Hizi ndizo swali najiuliza. Kwa mijibu wa sheria hii lazima wakaguliwe na mkaguzi alie teuliwa na CAG. Kama wanajikagua wenyewe hakuna uhakika wowote. Sio kwamba nawadhania vibaya, ila one never knows. Na ndio maana sheria inataka wapangiwe mkaguzi.
Haya tukija swali la pili nalo, hizo hesabu zilipokewaje na msajili? Je msajili alizipokea kama just for his information au alizipokea kama audited report?
Narudia tena: kwa mujibu wa sheria ya vyama Chadema haijakaguliwa.
Outdated single.Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai. Lengo kuu la Chadema ni kupata fursa ya kushika dola ili watafune mali ya umma.
Magamba wamekaguliwa?Hamjakaguliwa. Hiyo ni FACT. Full Stop.
Sasa wewe mvunjaungo Mwali, kama CAG hajakagua hivyo vitabu vya hesabu vya CHADEMA kosa ni la nani hapo.Ndio nimesoma magazetini ila swali langu ni: ukaguzi huo uliendeshwa na nani? Maana mkaguzi ni CAG na anasema hajakagua chama hata kimoja. Inamaana ni internal audit na sio audit inayo pendekezwa na art 14. Au?
Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...
Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua? Chadema wanafanya kazi kwa mazoea. Sheria ya zamani ndio inasema chama kitapeleka kwa msajili wakati sheria ya sasa inasema CAG kwanza kisha msajili.
Turejee sequence ya ukaguzi wa pesa za ruzuku:
-Kwanza mkaguzi wa chadema kathibitishwa na CAG? Ni nani mkaguzi huyu? Hayupo.
-Pili, sheria inasema Msajili anapelekewa audited accounts. CAG is the auditor. CHADEMA is the auditee. How comes chadema wapeleke kwa msajili wakati CAG hajawapa mkaguzi.
Kwa hiyo barua walio peleka kwa msajili ni sawa na barua yoyote tu, sio audited account inayo takiwa kwa mujibu wa kanuni. Wanaweza kujiandikia chochote tu humo. Hiyo barua haina thamani kwa mujibu wa sheria hii, ila wanaweza kuitumia internally ndani ya chama wakitaka, au wanaweza kuzitumia magazetini na social media.
But a fact is a fact: Chadema hawajakaguliwa. Hizi taarifa za Chadema zina chumvi na sukari. Ila chumvi ndio nyingi... au mimi sijui kidhungu???
Kaka yangu mimi na wewe tunafuatilia huu mjadala online. Hadi sasa nilicho soma ni kwamba:
1. Sijui kuhusu msajili ila CAG ndie anatakiwa kufikisha audited report na CAG anasema hajakagua chama chochote. Kwa hiyo ripoti zilizo (au zisizo) kwa msajili ni barua za kawaida tu fyi ila sio ripoti za ukaguzi
2. Tunamsubiri msajili. Si unajua tena mambo ya soap opera wanakata pale panapo noga. Usikose toleo lijalo
3. Refer to point 2 hapa juu
4. Anasema hakufanya hivo sababu hana budget. Na hana budget sababu haikupitishwa bungeni. Na haikupitishwa bungeni kwa sababu tusizo zijua. Could it be because wabunge are elected kwa kutumia pesa za ruzuku??? Na hao hao wabunge ndio wanao takiwa kuvote the budget for the audits? Tafakari kaka yangu
5. Kamati ya PAC inawasiliana na CAG kujua what was audited maana CAG ndio anae fanya audit. Chochote
kilichopo kwa msajili ni nil kama hakikupita kwa CAG na CAG anasema hajakagua chama HATA KIMOJA (but kuna vyama vimepiga hatua ya kwanza which is internal audit).
Bila kuuliza maswali haya wengi watadhani everything is running smoothly. Ni lazima maswali yaulizwe na tujue nani anaunga mkono audit na nani anapinga.
Mwita Maranya haya mambo waachie wataalamu wewe nenda mtaa Ufipa ukahesabu misukule iliyosaini leo katika kitabu cha mahudhurio
Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...
Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua? Chadema wanafanya kazi kwa mazoea. Sheria ya zamani ndio inasema chama kitapeleka kwa msajili wakati sheria ya sasa inasema CAG kwanza kisha msajili.
Turejee sequence ya ukaguzi wa pesa za ruzuku:
-Kwanza mkaguzi wa chadema kathibitishwa na CAG? Ni nani mkaguzi huyu? Hayupo.
-Pili, sheria inasema Msajili anapelekewa audited accounts. CAG is the auditor. CHADEMA is the auditee. How comes chadema wapeleke kwa msajili wakati CAG hajawapa mkaguzi.
Kwa hiyo barua walio peleka kwa msajili ni sawa na barua yoyote tu, sio audited account inayo takiwa kwa mujibu wa kanuni. Wanaweza kujiandikia chochote tu humo. Hiyo barua haina thamani kwa mujibu wa sheria hii, ila wanaweza kuitumia internally ndani ya chama wakitaka, au wanaweza kuzitumia magazetini na social media.
But a fact is a fact: Chadema hawajakaguliwa. Hizi taarifa za Chadema zina chumvi na sukari. Ila chumvi ndio nyingi... au mimi sijui kidhungu???
Magamba wamekaguliwa?
Je hizo hesabu zao hata kwa msajili wamepeleka?
Jibu hayo maswali kabla.....
Kazi ya vyama vya siasa inaisha pale hesabu zao zinaeasilishwa kwa msajili,jambo ambalo CDM eamrshalifanya,kinachofuata ni msajili kueasiliana na CAG kwa ajili ya ukaguzi,ndio maana Komu alitaja Ref.No za barua za mawasiliano waliyokuwa wakifanya.Lkn pia hatuwezi kuwadharau ma-auditor wa kujitegemea wakati ni serikali hii hii ndio inawasajili.na mwisho,aulizwe CAG kwa nini hakukagua kwa muda wote huo?
Issue ni kwamba utakagua vipi michango wakati hufahamu ilikusanywa kiasi gani?!! Sasa kama hufahamu mapato ni kiasi gani, utakagua vipi hata kama una wewe ni GWIJI wa Ukaguzi wa Hesabu? Kuna receipts zinazotolewa kwenye mikutano ya kisiasa pale wanachama na mashabiki wanapochangia vyama vyao?...samahani, mimi nilidhani wanaokagua wamesomea kazi yao? una maana wakaguzi ni aina ya NasDaz?
...sasa si wakague ndio watueleze hayo unayoyasema? kwa hiyo unataka ruzuku zote zisikaguliwe kwa sababu michango haina receipts? wataalam wanajua jinsi ya kuriport vitu visivyo na receipts na watatoa recommendations zao what to do in future.Issue ni kwamba utakagua vipi michango wakati hufahamu ilikusanywa kiasi gani?!! Sasa kama hufahamu mapato ni kiasi gani, utakagua vipi hata kama una wewe ni GWIJI wa Ukaguzi wa Hesabu? Kuna receipts zinazotolewa kwenye mikutano ya kisiasa pale wanachama na mashabiki wanapochangia vyama vyao?