Chadema hawajakiuka maadili?

Mbona Waislam kupitia masheikh wao hawakutoa tamko? au wewe ndo wamekutuma uje utoe tamko?

Anatupotezea muda tu huyu,tujadili vitu vingine vya maana mtu mgumu kuelewa kama nini,masheikh ni wa elewa yeye asiyeujua uislam bado anang'ang'aniza utumbo...to hell
 
kama unadai cdm hawakufuata misingi ya dini,basi umetuhakikishia kuwa si wadini. Tunashukuru.
 
tatizo si mauji hapa. tatizo maiti kucheleweshwa kuzikwa kungojea wengine huku maadili ya dini husika hayakuzingatiwa. kwani hata uwe kiongozi gani hutakiwi kuwekwa siku zote hizo bila ya kuzikwa
 
kama unadai cdm hawakufuata misingi ya dini,basi umetuhakikishia kuwa si wadini. Tunashukuru.

hapa tunazungumzia maiti. unadhani akifa Mboe au dk Slaa hatasaliwa ? kuepusha kuonekana udini?
 
Huyu marehemu si alipelekwa msikitini kwa nn Imamu wa msikiti hakuzuia kwa mwili umekaa mno hawawezi kuuombea?

inawezekana political ilitumika kama wanavyofanya ccm kuwatumia baadhi maaskofu na masheikh
 
Anatupotezea muda tu huyu,tujadili vitu vingine vya maana mtu mgumu kuelewa kama nini,masheikh ni wa elewa yeye asiyeujua uislam bado anang'ang'aniza utumbo...to hell

Kuna lijamaa humu humu lilikuwa libishi kuelewa kama huyu linaitwa Maralia Sugu limekula kifungo cha maisha
 
inawezekana political ilitumika kama wanavyofanya ccm kuwatumia baadhi maaskofu na masheikh

Walaamu hao viongozi wa msikiti walio kubali mwili usaliwe humo na si CHADEMA kama unavyo taka kutuaminisha
 
tatizo si mauji hapa. tatizo maiti kucheleweshwa kuzikwa kungojea wengine huku maadili ya dini husika hayakuzingatiwa. kwani hata uwe kiongozi gani hutakiwi kuwekwa siku zote hizo bila ya kuzikwa

Ndiyo nakueleza kuwa maiti ya mauaji na maiti ya natural cause yaani magonjwa taratibu ni tofauti!!! Ukiumwa kipindu pindu na kupelekwa hosptitali ukafa unachukuliwa muda huo huo maana sababu ipo wazi!! Lakini ukipelekwa hospitali na majeraha na ukafa mpaka ripoti ya polisi itoke ndio maiti inaruhusiwa kwenda kuzikwa!!! Ndio maana hata ukijeruhiwa na ukaenda hospitali lazima uwe na fomu namba 3 ya polisi (PF 3) ili uweze kutibiwa!!

Wanaowatuma waambieni kidogo wawe wanawapeleka shule.. nashangaa bosi wenu Makamba kidogo mwanae kasoma kwa nn asimuelimishe baba yake? anamuacha na kanundu tu..!!
 
Walaamu hao viongozi wa msikiti walio kubali mwili usaliwe humo na si CHADEMA kama unavyo taka kutuaminisha
unajua hapa swala la kuwekwa siku nyingi huku wakingoja maziko ya kitaifa. sidhani kama kulikuwa na hoja ya msingi kuweka mweili wa mtu ambae imani yake inamkataza kukaa siku nyingi kabla ya kuzikwa? jee wangalizika hiyo baadae yakaja maombelezi ya kitaifa pangalikuwa na kosa?
 
tusicheze na imani za dini, naamini chadema wamekosea, inaweza ikaomba radhi

Umejitahidi kujibu hoja licha ya kushambuliwa, tatizo la sisi watu weusi hatutaki hasa watanzania kujielimisha na kuelewa mila za upanda mwingine. The only stuff we know is how to insult and humiliate the other side. I know they do the same in Israel, when Jews die they bury them right away, regardless if its natural death or war and bombing.
 
bado hujajibu hoja, cuf walikufa ktk mapambano ya polisi, nakumbuka hata mauji ya mwembechai ni hivyo hivyo sawa na haya ya arusha. lkn huko kote yalifanyika haraka tofauti na arusha.
 
Peleka hili wao kwa maimamu wako!
 
Unamaanisha kuwa viongozi wengi wa kiislam hawajui kanuni za kiislam mpaka wakaruhusu shujaa aingizwe msikitini, kwa wakiristo kama mtu hajabatizwa haingizwi kabisa kanisani.
 
kweli wewe unashangaza, umeshasema dharua, hii nayo ni dharura na kijana aliyefariki ilkuwa ni muhimu kugwa kishujaa, kwani Omar Ali Juma alikaa siku ngapi? sasa nimeelewa nia yako ni kutaka kuonesha Chadema hawajui maadili ya kiislam. umenoa kwa taarifa yako CHADEMA ni chama cha siasa sio taasisi ya dini.
 
unajua watu wanadhani chadema ni malaika. kila kitu wapo ok. hata wakimsalia maiti ya kikiristo msikitini na ya muislam kanisani hapa jf wataonekana sio tatizo
 
haya basi wamekosea toa adhabu basii...
 
sote tunajua ni taasisi ya kisiasa. lkn linapokuja swala la imani huwa hatuangalii siasa. hata viongozi wetu wakuu wakifa jukumu la nchi pale huondoka na hupewa familia. ndio maana hata dk Omar Juma alizikwa Pemba sio Dar kama inaglikuwa imani ya gov anaglizikwa Kisutu.
 
Unamaanisha kuwa viongozi wengi wa kiislam hawajui kanuni za kiislam mpaka wakaruhusu shujaa aingizwe msikitini, kwa wakiristo kama mtu hajabatizwa haingizwi kabisa kanisani.
kama shujaa hata marehemu karume hakukaa 1 week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…