CHADEMA: Hapajulikani Polisi walipomficha Freeman Mbowe

Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
Lila siku mnakuja na jipya,mara yuko polisi na hawataki apatiwe chakula na ndugu,mara hajulikani alipo, mara wanataka kumpa simu.....CDM badilikeni, hizi janjajanja zenu za kuamsha mijadala isiyo na mantiki hazitasaidia.
 
Mnataka kupeleka mahitaji gani wakati Makamu Mkiti amesema kama chama hawatafanya chochote wanawaachia polisi wafanye wanachotaka wao? Mbona mnapingana wenyewe kwa wenyewe?
 
Natamaniii viongozi wa upinzani waachane na Siasa nafikilia familia zao wanahuzuni kiasi gani.Wanachi wanyewe watakapo choka nadhani watachukua maamuzi mbadala.
 
Lila siku mnakuja na jipya,mara yuko polisi na hawataki apatiwe chakula na ndugu,mara hajulikani alipo, mara wanataka kumpa simu.....CDM badilikeni, hizi janjajanja zenu za kuamsha mijadala isiyo na mantiki hazitasaidia.
Umeelewa kweli kilichoandikwa?? Wewe ndiyo mtaji wa CCM kwa huo ujinga wako
 
Lila siku mnakuja na jipya,mara yuko polisi na hawataki apatiwe chakula na ndugu,mara hajulikani alipo, mara wanataka kumpa simu.....CDM badilikeni, hizi janjajanja zenu za kuamsha mijadala isiyo na mantiki hazitasaidia.
Bado sijakupata
 
Nenda ukabet wewe,acha mambo yako ya kiwaki.
 
Back
Top Bottom