Chadema hamna matatizo mengine, ukiacha Makonda?

Chadema hamna matatizo mengine, ukiacha Makonda?

Chadema kimekosa dira,kinakwenda na matukio.Wakilipata tukio wanapiga kelele weee,tena mitandaoni,likishachuja wanasubiri lingine.Tunaowajua chadema hawatupi tabu hapo ndio mwisho wao,hawawezi kufanya makubwa zaidi ya kupiga kelele mitandaoni
 
Back
Top Bottom