watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.
Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.
Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.
Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.

Acha kupotosha kamanda Dr Slaa hajawahi kuoa.
hahahahahahaha nilijua tuu unavyo muogopa DR slaa lazima useme hivi!
Mimi pia nakubaliana kabisa na mleta mada,Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Hakuna wa kumuogopa. Bali kwa masilahi ya ujenzi wa demokrasia, si mtu sahihi kwa wakati kwa.sababu hana jipya bali anajifunza uongozi. Si mkweli kinyume na utashi wa wakati huu. Pia ni mpenda sifa na kwa sasa anadhani yeye ni zaidi Chadema kwa sababu tu, kwamba yeye ndiye mbeleko ya matumaini ya wakristo wanaoiunga mkono Chadema kama ilivyotokea 2010. Zaidi ya hilo hana jipya .
Hata mke kama anatoa siri za ndani basi anakuwa hafai tena inabidi umpe talakaKumtetea mtu anayesambaza siri za chama kwenye mitandao ni kutokuitakia mema chadema.
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.
Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.
Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.
Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
Hata mke kama anatoa siri za ndani basi anakuwa hafai tena inabidi umpe talaka

Hahaaa Ritz, you are not serious bana.Kirusi ndani chama.
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.