...Umeangalia taarifa ya habari ya ITV jana usiku? CHADEMA wamesema CAG asiishie kwenye hela za ruzuku akague pesa zote! I hope UMEELEWA SASA msimamo wa CHADEMA.
The topic under discussion sio kukaguliwa bali kukaguliwa na kuwa endorsed na CAG; PEERIOD! Je, vyama vilivyotajwa vimekukaguliwa na kuwa approved na CAG? Tuanzie hapo kwanza.Hesabu za mwaka wa fedha zilizokaguliwa za miaka yote ya nyuma na 2009/2010, 2010/2011 na 2011/2012 zilishawasilishwa kwa msajili wa vyama vya siasa.
Hapo kwenye RED ni porojo za kisiasa...danganyaneni wenyewe kwa wenyewe. Na pesa zote zipi? Including ile michango ya papo kwa papo kama ile through M4C? Wewe binafsi unafahamu huwa zinakusanywa kiasi gani? Utafahamu vipi matumizi kabla hujafahamu mapato?...Umeangalia taarifa ya habari ya ITV jana usiku? CHADEMA wamesema CAG asiishie kwenye hela za ruzuku akague pesa zote! I hope UMEELEWA SASA msimamo wa CHADEMA.
Khaa, wewe!! Ulikuwa hujashituka tu?Kinachonikera ni wale wanaojifanya siku zote wana uchungu na nchi na huchukia UFISADI wa fedha za UMMA wako mstari wa mbele kuhalalisha uharamia huu wa vyama vya siasa! Huu ni unafiki, undumilakuwili na upuuzi first class!
Kwa maana nyingine hawa ndugu wanamaanisha kuwa ufisadi ukifanywa na CHADEMA ni sawa!
Ningependa utudadavulie kukaguliwa maana yake nini kwa mapana sharia za matumizi ya fedha kwa taasisi au kampuni vikiwemo vyama ni kuwa na mahesabu yaliyokaguliwa , na Kama kuna vyama ambavyo vilitafuta maoditor walioaudit kazi mahesabu yao, hawa nao tunawatuhumu kwa lipi labda tunaweza kusema kwa nini CAG hakuweka muhuli kwenye mahesabu yao, lakini CAG hakuwa na nyenzo za kufanyia kazi, hapo wa kulaumiwa itakuwa chama husika au wote CAG,Msajili na VyamaSi nimeanza kwa kuwapongeza kwa kua tayari? Ila lazima tuseme tu ukweli, kukaguliwa hawajakaguliwa. CAG Hajafanya kazi yake, sio kosa la vyama. But isiwe sababu ya byama kupiga kifua na kusema "sisi tumekaguliwa" wakati bado hawajakaguliwa.
Sasa waunge mkono harakati ya vyama kukaguliwa ili tujue 64bln zi.eenda wapi na kwanini
Kama ulikuwepo vile kuna madundu mengi ndani ya chadema kuhusu pesa lakini wenye chama ndiyo wanacheza hizo mishe zito kawekwa kando kwa hiyo kaamua liwalo na liwe kamwaga mboga ngoja tusubiri nani atamwaga ugari.Kwenye thread nyingine kuna mtu (jina kapuni) alisema kua Zitto kakosea maana ikiwa Chadema watakutwa na makosa basi na yeye ataumia maana hakuna Zitto bila chadema. This thinking shows how people are selective in the way integrity should apply. Kwa mujibu ya kauli hii Zitto anatakiwa kwanza ku-assess impact ya integrity kwa chama chake before he requires all parties to be accountable. Ikiwa kuna uchafu chini ya zulia lao basi aufyete kama alivo ufyeta mwenyekiti alie mtangulia.
Ni kweli chadema hawajakaguliwa lazima watueleze wanavyotumia hizo pesa za ruzuku.
Sio msimamo wa chadema. Ndio sheria inasema hivo na Mwanaukweli amesha tufafanulia. Sema chadema wameamua kuunga mkono sheria. Bahati mbaya sikuona hiyo taarifa huku hakuna umeme. Kama walisema hivo basi my assumption kua hawajui sheria is correct maana hawawezi kupendekeza kitu ambacho tayari ni sheria na kusema eti ndio mapendekezo ya chama. Si waseme tu kua chama kinapendekeza sheria iwe applied. Nani alisema hapo itv? Soma sheria kwanza:
18A. Notwithstanding the provisions of sections 14 and 18, every political party receiving subvention in accordance with this Act shall, not later than 3151 October every year, submit to the Registrar financial statements and audited accounts reflecting any other source of funds and details regarding the manner in which such funds were used. (became law in 2009)
Kwenye thread nyingine kuna mtu (jina kapuni) alisema kua Zitto kakosea maana ikiwa Chadema watakutwa na makosa basi na yeye ataumia maana hakuna Zitto bila chadema. This thinking shows how people are selective in the way integrity should apply. Kwa mujibu ya kauli hii Zitto anatakiwa kwanza ku-assess impact ya integrity kwa chama chake before he requires all parties to be accountable. Ikiwa kuna uchafu chini ya zulia lao basi aufyete kama alivo ufyeta mwenyekiti alie mtangulia.
Kama ulikuwepo vile kuna madundu mengi ndani ya chadema kuhusu pesa lakini wenye chama ndiyo wanacheza hizo mishe zito kawekwa kando kwa hiyo kaamua liwalo na liwe kamwaga mboga ngoja tusubiri nani atamwaga ugari.
Kila mtu anajua Zitto ni show off anapenda kushow face kwenye mambo ambayo wakati mwingine yamemgeuka na kumdharilisha rejea mifuko ya hifadhi kawa kimya kama nzi sasa , fedha za uswisi kimya, je kwamba linaweza, Kumpa credit yeyote ya kisiasa probably, Lakini kwa sababu yumo kwenye hiyo kamati kwa kipindi kirefu japo hakuwa mwenyekiti lakini haku influence Kamati ya POAC basi na yeye analolakujibu sasa sijui yeye ataitwa na chombo gani achunguzwe: kamati yake haijitengi na ukweli kwamba waliufyata, na wataufyata , chezea CCM wewe: Kwa hili la mahesabu anaonekana kujichanganya kwa sababu ameonekana yuko biased na ametarget chama chake kwa kusema kuwa yeye hayupi kutetea chama chake bali nchi yana toka wapi hayo angekuwa kwa nchi asingethubutu kutaja chama chake popote angetaja vyama vyote kama vinavyopokea ruzuku lakini hili la kujionyesha kwamba anakifix chama chake kwanza kwa ghiriba ya kutumwa halitamsaidia, Nia ya kulazimisha ukakuguzi kwa vyama vyote ni la muhimu lakini maudhui ya ujumbe anavyoutoa mwenyekiti unaonyesha anajenga mazingira ya kuonyesha chama chake hakifuati taratibu, sasa hivi kuna kauli mbili tayari chama chake wanaonyesha na nyaraka kwamba tulipeleka kwa msajili yeye anasema hawakupeleka na barua wamejiandikia sasa huoni yupo pale kushusha hadhi ya chama chake kwa sababu anathibitishia umma kwamba anachoongea mkurugenzi wa fedha wa chadema ni mwongo
muhusika mkuu yupo hapa, ila hathubutu kutia neno kwa sababu anajua makosa yake.
Slaa ni mwanasiasa mlaghai...
Kama inaelekeza kisheria kuwa CAG ndiye mwenye mamlaka ya kufanya ukaguzi kwanini hakufanya hivyo? je, CHADEMA walikataa wasikaguliwe na CAG?
Mimi nadhani kuna upotoshaji, na kuna mpango wa kuhamisha mawazo ya watu makusudi kutoka kwenye kujadili Mswada wa Katiba mpya, badala yake tunajadili jambo ambalo kama sheria iko wazi linaweza kufanyika.
Kimsingi hakuna chama ambacho kimekataa kukaguliwa, vyama vyote wanahoji inakuwaje vyama vijikague vyenyewe? Kama utaratibu utawekwa wazi siyo ccm wala chadema, vyote vitakaguliwa kwa mujibu wa sheria za ukaguzi.
Kama inaelekeza kisheria kuwa CAG ndiye mwenye mamlaka ya kufanya ukaguzi kwanini hakufanya hivyo? je, CHADEMA walikataa wasikaguliwe na CAG?
Mimi nadhani kuna upotoshaji, na kuna mpango wa kuhamisha mawazo ya watu makusudi kutoka kwenye kujadili Mswada wa Katiba mpya, badala yake tunajadili jambo ambalo kama sheria iko wazi linaweza kufanyika.
Kimsingi hakuna chama ambacho kimekataa kukaguliwa, vyama vyote wanahoji inakuwaje vyama vijikague vyenyewe? Kama utaratibu utawekwa wazi siyo ccm wala chadema, vyote vitakaguliwa kwa mujibu wa sheria za ukaguzi.
Interesting naona unajitahidi kuonesha ur true colours. Why Chadema na siyo vyama vyote vinavyopewa ruzuku? Hypocrisy.