CHADEMA: Hatutashiriki Kongamano la Amani la TCD, limefadhiliwa na CCM!

Unajua wewe Simiyu ninakuhurumia kwakuwa hata hujitambui, unapelekwa pelekwa tu kama boya.
Asubuhi nimekusoma ukilalamika kwa dada yako mmoja kuwa kwa hizi siku chache ukizokuwa umepigwa ban hapa JF maisha yako yalikuwa magumu sana kwakuwa hukuwa unapata posho yako ya 7,000 ambayoi huwezi kuipata bila kuitumikia.

Sasa kweli unaweza kuthubutu kuninyoshea kidole katika mazingira kama hayo ambayo unafahamu kabisa bila hii ajira ya dharura ya lumumba project utarudia kazi yako ya awali ya kuokota chupa za plastic mjini na kwenda kuuza katika viwanda vya wahindi ilki ujipatie japo hela ya kununua mihogo hapo barabarani.
Bola mimi naokota makopo angalau najitegemea na kwa sasa tunaumoja wetu wa waokota makopo na mikopo tutaanza kupewa kama umoja unaotambulika.

Lakini mwenye akili timamu anajua wenye nacho hawajisifu wako kimywa,sasa wewe kufanya kazi za ndani kwa slaa na kuosha wanaye na kufua nguo za josephin ndiyo ishu au unadhani kuwa na mananii makubwa yanayochangiwa na kula mabaki pale kwa slaa ni ujanja.

Mimi wewe hunipi shida kwa watu mnaotumika kama wewe huwa hamnipi shida kabisa lakini mianzini uliipata fresh eeee.. Mpe hai mzee slaa mkuu,nakuomba muandae pempasi make mtatikiswa kweli mwaka huu kazi inaendelea.
 
chama cha vurugu na mauaji na maandamano na matamko na shari

Mlianza na Chama Cha wachaga; halafu wakaskazini; halafu wakristu; halafu magaidi. Single hazikununuliwa. Mmekuja na vurugu. Mauaji. Maandamano. Matamko. Shari. Lakini nikwambie nini dada yangu? CHADEMA ni kadi wala bendera wala kombati. CHADEMA ni IMANI. Ni matazamio. Ukimuuliza Dkt. Slaa kwa PM, atakusaidia maana halisi ya Advent enzi zile za miaka elfu mbili iliyopita, na uhusiano wake na Tanzania ya sasa. Kwamba, wananchi wamechoshwa na hila la giliba za maCCM na hivyo, kwako, UKOMBOZI na MATAZAMIO ya maisha mapya, ni uwepo wa CHADEMA. Kwao ndiyo mkombozi utakaowaepusha na watawala dhalimu wa 'kirumi'. Kwao ndiyo mkombozi wa kuwashindia watawala dhalimu kama akina Nebukadneza.

Watanzania hawataki tena utawala huo dhalimu. Watajilia mkombozi (CHADEMA) ili awatoe katika taabu na shida. Na wanamsubiri kumpokea kwa hamu huyo mkombozi 2015 ili aweze kuleta AMANI, UTU, HAKI, USAWA...

CHADEMA IKO NDANI KABISA YA MIOYO YETU.
 
Pamoja sana .......................zama za unafiki sio hizi........yaani mnazungumzia makongamano wkt tume nyingi tu tena za kitaalam zimewahi kuundwa na zikaleta taarifa mbalimbali lkn serikali hii dharimu hua haitaki kuzitekelez. mi nataka kujua " kuna sheria yoyote inayoilazimisha serikali hii chafu itekeleze mapendekezo ya kongamano?" au ni mambo ya posho tu......Sisi wapenda democrasia tungependa kwanza mr dhaifu amkemee pinda tena hadharani kwa kutona matamshi ya kipumbavu mbele ya taifa...hapo sasa tunaweza kupata pa kuanzia
 
Naunga mkono Chadema kutoshiriki kongamano kwa 100% especially kwa kuwa Kikwete atashiriki pia. Rais wetu ameonyesha namna gani asiyo mhumini wa Amani ya nchi yetu. Tumeshuudia matukio mengi makubwa ambayo hatuna majibu ya Polisi ila yeye anaona ndo wakati wa kumtunukia kiongozi wa polisi nishani ya utumishi bora. Hii ina maana anakubaliana na yote yanayofanywa na polisi.
Mpaka Leo hatuna majibu ya
Nani alimuua padre Zanzibar
Nani alimvamia na kumtesa Dr Ulimboka
Nani alimvamia Padre Zanzibar
Nani alirusha bomu Kanisani Arusha
Nani alimuua Mwangosi
Nani alimvamia na kumpiga Kibanda
Nani alirusha bomu kwenye mkutano wa Chedema Arusha

Rais anashindwa kumuuliza IGP na kuhoji ufanisi wake katika kazi, badala yake anampa nishani. Hii ni nini kama siyo matusi kwa Watanzania?
Alafu Leo ni eti yeye ndo atafunga hiyo Kongamano. Wale wote wenye nia ya kweli ya amani ya nchi tunaona hii ni joke
 
Pili, Chadema haitashiriki mkutano huo kwa kuwa Amani haijadiliwi. Amani inatengenezwa na kuwapo kwa mazingira ya haki na usawa; na kwamba aliyebobea katika uvunjaji wa haki hizo, ni serikali yenyewe.
Katika mazingira haya, CHADEMA inaona hakuna umuhimu wa kushiriki kwenye mkutano ambao washiriki ni wale wale wanaotuhumiwa kuvunja haki za binadamu.
 
CHADEMA ni wanafiki wakubwa! lengo lao kuu ni kutumia huu mwaliko kama mtaji wa kisiasa kwa kudhani watarejesha na kukuza hadhi yao ambayo imeanza kudolola baada ya Mbowe kwenda kumpigia magoti Kikwete pale Ikulu kwenye dhifa ya serikali.

Ukweli utabaki pale pale kwamba kwa hilo la Mbowe kwenda Ikulu CDM haisafishiki. Kwani sababu zilizo elezwa hapo kwenye hii taarifa mlipaswa mueleze sababu hizi kwenye ujio wa Obama na kumshauri Mbowe asihudhurie hata kama mwaliko ulitumwa kwake kama KUB.

CHADEMA mpo uchi, msitape tape kujificha kwenye vichaka mkadhani itawasaidia.
 
Ukosefu wa ajira za kueleweka ndio umesababisha mkubali kuwa misukule ya lumumba kwa ujira wa buku saba tu per day. Hata hamjionei aibu kwa namna mnavyotumika?


Hayo ni maneno ya BAVICHA ili kuhalalisha upuuzi wenu.
 
Pinda ni product ya SHETANI ndiyo maana anafanya mambo ya kipumbavu kila wakati. Kung'oa watu kucha na meno yeye, kuua watu yeye, kupiga watu yeye!!!!!!!!

Weka Pinda mbali na binadamu!!
Shetani anamiguu mingapi kama aliyemleta pinda duniani ni shetani na wewe ni miongoni mkuu,bado mtapigwa tu na mimi nasema wapigeni tu.
 
maamuzi mazuri,laabda wenge weka kongamano liwe huru, na ukweli usemwe wazi, maana tuna jua nani anaharibu amani yetu. utaona wtakavojadili watazungukanga mbuyu kuahusu anaye kiuka haki za watanzania badala yake utasikia cdm. hatudanga nyiki hata tucio cdm tunajua nani analete mpasuko tz, magamba poleni sana. mtaisoma 2015 kwene mabox yale manayochkachuaga safari hii hatutakubali.
 
kwa hiyo chadema itajikita ktk mambo km haya??????????????????????
[h=3]MFUASI WA CCM AMWAGIWA TINDIKALI NA WAFUASI WA CHADEMA IGUNGA[/h]

[h=2][/h][h=3]
[/h]



Mfuasi wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wanaodaiwa kuwa ni wafausi wa CHADEMA, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kubandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam leo kwa gharama za CCM. Anayemtazama ni Daktari wa hospitali hiyo, Selemani Masinga. (Na Mpigapicha Wetu)





 
Amani haijadiliki,maana ilisha jadiliwa long na katiba na anae ivunja huyo awajibishwe chap.kama alivyosema bwana piga tu,anahamasisha kua hakuna haja ya mahakama,polisi,wala magereza,eti akikuudhi piga tu nae atakuepo ktk kujadili amani!! Kha kweli haya ndio ya el kwenda misikitini kwa kualikwa na mwanamke wa ccm
 
Arifu kuwa na dhamana na kuwa na milki ni vitu viwili tofauti. Kikwete amekabidhiwa dhamana kwa kipindi kifupi tu lakini mmiliki bado ni yule yule.

Ukifuatilia suala la dhamana hakuna yeyote anayemiliki chochote, which makes the entire question of dhamana moot.

Ukiangalia dhamana wenye nyumba wote Tanzania hawana nyumba, wamepewa dhamana ya kukaa hapo kwa miaka 33, 66, 99 na rais, ambaye na yeye amepewa dhamana ya kutoa dhamana na hao wananchi.

Kwa hiyo utazunguka in cycles.

Bora uondoe singularity ya dhamana on both sides of the equation, dhamana ya wananchi ina cancel out na dhamana aliyopewa rais.

Hivyo wananchi wenye nyumba waweze kusema "hii nyumba yangu" kwa sababu wamekodishwa kiwanja kwa miaka 33, 66 au 99, na Kikwete aweze kusema "mimi ni mmiliki wa Ikulu na Tanzania kwa jumla, kwa miaka 10".

Ukimkatalia Kikwete umiliki kwa sababu amepewa dhamana, umejikatalia wewe mwenyewe umiliki wako hata huo wa kukodi kwa miaka 33, 66, na 99, kwa sababu umeipata kwa dhamana yake, ambayo umempa mwenyewe, kama si wewe basi Watanzania collectively.

Tunarudi square one. As far as we are talking individuals, Kikwete is the one person with dhamana / umiliki wa Ikulu na ardhi yote ya Tanzania more than anybody else.

For the sake of argument I will remove the extension to Tanzania and focus on Ikulu.

Ukimkatalia Kikwete umiliki wa Ikulu ni sawa na kumkatalia mwenye nyumba umiliki wa nyumba yake eti kwa sababu Tanzania ardhi haimilikii na mtu binafsi, inakodishwa kwa miaka 33, 66 na 99 tu, na dhamana hii inaweza kuwa rescinded any time under eminent domain.
 
Shetani anamiguu mingapi kama aliyemleta pinda duniani ni shetani na wewe ni miongoni mkuu,bado mtapigwa tu na mimi nasema wapigeni tu.

Mungu ni mwenye huruma sana, na Kiongozi mwenye huruma hawezi kufanya mambo ya kipumbavu kama Pinda.
 
Naunga mkono Chadema kutoshiriki kongamano kwa 100% especially kwa kuwa Kikwete atashiriki pia. Rais wetu ameonyesha namna gani asiyo mhumini wa Amani ya nchi yetu. Tumeshuudia matukio mengi makubwa ambayo hatuna majibu ya Polisi ila yeye anaona ndo wakati wa kumtunukia kiongozi wa polisi nishani ya utumishi bora. Hii ina maana anakubaliana na yote yanayofanywa na polisi.
Mpaka Leo hatuna majibu ya
Nani alimuua padre Zanzibar
Nani alimvamia na kumtesa Dr Ulimboka
Nani alimvamia Padre Zanzibar
Nani alirusha bomu Kanisani Arusha
Nani alimuua Mwangosi
Nani alimvamia na kumpiga Kibanda
Nani alirusha bomu kwenye mkutano wa Chedema Arusha

Rais anashindwa kumuuliza IGP na kuhoji ufanisi wake katika kazi, badala yake anampa nishani. Hii ni nini kama siyo matusi kwa Watanzania?
Alafu Leo ni eti yeye ndo atafunga hiyo Kongamano. Wale wote wenye nia ya kweli ya amani ya nchi tunaona hii ni joke
Mkuu umesahau kifo cha marehemu chacha wangwe na waliotaka kumpa sumu zito.
 
Mods ondoeni uzi huu kwasababu hauna tija,kuna mwingine ila mleta maada ameanzisha ili kuharibu mjadala wa thread yenye tamko!
MKUU, NYIE MNATAKA HAYA?????????

[h=3]MFUASI WA CCM AMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA[/h]

[h=2][/h][h=3]
[/h]



Mfuasi wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wanaodaiwa kuwa ni wafausi wa CHADEMA, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kubandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam leo kwa gharama za CCM. Anayemtazama ni Daktari wa hospitali hiyo, Selemani Masinga. (Na Mpigapicha Wetu)





 
Amani haijadiliwi! Kweli Kigaila?
Inaweza kuwa kweli CCM kupitia TCD imefadhili huu mkutano. Lakini sidhani kama hiyo ni sababu ya kususia.
Chadema inasema ina ushahidi usio na shaka kuhusiana na jinsi serikali ya CCM inavyohusika kueneza chuki na magomvi. Naamini mkutano kama huu ambao CCM wangehudhuria ni fursa ya Chadema kuyasema haya mbele ya CCM huku watu wengi wakisikia na kuchangia.
Njia moja nzuri ya kumjua adui yako ni kumweleza ukweli mbele yake, si kujificha kipembeni na kuanza kumsema ubaya wake.
Naamini Chadema wanapoteza nafasi nzuri sana ya kufanya kile ambacho kingeweza kuonyesha chama hicho kinasimamia nini katika suala hili.
Vema, Chadema imemua kutoshiriki mkutano huu kwa sababu ilizozitoa. je, chenyewe sasa kinadhani nini kifanyike ili kuiridisha nchi katika amani iliyopotea au iliyo katika hatari ya kupotea?
Hicho wanachodhani kinapaswa kufanyika, je, hii haikuwa nafasi ncuwi ya kukisema tena mbele ya wale ambao wanapaswa kutenda ili kutunza amani ya nchi?
Ukweli gani ambao CCM haiujui?
 
Back
Top Bottom