Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Nadhani haya ndio masuala ya msingi. Kwa nini CAG hajakagua mahesabu hayo wakati yapo? Kanuni zinasemaje kama CAG hajakagua/ameshindwa kukagua? Chama ambacho mahesabu yake yanatakiwa kukaguliwa, kinatakiwa kufanya nini (kwa mujibu wa kanuni) endapo CAG ameshindwa kukagua mahesabu yake kwa wakati? Kwa mujibu wa kanuni, ni muda gani CAG amepewa kukagua mahesabu na kutoa report yake?
Mwanaccm Mwali naona unachanganya soasa za majitaka na ukweli.
Kama unatambua kuwa CAG ndiye anapaswa kuvikagua vyama vya siasa for this case Chadema, Una taarifa yoyote kwamba alimtuma mkaguzi toka ofisini kwake AMA alimteua mkaguzi(outsource) lakini Chadema wakakataa jumps ushirikiano?
Kama wamewwka wazi ripoti Yao ya fedha hats kama haijakaguliwa na CAG kwanini CAG labda na msajili wasianzie halo na kuonyesha mapungufu kama yapo?
Mwali hivi unafikiri unaweza kuinasua ccm na kadhia hii kwa kujaribu kuipaka matope Chadema? Na wananchi wanataka CAG akague fedha tote asioshie kukagua ruzuku peke take, na kwahakika ndivyo sheria ya vyama vya siasa inavyotaka less yoyote inayopokelewa na chama cha siasa lazima ikaguliwe.
Hahahaha kaka Mwita mbona unanidhania vibaya? CCM wakikosea hua nasema pia, ila kwa vile wewe na kaka yangu Matola mnasauti kubwa zaidi nawaachia jukwaa nikiamini ujumbe utawafikia.
Mi sijaleta hii thread kwa kuipaka chadema matope. Wakiwa wachafu nitasema, ila leo sio wachafu. Leo Chadema imetumia nusu umweli na kutaka kuufanya kua ukweli kamili.
Ukweli ni kwamba wamepiga hatua ya kwanza ya ukaguzi ila bado hatua nyingi. Nilitaka kuflag haya, halafu kwa pamoja tujiulize yepi yafanyike.
Ona great thinkers kina SMU na King'asti wameuliza maswali endelevu kabisa, bila ushabiki wowote.
Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...
Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua? Chadema wanafanya kazi kwa mazoea. Sheria ya zamani ndio inasema chama kitapeleka kwa msajili wakati sheria ya sasa inasema CAG kwanza kisha msajili.
Turejee sequence ya ukaguzi wa pesa za ruzuku:
-Kwanza mkaguzi wa chadema kathibitishwa na CAG? Ni nani mkaguzi huyu? Hayupo.
-Pili, sheria inasema Msajili anapelekewa audited accounts. CAG is the auditor. CHADEMA is the auditee. How comes chadema wapeleke kwa msajili wakati CAG hajawapa mkaguzi.
Kwa hiyo barua walio peleka kwa msajili ni sawa na barua yoyote tu, sio audited account inayo takiwa kwa mujibu wa kanuni. Wanaweza kujiandikia chochote tu humo. Hiyo barua haina thamani kwa mujibu wa sheria hii, ila wanaweza kuitumia internally ndani ya chama wakitaka, au wanaweza kuzitumia magazetini na social media.
But a fact is a fact: Chadema hawajakaguliwa. Hizi taarifa za Chadema zina chumvi na sukari. Ila chumvi ndio nyingi... au mimi sijui kidhungu???
Wapi CDM wamesema kua wamekaguliwa na CAG? mbona unapindisha mambo? Walichosema ni kua wao hesabu zao zipo vizuri sijasikia popote pale wamesema wamekaguliwa na kwa kufuata sheria, nilichomsikia komu jana ni kua CAG alitaka chadema watumie mkaguzi mwingine kwa gharama zao na CDM hawataki hii kitu kwa kua sheria inasema kua CAG ndo anatakiwa akague, kwa hiyo KOMU akasema toka wakati huo hawajakaguliwa na CAG ila awanatumia wakaguzi wao wa ndani kufanya ukaguzi.Ccm ndio kabisaaaaa, hata internal audit sijui kama ipo.
Mi sijasema kua kosa la kukaguliwa au kutokaguliwa ni la chadema. Ila ninachosema ni kwamba chadema wasiseme wamekaguliwa wakati hawajakaguliwa. Waseme kua wako tayari kw ukaguzi wakati wowote.
Taarifa wanazo leta kukanusha kauli ya kutokaguliwa zinazidi kuoneaha namna ambavyo hawajakaguliwa.
Mwali,
Hoja yako inazua maswali kadhaa:
1. Msajili wa vyama vya siasa alishapokea hesabu za chama chochote cha siasa, kipi na lini?
2. Both CCM na CHADEMA wamejibu kupitia media, yeye Msajili anasema nini kuhusu mahesabu ya hivi vyama viwili, na hasa CHADEMA ambao wametoa reference ya barua waliyowasilisha?
3. Kama Msajili anatakiwa kupokea 'audited' report, ilikuwaje akakubali kupokea (according to what you wrote) 'un-audited' report? Na alifanya nini alipogundua kuwa mahesabu hayajawa audited?
4. Na kama CAG anatakiwa ku-audit mahesabu ya vyama vya siasa vinavyopata ruzuku, ni kwanini hajafanya hivyo, na nani alumiwe?
5. Zitto na kamati yake walishawasiliana na ofisi ya msajili kujua ni kitu gani kimewasilishwa huko, lini na katika hali gani (kama mahesabu yako audited au la)?
Tatizo ni kua over defensive, people end up missing on opportunities. Chadema ipo ahead of all other parties in this matter, but wamekwama katika kujitetea kua wamekaguliwa. Wakubali tu kua hawajakaguliwa ila wanaomba ukaguzi uje haraka kwao na kwa vyama vingine. Then wapeleke hii agenda bungeni. Kwani kuna ubaya gani kufanya hivo?
Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...
Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua? Chadema wanafanya kazi kwa mazoea. Sheria ya zamani ndio inasema chama kitapeleka kwa msajili wakati sheria ya sasa inasema CAG kwanza kisha msajili.
Turejee sequence ya ukaguzi wa pesa za ruzuku:
-Kwanza mkaguzi wa chadema kathibitishwa na CAG? Ni nani mkaguzi huyu? Hayupo.
-Pili, sheria inasema Msajili anapelekewa audited accounts. CAG is the auditor. CHADEMA is the auditee. How comes chadema wapeleke kwa msajili wakati CAG hajawapa mkaguzi.
Kwa hiyo barua walio peleka kwa msajili ni sawa na barua yoyote tu, sio audited account inayo takiwa kwa mujibu wa kanuni. Wanaweza kujiandikia chochote tu humo. Hiyo barua haina thamani kwa mujibu wa sheria hii, ila wanaweza kuitumia internally ndani ya chama wakitaka, au wanaweza kuzitumia magazetini na social media.
But a fact is a fact: Chadema hawajakaguliwa. Hizi taarifa za Chadema zina chumvi na sukari. Ila chumvi ndio nyingi... au mimi sijui kidhungu???
Mkuu hapa jinsi hoja ilivyoletwa ni kweli kua tunahitaji kujua pesa zetu walipa kodi zinatumika vipi lakini mi naona kama tunazunguka tu hapa, Zitto alikua anajua kabisa kua vyama havikaguliwi sasa nashindwa kuelwa kwa nini anakomalia vyama vifuate sheria bila kumkomalia CAG nae afuate sheria? Sheria inamtakaa CAG akague mahesabu ya vyama na sheria inawataka vyama vya siasa kupeleka mahesabu yaliokaguliwa kwa msajili wa vyama. kwa nini kelele zinapigwa kwa vyama kutopeleka mahesabu badala ya kupiga kelele kwa nini CAG hakagui hayo mahesabu? kama hakuna Siasa hapa kuna nini? hebu liangalie hili?Naunga mkono harakati za zitto juu ya hiyo sheria
Naunga mkono sababu wananchi wataenda kujua mapato na matumizi ya kila chama, rasilimali ilizonazo.
tuna mengi ya kuhoji baadaye, na pia tutapunguza maswali flani ya kipuuzi
CCM wana vyanzo vingi vya mapato, je binatumikaje?
Chadema wanapokea michango kupitia kampeni ya M4C, je? Zinatumikaje
uwiano wa mishahara ya viongozi wa vyama, na je kwa nini huyu analipwa hivi na kwa nini yule haipwi vile
Naiona hoja ya msingi isiyohitaji ushabiki, kama tulivyoungana kuipigania katiba kwa maslahi ya wananchi, inatupasa tuungane kujua hizi bilions za ruzuku na mapato mengineyo ya chama yanaingiaje na yanatokaje
Thanks