpaka watu washangae.

Ni kwamba tu alikuwa anashughulikia suala la BINTI yake amkwamue kutoka kwenye himaya ya mkuu wa mkoa.

Chezea Chadema wewe!
 
Baada ya track ya kipuuzi ya nani kazaa na nani katelekezwa na nani kukosa kiki naona mnakuja na zilipendwa...kwani demokrasia ipo ndani ya majengo? Fine CCM imekuwepo madarakani tokea 1977 na ina ofisi nzuri, unadhani wanavyoendesha nchi viongozi wenu wa chama ndivyo demokrasia inataka? Chama cha mapinduzi kitabaki kwenye kumbu kumbu tu kwamba kilimtoa mkoloni mweupe na kuingiza mkoloni mzawa basi...shubhaaat!
 
Back
Top Bottom