Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,779
- Thread starter
- #41
Kwenda wapi?
Ikulu
Kwenda wapi?
Kifupi wanasiasa sio Wa kuwamini eti kuwaanda wawe maraisi. Ni heri tuimarishe shadow government kuliko hawa speakers. Siku zote huzungumza yale waliyotumwa na waliowaweka. The government should be for the people akizingua whatever chama pembeni.Sana tu!
Fikiria kwa mfano hivi sasa ndani ya CHADEMA nani ni presidential material?
Yeriko Nyerere na Halima Mdee?
Hahaaa
Kwa hii katiba hata wewe ukiingia utafanya hayahaya unayoyaonaI am against ccm
but sadly
Chadema hawaoni kundulo!
Ikulu? Sijapata mwaliko.Ikulu
Wewe umejenga? Ccm wamejenga jengo gani tangu 1977? Shida yako unafikiri kitoto tena bila data! Na huku jf sio fb kwa watoto wenzako kuna wakongwe wenye kuijua ccm kama miili yao kwani sisi ndio waasisi! Onyesha jengo moja tu hata la mtaa lililonengwa na ccm tangu 1977.CHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.
Hahahahaaa....inachekesha.
Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?
Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?
Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.
Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.
Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!
Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!
Aibu.
Lumumba mlijenga au mlipewa na mwl Nyerere baada ya kuwadhulumu wahindi enzi za kubnaifisha mali zao? Mwenye lile jengo unamjua? Yupo hapo upanga kaskazini analia njaa! Kweli ccm mdudu anayewasha!Wana Yanga tulishazoea hali ile...Ila Lumumba pako swafi kabisa.
Wewe umejenga? Ccm wamejenga jengo gani tangu 1977? Shida yako unafikiri kitoto tena bila data! Na huku jf sio fb kwa watoto wenzako kuna wakongwe wenye kuijua ccm kama miili yao kwani sisi ndio waasisi! Onyesha jengo moja tu hata la mtaa lililonengwa na ccm tangu 1977.
Ikulu? Sijapata mwaliko.
Mh. Raisi wa wabeba mabox, sina huo muda. Na mimi nakimbizana na mabox kama wewe.Mcheki da Mange
Mh. Raisi wa wabeba mabox, sina huo muda. Na mimi nakimbizana na mabox kama wewe.
Mkuu bora umesema, mimi nabaki nashangaa sana na bahadhi ya members humu, tuna tatizo gani? Jukwaa la siasa limevamiwa na MODERATORS wawe wanaangalia. Ikiwezekana waanzishe jukwaa kwa ajili ya watoto wa CCM na CDM wawe wanaparurana huko. Unakuta kuna issue ya muhimu kweli ya kitaifa ya kujadili tena inayotaka critical thinking, watu wamekalia ufipa, Jangwani. Mara Mbowe, mara jiwe. Utoto kwelikweli. Hili libaki jukwaa la kujadili siasa kwelikweli sio upuuzi kama huu. Ripoti ya CAG hasa kutojulikana kwa matumizi ya kiasi cha trilion 1.5 ni issue sensitive sana lakini ikianzishwa tu unasikia mbona ufipa wamekula bilioni 7???dah.Uzi kama huu kuuacha Jukwaa la Siasa ni kulifedhehesha mno jukwaa. Unastahili uhamishiwe Chit chat
Dah!!! Siku hizi unatapika naliamsha dude yenyewe maana ni ajabu kusikia CDM eti hawana kiwanja wakati mapato yao kwa mwaka ni kama bilioni 4 hivi. Yaani wananchi wa kawaida wanajichanga wananunua viwanja na kujenga nyumba kwa kujinyima, wao kutenga tu hata milioni 50 tu kila mwishoni wa miezi kununua kiwanja eneo zuri na kisha kujenga Ofisi wanashindwa, kweli?, kweli jamani, kweli?Sana tu!
Fikiria kwa mfano hivi sasa ndani ya CHADEMA nani ni presidential material?
Yeriko Nyerere na Halima Mdee?
Hahaaa
nchi inaelea kwenye tope. ccm oyeeCHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.
Hahahahaaa....inachekesha.
Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?
Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?
Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.
Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.
Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!
Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!
Aibu.
usini qoute kama hujaelewa nilichoandika.Kwa hii katiba hata wewe ukiingia utafanya hayahaya unayoyaona
presidential material wa ccm 2015 -2020, anaitwa jiwe, fake PhD, sofar ameitia hasara nchi trl1.5Sana tu!
Fikiria kwa mfano hivi sasa ndani ya CHADEMA nani ni presidential material?
Yeriko Nyerere na Halima Mdee?
Hahaaa