Chadema hamna matatizo mengine, ukiacha Makonda?

Na hatutamuacha mpaka aje kujibu maswali yafuatayo kama alivyoulizwa na Paskali Mayalla;
-Majina yake yote matatu
-Majina ya wazazi wake wote wawili
-Shule alizosoma-Msingi, Primary na Secondary
-Ufaulu wake kidato cha nne na cha sita
Ama kweli, nchi hii ni kama ya kusadikika. Maji hamna, barabara kwa Lwakatare yamekuwa mahandaki lakini bado hayo wala hata hayawahusu, wako busy na Makonda.

La Makonda likiisha watatafuta wimbo mwingine ilimradi siku zinaenda na wanapata posho zao
 
Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Kwani CCM hawana matatizo mengine isipokua CDM(Upinzani).
 
Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Ww kumjadili makonda unaona ni hasara kwa taifa, ina maana ww mtu anapoonyesha majigambo na kuchezea kataba na kutoheshimu sheria unaona ni jambo dogo sijui ww utakuwa na masilahi gani kumtetea mtu anayetaka kuhojiwa kwa dharau ya mihimili mingine ya serikali au hujui alichokitenda, kadharau bunge na mahakama yote hayo yaachwe tu! Jitambue usifanye ww ndo wakili wake kama imekuuma sana kamtetee huko mahakamani na bungeni!
 
"I wish AKUDU be igp" hana hana shughuli nyingine zaidi ya kushughulikia upinzani!
 
Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Unasema si tatizo
 
Sasa karibu mwezi mzima madawa ya kulevya, mabange yana fyekwa saaaaaanaaaa. Kila siku TV, magazetye ni mafanikio tu ya kuteketeza haya madudu.

Kwa mwendo huu wa kufukua haya madude kiukweli Makonda hatapendwa. Itabidi aandamwe saaaaaana tu, ili asipige vita maugoro ya madawa ya kilevya.
 
Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Na wewe huna lingine la kufikiria zaidi ya kuwaza chadema..??
Kuwaza na makalio nacho ni kipaji adimu, hilo tundu likipanuka ni cheche zinatoka!
 
Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Kwani wewe tatizo uliloliona ni hili tu la Makonda kwa nini usiandike tatizo lingine wakati kuna matatizo mengi tu.
 
Huyu naye..
LISSU alitaja tatizo la watanzania kufa njaa akafunguliwa mashtaka..
MBOWE alilia na mabilioni ya wahanga wa Kagera(bilioni 12) yaliyoyeyuka akaambiwa atetemeke na yeye..
CHADEMA wamejadili na kuhoji KWA NINI ni wanafunzi 21,000 pekee ndio waliopewa mikopo na zaidi ya 50,000 kunyimwa wakaonekana wanamdrivedrive..
CHADEMA wamepigania bunge live LISSU akaishia ndani..
Mbowe alihoji KIONGOZI mmoja kuhonga wabunge milioni kumikumi,kidosho akamwambia kaa chini na kijamaa kimoja kikajibu "kama umesikia habari za chama fulani (kuhonga) si ukajiunge"

wametaka suala la mizigo kupungua bandarini lijadiliwe..wakajibiwa "BORA IPUNGUE"

WEWE UNATAKA WAJADILI MASWALA GANI ?

Mkuu, hata usijihangaishe na huyu mtu, amepangiwa kazi maalumu.
 
Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Matatizo mengine ni kama Njaa, ukandamizaji wa vyombo vya habari, na kushuka kwa uchumi
Yapo mengi tu ila kwavile yakisemwa wataonekana wachochezi kumbe sasa wafanyeje mkuu
 
Mwenyekiti wenu hana kingine zaidi ya Upinzani? Ukiwa na jibu basi huna haja ya kutoka mishipa ya matako kuandika upuuzi kama huu
 
Mheshimwa Msukuma kumbe na yeye ni CHADEMA. Ama kweli njaa mbaya.
Huwa nacheka sana nikisikia mashabiki wa mpira yanga na simba wakibishana
Hata siku moja mshabiki wa timu mojawapo hawezi ku coment postive kwa mpinzania wake
Kwenye siasa kunamambo ya msingi sana ambayo huwezi kuendekeza kama ushabiki wa mpira

Hivi alichokisema msukuma kihusu makonda kina elements zozote za uchadema?
Unajua issue ya juzi bungeni kuhusu makonda ilitoa taswira kwamba iko siku na ni very soon(hata kama chadema wataaamua kukaa kimya)
Upinzani mkubwa utaibuka kutoka ndani ya ssm kwa hoja za msingi kulingana na mambo yanavyo kwenda
So its just the matter of commonsense na si mambo ya kishabikishabiki
 
Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Eti na hii nayo ni post
 
Unavyowapoint chadema na ukawa kama ndio wanaoenda kuwasilisha kero za wananchi bungeni, kuwaacha hao wengine inamaana kwamba umeanza kuelewa kwamba ni misukule? Maana una-indicate kwamba ni watu wasio na efforts zozote za kuwasilisha kero za wananchi.
 
Mods wakati mwingine upuuzi kama huu hautakiwi kuvumiliwa.mtu anaamua tu kuandika upumbavu na nyie mnakaa kimya tuwaeleweje?
 
Back
Top Bottom