Chadema hawajakiuka maadili?

Labda kabla hatujaomba msamaha. Unajua kila kitu hata imani ina maana yake, mfano msabato anaamini kutokunywa chai, kwasababu chai ina nucotin nyingi inayoweza kuleta madhara katika mwili wa binadam, Marasta Farian hawali nyama kwa imani kwamba wanafanya kosa kupoteza uhai wa mnyama ambae ana roho kama binadam, Sasa nawewe utwambie kwanini ulitaka azikwe haraka hivyo? ili kama utakua na mantic basi tutafanya kama unavyotaka.
 
ok, hiyo ni kesi maalum ambayo tofauti na hii ambapo pana mzozo wa kisheria, hii ni sawa za mwembechai, pemba cuf na maandamano ya waislam Unguja 1983 ambapo siku ya pili maiti alizikwa kwani polisi wanajua maiti ya imani ya kiislam
 
Huu ni mwaka wa Kiislamu! Unaweza andika ni mwaka gani kwenye Kalenda ya leo?
 
imani yake ndivyo inavyotaka. ndio maana hakuna hata kiongozi mmoja duniani mkuu wa kiislam aliewahi kufika 8 days. juu ya watu kumpenda lkn linapokuja swala la maiti imani mwanzo halafu siasa.
 
Kwanza unajua mwili wa Marehemu ulikabidhiwa lini kwa wahusika? waliokufa walikuwa na risasi mwilini, Si ilibidi wachakachue ili waondoe risasi? Waulize Polisi ni kwa nini walichelewesha mwili.
 
Asante seniorita kwa kumpasha huyu mpuuzi. Huyu na wajinga/wapuuzi wenzake huongozwa tu na imani ya kuambulia cha kujaza matumbo yao. Ndo maana hata kuhakiki waandikacho hawakumbuki. Kama adai lililotokea siyo nadra kutokea sasa kinachomshangaza ni kipi?
Tuendelee kushukuru mashujaa wetu tumewaenzi na Mungu awarehemu.
 
Kwanza unajua mwili wa Marehemu ulikabidhiwa lini kwa wahusika? waliokufa walikuwa na risasi mwilini, Si ilibidi wachakachue ili waondoe risasi? Waulize Polisi ni kwa nini walichelewesha mwili.

inawezekana. lkn Chadema walipanga mapema mazishi leo ya kitaifa, kwa hivyo tunaamini kwamba huo ulikuwa ni mpango wa chadema na sio polisi. polisi ktk mtazamo wa kawaida matukio kama haya huwa wanafanya uchunguzi haraka kama vile mwembechai na pemba
 
usije na jazba mzee/kijana leo ukiona dk kiongozi mkuu wa chadema mkiristo anaswaliwa msikitini utahoji na utashangaa sana. kwanini tusishangae Chadema kuweka mwili wa marehemu masiku kinyume na utaratibu halafu mkipewa hoja mnakuja juu. jee chadema ni malaika au manabiii?
 
Jibu kwa Muhogomchungu;

Biography ya Rais wa Pili wa Misri ya kale ya mafirauni Gamal Abdel Nasser inasema hivi;

Kufa September 28,1970

Kuzikwa November 1,1970

Muhogomchungu;

Mwili wa Rais Gamal Abdel Nasser wa Misri ulikaa zaidi ya siku 3 ukisubiri taratibu za kisiasa na zinginezo zimalizike hasa kuandaa mapokezi ya watu watakaojitokeza kwenye shughuli hiyo!

Kama ndugu wa marehemu watahisi kuna watu wengi wanataka kuja kuhudhuria maziko ya mpendwa wao hata waislam wanachelewesha maziko!
 
Jibu kwa Muhogomchungu;

Biography ya Rais wa Pili wa Misri ya kale ya mafirauni Gamal Abdel Nasser inasema hivi;

Kufa September 28,1970

Kuzikwa November 1,1970

naona utafungua historia ya kila Pembe ya Dunia lkn bado hoja ikiwa ngumu kwako. sio kila mwarabu ni muislam. lkn pia tusichukulie mifano ya mbali sana wakati tunazungumzia Tanzania Arusha
 
1983 CUF haikuwepo vyama vingi vimeanza Tanzania 1992
nadhani chadema ijaribu kuangalia kwanza imani za watu hasa ktk maswala ya kitaifa, inawezekana ikawa na nia nzuri sana lkn njia wanayotumia inakikuka maadili
 
Chadema wanamiliki mortuary? Umeulizia taratibu za postmotem zilikuwaje? Lini mtakuwa na hoja za msingi?
 
Chadema wanamiliki mortuary? Umeulizia taratibu za postmotem zilikuwaje? Lini mtakuwa na hoja za msingi?

hatan hii ni hoja ya msingi. hoja ya msingi sio inayoifurahisha chadema. jee utaposikia mh Mboe kasaliwa msikitini wakati ukijua ni mkiristo pia utasema sio hoja ya msingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…