Chadema hawajakiuka maadili?

naona utafungua historia ya kila Pembe ya Dunia lkn bado hoja ikiwa ngumu kwako. sio kila mwarabu ni muislam. lkn pia tusichukulie mifano ya mbali sana wakati tunazungumzia Tanzania Arusha

Muhogomchungu;

Gamel Abdel Nasser Rais wa pili wa Misri kwa sababu maiti yake ilikaa ndani zaidi ya siku 3 kwa hiyo unahisi hakuwa mwislam?Au unajaribu kutuambia nini hasa tulipokupa hadi uthibitisho kuwa mara nyingine maiti ya kiislam hukaa zaidi ya masaa 24 bila kuzikwa!
 
hatan hii ni hoja ya msingi. hoja ya msingi sio inayoifurahisha chadema. jee utaposikia mh Mboe kasaliwa msikitini wakati ukijua ni mkiristo pia utasema sio hoja ya msingi?

Sasa Mbowe akisaliwa msikitini mie nitawalaumu CCM or CUF? Tumia akili ndugu yangu.
 
zipo maiti za waislam hukaa hata 12 days pakiwa na sababu isiepukika. lkn hili la chadema halina tofauti na matokeo yaliywahi kutokea tanzania kwa vyama vyengine au mizozo mengine . yote tuliona 2 days. lkn hili kwanza wameweka hadi kusubiri maizshi ya kitaifa. sote tunajua madhehebu mengine hakuna rushua ya kuzika haraka haraka ndio maana hata 3 week. lkn kwa imani ya kiislam sijaona ktk hali kama hiyo iliotokea arusha
 
hatan hii ni hoja ya msingi.

Afadhali hoja ya msingi imejibiwa na umekubaliana nayo. Nafurahi kuwa umeelewa kuwa Chadema hawakuvunja maadili. Waliovunja maadili ni polisi na hospitali.
Hawajakiuka maadili Full Stop.

TOPIC CLOSED
 
Sasa Mbowe akisaliwa msikitini mie nitawalaumu CCM or CUF? Tumia akili ndugu yangu.

Utahoji iweje na hotukaa kimya. ukiona jeneza limebebwa na viongozi wa kisiasa lazima utahoji hutokaa kimya. sasa kwanini tusihoji hasa walioofanya mazishi hayo ni uongozi wa Chadema sio familia? kama familia kila mtu anagliona ni maamuzi ya familia hakuna wa kumtupia mpira.lkn picha inaonyesha yaliandaliwa na chadema ndio maana yakachelewa
 
afadhali hoja ya msingi imejibiwa na umekubaliana nayo. Nafurahi kuwa umeelewa kuwa chadema hawakuvunja maadili. Waliovunja maadili ni polisi na hospitali.
jee chadema walipanga mazishi ya huyu kijana siku ya pili lkn polisi walizuia? au chadema ilipanga 1 week before ili kufanya mazishi kufanya siku ya kumbukumbu ya mapinduzi?
 
Crap...unakaa kigogoo nini!! mawazo finyu kama wa chekechea...KWELI HAPA TUSORTIWE MAANA WENGINE TUNALETA USIKU TUU HAPA,,!!
 
Afadhali hoja ya msingi imejibiwa na umekubaliana nayo. Nafurahi kuwa umeelewa kuwa Chadema hawakuvunja maadili. Waliovunja maadili ni polisi na hospitali.
Hawajakiuka maadili Full Stop.

TOPIC CLOSED
usitumie nguvu kufunga hoja, hoja nadhani itakuwa kubwa zaidi baada ya viongozi wa dini kutoa tamko
 
hatan hii ni hoja ya msingi. hoja ya msingi sio inayoifurahisha chadema. jee utaposikia mh Mboe kasaliwa msikitini wakati ukijua ni mkiristo pia utasema sio hoja ya msingi?

Kuna Mtu Kaniambia eti wewe huna akili sababu ya Madrasa Islamiyah
 
serikali yote ya ccm haina waislamu?
 
zipo maiti za waislam hukaa hata 12 days pakiwa na sababu isiepukika.

Nafurahi kusoma kuwa sasa Muhogomchungu mwenyewe kakiri kuwa sio jambo geni kwa maiti ya kiislam kukaa zaidi ya masaa 24;sasa kama mwenyewe kakubali kwa nini tuendelee kuongelea suala ambalo tayari limepatiwa ufumbuzi?
 
hapa sio sababu , hapa ilikuwa ni kuwafurahisha chadema, kuyafanya mazishi ya kitaifa huku wakiuka maadili ya madhehebu mengine
 
hapa sio sababu , hapa ilikuwa ni kuwafurahisha chadema, kuyafanya mazishi ya kitaifa huku wakiuka maadili ya madhehebu mengine

Kuchelewa kuzikwa kwa Rais Gamel Abdel Nasser wa Misri kwa zaidi ya siku 3 mwaka 1970's ilikuwa kumfurahisha nani?
 
bado hujajibu hoja. yakiwa ya alqaeda chadema watakimbia nchi, tusifikie huko ya Arusha chadema wapiga kelele.

Wacontact alqaeda wakupe bomu ukajilipue upunguze hasira. Mabikra 70 watakuwa wanakusubiri akhera! hihiihi
 
KWani mwili ulihifadhiwa na CHADEMA???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…