CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
Kutengenezwa acha ujuha Angalia matamshi na mdomo wake. Si ya kutengenezwa
Kama una akili timamu jiulize ni nani aliyeiweka hii video wakati ule, Hii iliwekwa na Hugochaves na kama sikosei hata siku ya tukio la kushambuliwa Lissu mida ya usiku aliweka Thread ya ajabu sana ambayo Mod. waliiondoa mapema sana. Hivyo tambua kuwa matukio yote yanafanywa na nyinyi na kutengeneza viclip vya kijinga mkifikiri mtawaadaa watu.
 
Hapana bana mie wa siku nyingi humu siwezi kufanya kitu kama hicho. Ahsante sana kwa kunistua vinginevyo ningeendelea kupost picha ambazo hazihusiani na mada husika. AHSANTE SANA Mama Sabrina.
acha nicheke kwanza ,,
Haya kafute sasa
 
Reactions: BAK
Hizo ni biashara za Mwigulu na chama chake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…