...Umeangalia taarifa ya habari ya ITV jana usiku? CHADEMA wamesema CAG asiishie kwenye hela za ruzuku akague pesa zote! I hope UMEELEWA SASA msimamo wa CHADEMA.Mi sijasema kua kosa ni la chadema. Nimesema tu Chadema haijakaguliwa. Kaka wewe ni msomi naomba urejee kipengele #14 na unambie kama chadema walifuata hiyo sequence.
Tatizo ni kua over defensive, people end up missing on opportunities. Chadema ipo ahead of all other parties in this matter, but wamekwama katika kujitetea kua wamekaguliwa. Wakubali tu kua hawajakaguliwa ila wanaomba ukaguzi uje haraka kwao na kwa vyama vingine. Then wapeleke hii agenda bungeni. Kwani kuna ubaya gani kufanya hivo?
14. -(1)-Every political party which has been fully registered shall-a) maintain proper accounts of the funds and property of the party;-b)-submit to the Registrar-(i) an annual statement of the account of the political party-audited by the Controller and Auditor-General-and the report of the account. (This became law in March, 2009)ii) an annual declaration of all the property owned by the party.(2) The Registrar, after inspecting any accounts or report submitted pursuant to this section may, for the benefit of the members or the public, publish any matter relation to the funds, resources or property of any party or the use of such funds, resources or property.(3)-The Registrar shall publish in the official Gazette, an annual report on the audited accounts of every party.
Mwali kama nakuelewa vizuri unamaanisha kwamba kama Chadema hawajakaguliwa na CAG basi audit youote iliyofanyika kwa wao wenywwe kuhire auditor ni sawa na kutokukaguliwa?
Point ni kwamba msajili anataka vyama vikague kwa kutumia gharama zao na vyama havitaki kwa kua sheria inatka CAG ndo akague. sasa hapa tujiulize je msajili anavyoeenda kukagua halmashauri za wilaya au mashirika ya Umma nani analipia gharama za ukaguzi?Kama CAG ameshindwa kukagua sioni tatizo kwa Chadema kuamua kuchagua Auditor ili kukaguliwa maana hiyo haizui CAG kukagua pale atakapotaka.
Ukaguzi unafaida kwa taasisi yoyote na CAG asipokagua mkaamua pia kutotaka kujua status yenu halisi hilo nalo ni tatizo.Lakini kimsingi Msajili anapaswa kupokea Financial Statement zilizokaguliwa na CAG.
Kinachonikera ni wale wanaojifanya siku zote wana uchungu na nchi na huchukia UFISADI wa fedha za UMMA wako mstari wa mbele kuhalalisha uharamia huu wa vyama vya siasa! Huu ni unafiki, undumilakuwili na upuuzi first class!
bado hapo barua haijaeleza ni ukaguzi wa mwaka upi ndo walipeleka, kama unacho hicho kipengele hebu kiweke haya mahesabu yaliokaguliwa ni ya mwaka upi? maana unaweza kuta labda ni ya mwaka 2008 hiyo reportKwa mujibu wa barua ya Msajili wa Vyama yenye kumb. Na CDA.112/123/01a/37 ya Septemba 4, 2012, iliyopelekwa kwa makatibu wakuu wa vyama vyote vya siasa:
1. Vyama vilivyowasilisha hesabu zilizokaguliwa kwake kuwa ni CHADEMA na NCCR-Mageuzi tu.
2. CUF waliwasilisha hesabu kwa msajili bila kukaguliwa.
3. CCM, TLP, APPT- Maendeleo, UDP na DP havikuwasilisha hesabu zao kabisa.
Mwali unazifahamu hizi facts? Any comments.
Point ni kwamba msajili anataka vyama vikague kwa kutumia gharama zao na vyama havitaki kwa kua sheria inatka CAG ndo akague. sasa hapa tujiulize je msajili anavyoeenda kukagua halmashauri za wilaya au mashirika ya Umma nani analipia gharama za ukaguzi?
Hesabu za mwaka wa fedha zilizokaguliwa za miaka yote ya nyuma na 2009/2010, 2010/2011 na 2011/2012 zilishawasilishwa kwa msajili wa vyama vya siasa.bado hapo barua haijaeleza ni ukaguzi wa mwaka upi ndo walipeleka, kama unacho hicho kipengele hebu kiweke haya mahesabu yaliokaguliwa ni ya mwaka upi? maana unaweza kuta labda ni ya mwaka 2008 hiyo report
Daktari wa binadamu anayeshinda mitandaoni ndie mlaghai mkubwa.Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai. Lengo kuu la Chadema ni kupata fursa ya kushika dola ili watafune mali ya umma.
There are currently 125 users browsing this thread. (29 members and 96 guests)
Kwa mujibu wa barua ya Msajili wa Vyama yenye kumb. Na CDA.112/123/01a/37 ya Septemba 4, 2012, iliyopelekwa kwa makatibu wakuu wa vyama vyote vya siasa:
1. Vyama vilivyowasilisha hesabu zilizokaguliwa kwake kuwa ni CHADEMA na NCCR-Mageuzi tu.
2. CUF waliwasilisha hesabu kwa msajili bila kukaguliwa.
3. CCM, TLP, APPT- Maendeleo, UDP na DP havikuwasilisha hesabu zao kabisa.
Mwali unazifahamu hizi facts? Any comments.
Muhusika mkuu yupo hapa, ila hathubutu kutia neno kwa sababu anajua makosa yake.
Slaa ni mwanasiasa mlaghai...
Mlaghai or not, lakini Dr Slaa amekuwa na ujasiri kuwa hapa jamvini na hata kutoa michango. Ingekuwa vema kama mataktibu wa vyama vingine vya siasa wangefanya hivyo, starting with ndugu Kinana, au vipi?
Kinachonikera ni wale wanaojifanya siku zote wana uchungu na nchi na huchukia UFISADI wa fedha za UMMA wako mstari wa mbele kuhalalisha uharamia huu wa vyama vya siasa! Huu ni unafiki, undumilakuwili na upuuzi first class!
Ndio nimesoma magazetini ila swali langu ni: ukaguzi huo uliendeshwa na nani? Maana mkaguzi ni CAG na anasema hajakagua chama hata kimoja. Inamaana ni internal audit na sio audit inayo pendekezwa na art 14. Au?
Daktari wa binadamu anayeshinda mitandaoni ndie mlaghai mkubwa.