CHADEMA hatarini kufutwa na kusambaratika kabisa

Matapishi ni matapishi ni matapishi kabisa haya..hayaliki wala kuangalika.
 
View attachment 3525091

Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.

Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.

John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
​
Chadema kimekatazwa kisifanye shughuli za kisiasa na mahakama unamlaumuje heche kwa kutokujenga chama

Mleta uzi ni kilaza haswa
 
View attachment 3525091

Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.

Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.

John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
​
Shida mnaichukulia CHADEMA juu juu sana, iyo chama ilisha kuwa imani, sawa na kuamuka leo ati niifute R.C.

Tuna watu wanakurupuka sana ndani ya Taifa hili wakijazwa kakindi kadogo kanakojinasibu kuteka ,kupambikia watu kesi , kuuwa ,huku kakihakishia waliopo juu kwamba wako salama sana na nchi inaendelea kutulia.

Mnajua madhara ya kufuta imani ya watu ambayo tiyari wameiweka moyoni? Kifuteni alafu tuone what next.
 
View attachment 3525091

Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.

Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.

John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
​
Kwa hii miaka ni ngumu sana kuwanasa watu wajinga wa kuwalisha mipropaganda, wajinga hawapo tena
Badrisheni aina ya siasa
 
View attachment 3525091

Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.

Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.

John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
​
Niliwasema CHADEMA katika nyuzi zangu kama mbili au tatu lakini baadhi ya watu hawakunielewa
Watakumbuka shuka asubuhi
CHADEMA hawafai kushauri
Itafika siku watamuona Lissu kama giza la CHADEMA
Pundamilia na pundamliaji wakishindana katika fani yao bobezi ya usutaji.
 
View attachment 3525091

Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.

Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.

John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
​
pumba
 
Ni hadi tuone unyakuo wa mama ndipo chadema itakufa
 
UV CCM mnakuwaga na akili za mharo sana,nchi hii Ina chama kimoja tu chadema,ccm nje ya police na vyombo vya dola ni weupe kuliko tissue paper,ndo maana bibi yenu yupo zen kujificha anakula kitimoto Cha pwezaaaaaa
 
Back
Top Bottom